Mitume wote (kila mmoja) alitumwa Duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini Uchawi/Ushirikina, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.
Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapepo, kuponya waliorogwa na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba, kufufua na mengine mengi ambayo wachawi hawakuyaweza.
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe aliyepewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na hata kufukuza mapepo nk.
(Kwa bahati mbaya sana, watu waka mwamini Yesu kuwa ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma)