gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Mzee wa upako huenda tibiwa hospital, Roma Wana hospital mwanza inaitwa bugando,walutheri Wana hospital kcmc,wasabato Wana hospital nyingi tu, mwamposa hutibiwa sana hospital,yeye na nduguzeYaani ulijibu Kwa hasira kweli, huku moyo ukidunda dunda, maana unaujua ukweli wake kwa jina lilivyo na nguvu.
Wao ni binadamu sio Mungu lazima waumwe na watatibiwa tu maana wao si MUNGU, Mungu peke yake ndiye hawezi kuongea, YESU alipokuwa duniani alisikia njaa na alikula, binadamu wote njia yetu ni YESU KRISTO hao uliowataja ni watumishi tu wa watu wa MUNGU.Mzee wa upako huenda tibiwa hospital, Roma Wana hospital mwanza inaitwa bugando,walutheri Wana hospital kcmc,wasabato Wana hospital nyingi tu, mwamposa hutibiwa sana hospital,yeye na nduguze
Kwa nini wasijiombee wakapona?!..hivi unafikiri kweli!?Wao ni binadamu sio Mungu lazima waumwe na watatibiwa tu maana wao si MUNGU, Mungu peke yake ndiye hawezi kuongea, YESU alipokuwa duniani alisikia njaa na alikula, binadamu wote njia yetu ni YESU KRISTO hao uliowataja ni watumishi tu wa watu wa MUNGU.
Kwa sababu makanisani kwenu ndio nyumba za mapepoSalaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Si Kweli,Kwa sababu makanisani kwenu ndio nyumba za mapepo
1. Jina la Baba.jina la Yesu ni jina la Mungu. ndio jina lililopewa io kazi na zinginezo. lolote mfanyalo kwa neno au kwa tendo fanyeni kwa jina la Bwana Yesu kristo. hata kubatiza sio kwa jina la baba na mwana na roho mtkf
nadhani huju ikuwa baba sio jina wala mwana sio jina ila ni sifa za mtu.1. Jina la Baba.
Ndilo Hilo Yesu, lilikuwa limefichwa kabla hajaja duniani, zilitumuka title zingine kama BWANA MUNGU, YEHOVA, BWANA ,NIKO AMBAYE NIKO nk nk
2. Jina la Mwana,ni Jina YESU.
3. Jina la Roho mtakatifu ni Jina la Roho wa Yesu.
Conclusion: Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
unasafari ya kumjua kama jina lakee bado hujalijua mpaka zama hizi1. Jina la Baba.
Ndilo Hilo Yesu, lilikuwa limefichwa kabla hajaja duniani, zilitumuka title zingine kama BWANA MUNGU, YEHOVA, BWANA ,NIKO AMBAYE NIKO nk nk
2. Jina la Mwana,ni Jina YESU.
3. Jina la Roho mtakatifu ni Jina la Roho wa Yesu.
Conclusion: Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Kiswahili Kiko wazi,nadhani huju ikuwa baba sio jina wala mwana sio jina ila ni sifa za mtu.
ww unaweza ukawa baba na wakati huo huo ukawa mwana na ukawa roho. izo ni sifa za mungu wakati akiwaongoza wana wa israel aliitwa BABA alipozaliwa kibinaadam EMMANUEL alikuwa mwana anapoondoka na kurudi kama roho huyo huyo anakuwa Roho mtakatifu.
baba jina lako ulilonipa na mm nawapa
hakuna jina lililopo chini ya ardhi ama mbingu walilopewa na wanadam kwa ukombozi isipokuwa jina la yesu.
lolote mfanyalo kwa neno wa tendo fanyeni kwa jina la yesu
yehova jire,sijui yehova nisi,sijui alfa na omega , ayo si majina ni sifa zakee.
na wala pepo wala ugonjwa wala maombi hayanajina jingine isipokuwa jina la Mungu
Njoo na mapepo yako uone utakavyo toka speed 300kphPepo gani ulimuona kafukuzwa kea jina la yesu?..pepo aogope jina yesu!?..yesu mwenyewe hakutumia jina lake kufukuza pepo
1. Jina la Baba.
Ndilo Hilo Yesu, lilikuwa limefichwa kabla hajaja duniani, zilitumuka title zingine kama BWANA MUNGU, YEHOVA, BWANA ,NIKO AMBAYE NIKO nk nk
2. Jina la Mwana,ni Jina YESU.
3. Jina la Roho mtakatifu ni Jina la Roho wa Yesu.
Conclusion: Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Ndiyo maana ukiumwa njaaa unakula hufanyi maombi ili ushibe, hata yesu alilisha watu kwa samaki wawili na mikate mitano hakuombea washibe bali walikula wakashiba, kuna mahitaji ya mwili na mahitaji ya roho vi vitu viwili tofauti kabisa, ukiumwa mwili ukawa dhaifu kwa sababu ya dhaifu la mwili unatafuta tiba upone huombi, ukiumwa kwa kurogwa au kufanyiwa ushirikina ili uumwe unaombewa ili upone.Ukiumwa malaria unakunywa mseto,nyie huwa kondoo,akili hamna
Mungu ni mmoja tu!bro pia hakuna miungu mitatu kama unavyoweka hapo
mungu ni mmoja na ananafsi moja biblia ilisema hvyo
hakuna sehem kwenye biblia inasema mungu ananafsi tatu.
wal ahajagawanyika.
biblia inasema Mungu hana mshirika,
isaya 15;5 inasema hakika ww ni mungu uifichaye nafsi yako.
mungu zama za kale alikuwa Baba, akiwachunga na kuwatunza, alipozaliwa yehova huyo huyo akawa mwana, anaporudi kama roho huyp huyp anakuwa roho mtktf
hakuna mungu mkubwa alafu mwngine mkubwa kdg alaf mwanine mdogo kdg.
huwezi kumvunja vunjwa Mungu hivyo.
na ndio sababu kuu injili haiwezi kukubaliwa israel kwa injili hizi za kumgawa Mungu.
aloo ww jamaa BABA ni jina? ama kiwakilishi cha jina?Kiswahili Kiko wazi,
Baba ni Nomino/ noun
Mwana ni noun, Nomino
Baba na Mwana ni Majina Si adjective/ sifa.
Baba, mwana ni Majina ya uwakilishi, ni title za office ya ubaba, au umwana.
Lakini personal name ya Baba na Mwana na Roho mtakatifu ndiyo YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.Amen
Yohana 17:11-12Kiswahili Kiko wazi,
Baba ni Nomino/ noun
Mwana ni noun, Nomino
Baba na Mwana ni Majina Si adjective/ sifa.
Baba, mwana ni Majina ya uwakilishi, ni title za office ya ubaba, au umwana.
Lakini personal name ya Baba na Mwana na Roho mtakatifu ndiyo YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.Amen
Wapi nimesema Mungu ana NAFSI tatu?bro pia hakuna miungu mitatu kama unavyoweka hapo