Kama ni elimu au ni fikra/mtazamo wako,....Ni laana ya kiwango cha juu.Agano jipya n kitabu Cha kisiasa,mweny KUSOMA atafahamu ,ukisoma pasina ushabiki utaona kuna kampeni za kisiasa kati ya Dola(Rumi) na wayahudi,tena kuhusu suala la masihi , wayahud waliamin kuja kwa masihi atayewaondoa watesi wao(Rumi) hii imani iliwafanya wafanye uasi...
Sasa hilo unaloita jina la Mungu ukienda jamii zisizozungumza kiswahili ukasema "Yesu" hawatojua unamzungumzia nani.Jina la Mungu Mmoja muumba wa Mbingu na Nchi ni Yesu .
Sasa Majina mengine ya miungu ya nn?
Ni kweli wewe nenda pale viwanja vya Tanganyika pe.... Kama si 70-90 ndiyo haoAcha utoto wewe
Yesu ni Mwana wa Mungu, Allah na majini iko dugu moja....Salaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
N mkristo,na wenyew ndio weny ukristoSasa papa Si mkristo, ni kiongozi wa Dini ya kipagani. Waabudu sanamu.
Yaan this bible kwa nin?,nmesoma kutoka Mwanzo mpka UfunuoMaarifa ya kuwajua waandishi wa Biblia.. Mbona ukisoma hilo agano unapata majibu..
Naomba kuuliza tena umesoma B
Yaan this bible kwa nin?,nmesoma kutoka Mwanzo mpka Ufunuo
Au sio kwa hyo unamsubiri Yesu akufufue?Kama ni elimu au ni fikra/mtazamo wako,....Ni laana ya kiwango cha juu.
Huo ndio ukweli,tutafufuliwa sote [pamoja na wewe],iwe kwaajili ya hukumu au UZIMA WA MILELE.Au sio kwa hyo unamsubiri Yesu akufufue?
Yesu gani huyo atakayefufua?,Huo ndio ukweli,tutafufuliwa sote [pamoja na wewe],iwe kwaajili ya hukumu au UZIMA WA MILELE
Jesus never existed. It's a myth.Mitume wote (kila mmoja) alitumwa Duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini Uchawi/Ushirikina, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.
Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapepo, kuponya waliorogwa na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba, kufufua na mengine mengi ambayo wachawi hawakuyaweza.
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe aliyepewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na hata kufukuza mapepo nk.
(Kwa bahati mbaya sana, watu waka mwamini Yesu kuwa ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma)
We umfukuze mtu mapepo kwa jina la AllahSalaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
wajinga kama hawa huwa hawakosekani! Low IQJina la yesu lingeponya magonjwa hospital zisingejengwa, hospital zimejengwa kuanzia na wamisionari wageni hadi wazawa,hao wanaojifanya kuombea wakiumwa huenda hospital
Sisi binadamu tumepewaBaada ya Yesu kupaa Mbinguni,
Mbona Jina lake Hadi Leo Lina mamlaka ya kufukuza mapepo na kuponya magonjwa?
Fafanua hapo.
Eti ajitoe mwenyewe uliona wapi!We umfukuze mtu mapepo kwa jina la Allah
wakat huyo Allah mwenyewe ndo mfuga majini😂😂😂Ebu kuwa serious huwezi kuua samaki kwa kumzamisha kwene maji
Yaani ulijibu Kwa hasira kweli, huku moyo ukidunda dunda, maana unaujua ukweli wake kwa jina lilivyo na nguvu.Jina la yesu lingeponya magonjwa hospital zisingejengwa, hospital zimejengwa kuanzia na wamisionari wageni hadi wazawa,hao wanaojifanya kuombea wakiumwa huenda hospital