Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
We ikiwa umefikia mpaka uwezo wa kumkumbusha Mungu maajabu yake sasa unashangaa nini tena? si ajabu hata hao mapepo wenyewe wanaogopa kukufuru pamoja na wewe!Sijasoma comments zenu,ila nishuhudie jambo, nimewahi fukuza Pepo kwa kutumia jina la Mungu ,nilikuwa namuombea mtu,nikamkumbusha Mungu maajabu aliyoyafanya,ikiwemo Ile nguvu ya Elia na manabii wa baali mia nne, nikagusia nguvu ya Mungu na ujiti wa Musa Kisha nikamalizia na kifungu ambacho Mungu mwenyewe alijitambulisha kama yehova, Mungu wa vita,,,,,baada ya hapo,nilichokishuhudia ndio msukumo wa Mimi kulog-in Sasa hivi, maana nilikuwa nasoma kama guest user
Mambo mengine kidogo mjiongezege ndugu zangu! kwahiyo ukimkiri Yesu huumwi? ... kweli? zile spitali za kikiristo zinamtibu nani sasa?Sijui kwanini nashindwa kuelewa.. Mtu yupo radhi aamini kwamba duniani tumeumbwa mateso, kutenda dhambi..
Unashindwa kuamini kwamba Mungu alimtoa Yesu Kristo kwa dhambi za watu wote.. Kwamba wewe can literally live without sinning.. Bila magonjwa..
Nini ambacho ni kigumu kiamini
Carnal mind.. Kwa carnal mind Bible ni ngumu kumezaHebu tujikumbushe kwa Unabii wa Nabii Isaya.
........
Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
1. Mshauri wa ajabu,
2. Mungu mwenye nguvu,
3. Baba wa milele,
4. Mfalme wa amani.
........
Hapo Isaya anasema Jina lake na sio Majina yake.
Hapo anamaanisha huyo ni mmoja tu.
Naona hapa wa upande wa pili Wana maswali mengi sana.
Swali moja wapo ni
1. Mtoto wa kiume anawezaje kuwa Mungu.
2. Halafu awe Baba
Huu Unabii hawawezi kabisa kuuelewa, ndio maana wanakimbilia kusema. Biblia imetiwa mikono na Waandishi na kuiharibu.
Sasa nyinyi mbona hamumtumii kama njia badala yake mnamfanya kuwa ndo destination?Kuna watu wanatumia imani kwa njia za Kiudanganyifu kwa faida zao wenyewe ndio lakini haifanyi imani katika Yesu Kristo kuwa ni uongo, porojo au upotoshaji..
Na wanadanganywa ni kwasababu ya kutokujua na wanaojua hawataki kufata principles..
Yesu alipo kuwa dunia alisema yeye ndio njia kweli na uzima
Hakika ni Ngumu, kirahisi rahisi haiwezi kueleweka.Carnal mind.. Kwa carnal mind Bible ni ngumu kumeza
Tatizo Ukristo sio dini maisha halisi.. wanaofanya kuwa dini ndio wanatawaliwa..Ila waafrika Mungu atusaidie tu, bible inaongelea wayahudi na waisrael tu hakuna jina la Mwaisa, Masawe, Shayo, wala hata Mbwambo.
Tumeshikilia vitabu vya dini as if sisi ndiyo tumeandikiwa wakati hata havituhusu hata kidogo.
Dini ni strategy ya kiutawala duniani ndy maana Roman Empire iliweza kuitawala dunia nzima kwa kupitia vitabu vya biblia na kueneza dini, wachina wameondoa maswala ya udini tangu Mao tse tung au Mao ze dong alipoichukua nchi na sasa waone kwenye uchumi wa dunia unavyowategemea, wamarekani na waingereza wameshaondoka kwenye sana za udini na ukabila sisi bado tunamijadala ya kuhusu jina la Yesu, mapepo yapo na yanaondolewa hata kwa matambiko ya kiafrika, NaN kwa majina ya mababu wa kiafrika Acha kuwa mtumwa wa kifikra bana
Nguvu ya Jina Lina fanya kazi Kwa Imani, so tatizo ni Imani.Jina la yesu lingeponya magonjwa hospital zisingejengwa, hospital zimejengwa kuanzia na wamisionari wageni hadi wazawa,hao wanaojifanya kuombea wakiumwa huenda hospital
Yohana 14:6.,7.,8.,9.,10.,11.,12.,13.Sasa nyinyi mbona hamumtumii kama njia badala yake mnamfanya kuwa ndo destination?
4. Lakini Mungu, kwa kuwa ni mwingi wa rehema, kwa mapenzi yake makuu aliyotupenda;Mambo mengine kidogo mjiongezege ndugu zangu! kwahiyo ukimkiri Yesu huumwi? ... kweli? zile spitali za kikiristo zinamtibu nani sasa?
Halafu unaposema Yesu alitolewa kwa dhambi za watu, sasa ni kwamba saivi hakuna dhambi ama? na kama dhambi zipo sasa faida ya yeye kutolewa ni ipi? ... mi ninavyoelewa kabla ya Yesu walikuwepo watu waliomuabudu Mungu na walikuwepo waliomkufuru, pia baada yake wapo wote aina mbili.
Sasa yeye alisulubiwa kuokoa watu gani hapo?
Cheney nguvu jina au mtu mwenyewe!?..lazaro alikua na imani gani akiwa mfu mpaka akafufuliwa?..hao wachungaji imani hawana?.. maana wakiumwa huenda hospitalNguvu ya Jina Lina fanya kazi Kwa Imani, so tatizo ni Imani.
Mtoto huyo tuliopewa ni Mungu mwenyewe nguvu,Hebu tujikumbushe kwa Unabii wa Nabii Isaya.
........
Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
1. Mshauri wa ajabu,
2. Mungu mwenye nguvu,
3. Baba wa milele,
4. Mfalme wa amani.
........
Hapo Isaya anasema Jina lake na sio Majina yake.
Hapo anamaanisha huyo ni mmoja tu.
Naona hapa wa upande wa pili Wana maswali mengi sana.
Swali moja wapo ni
1. Mtoto wa kiume anawezaje kuwa Mungu.
2. Halafu awe Baba
Huu Unabii hawawezi kabisa kuuelewa, ndio maana wanakimbilia kusema. Biblia imetiwa mikono na Waandishi na kuiharibu.
Sasa picha imeweka ya Pepo Kisha unapinga uwepo wa mapepo 🤔Mapepo ndio akina nani na kwanini asilimia kubwa ni wanawake
Africa aliyeturoga Kweli alituweza Yaan karne ya 21 bado unaamini katika mapepo duu