DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nimefanya Utafiti.
Nawe jaribu kumfuata mtu aliyepagawa na mapepo, tumia Jina la Babu Yako uone kama Pepo halijakutimua mbio!!
Kuna bosi mmoja ni Muislamu mwenzetu alipozidiwa na uchawi ofisini akaliita jina la Yesu Ktisto na akaponaPepo gani ulimuona kafukuzwa kea jina la yesu?..pepo aogope jina yesu!?..yesu mwenyewe hakutumia jina lake kufukuza pepo
Waache kuuza majini, wayatimue Kwa Jina la YESU Ili waumini wawe huru.Sheikh apigi kelele kama nyinyi vichaa
Waislamu wastuke na kuliamini na kulitumia Jina la YESU Ili wapate msaada huko huko msikitini maana hata katika vitabu vyao limetajwa.Kuna bosi mmoja ni Muislamu mwenzetu alipozidiwa na uchawi ofisini akaliita jina la Yesu Ktisto na akapona
Sisi tunatumia bangi kutoa hayo mapepo, hapo vipi mwanakondoo?Mabudha hawatoki Pepo, wanapunga Pepo na kuwabembeleza mapepo kuhama Toka sehemu Moja kwenda ingine au kuongeza mapepo yenye nguvu Kwa mtu Ili kutuliza yaliyomo.
Jina linalofukuza mapepo ni Jina la YESU pekee.
Karibu 🙏
We huoni makanisani ndo wanapigwa hela kila siku kumbe wew ni pinguani aseeWaache kuuza majini, wayatimue Kwa Jina la YESU Ili waumini wawe huru.
😂😂😂😂😂😂Thubutu ongeza sauti ili wasikie wakalitumie hukoIslam na makundi mengine wastuke na kuliamini na kuanza kulitumia Jina la YESU huko huko msikitini maana hata katika vitabu vyao, limetajwa!!
Wasichojua ukipunga pepo maana yake ume reconcile pepo na nafsi ya mtu ili kwa pamoja na kwa amani waishi ndani ya mwili mmoja na kuna mmoja kati ya pepo au nafsi ya mtu anakuwa mtumwa wa mwenzie katika mwili wa mtu kwa kufuata oder.Tofautisha Kutoa Pepo na kupunga Pepo.
Jina la YESU pekee ndilo lenye mamlaka ya kufukuza mapepo yakatoka.
Litumie uone mabadiliko!!
Sijapaniki hapo bali namstua maana anamajibu yake kama zezetaAcha kupaniki jibu hoja.
Kuna watu wanayamiliki na kuyatuma makanisani Ili kuwakomoa wakristo.Na mapepo yamejaa makanisani
Unawezaje kujua kuwa pepo limetoka au limetulia tu?Nimefanya Utafiti.
Umewahi ona shehe akikenea Pepo Kwa Jina la Allah au Mudi na Pepo likatoka?
Kuhusu matumizi ya Jina la YESU Kutoa mapepo ushahidi ni dhahiri.
Sasa tatizo liko wapi kuwa na jibu litokanalo na tafiti?
Acha uzezeta makanisani mmfenya ni sehemu ya biashara na sio ibadaWasichojua ukipunga pepo maana yake ume reconcile pepo na nafsi ya mtu ili kwa pamoja na kwa amani waishi ndani ya mwili mmoja na kuna mmoja kati ya pepo au nafsi ya mtu anakuwa mtumwa wa mwenzie katika mwili wa mtu kwa kufuata oder.
Ila watu wa yesu wanakwambia "kuna uhusiano gani kati ya nuru na giza"
Kwahiyo by default mtu anayemjua yesu hakubali kamwe huu upuuzi wa kupunga mapepo bali yeye anafukuza tu
Unajuaje kuwa limetoka na si kutulia tu?Sisi tunatumia bangi kutoa hayo mapepo, hapo vipi mwanakondoo?
Nuru na giza havikai pamoja,ukimuweka mtu nuruni basi hilo pepo litaondoka tu,na hatulibembelezi ni jina la yesu tuUnawezaje kujua kuwa pepo limetoka au limetulia tu?
Kuna majini yasiopenda bangi ndio Huwa yanakimbia.Sisi tunatumia bangi kutoa hayo mapepo, hapo vipi mwanakondoo?
Sasa kupeleka cholo kama sadaka ndio unaona ni Ibada hiyo?Acha uzezeta makanisani mmfenya ni sehemu ya biashara na sio ibada