Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Yaani ulijibu Kwa hasira kweli, huku moyo ukidunda dunda, maana unaujua ukweli wake kwa jina lilivyo na nguvu.
Mzee wa upako huenda tibiwa hospital, Roma Wana hospital mwanza inaitwa bugando,walutheri Wana hospital kcmc,wasabato Wana hospital nyingi tu, mwamposa hutibiwa sana hospital,yeye na nduguze
 
Wao ni binadamu sio Mungu lazima waumwe na watatibiwa tu maana wao si MUNGU, Mungu peke yake ndiye hawezi kuongea, YESU alipokuwa duniani alisikia njaa na alikula, binadamu wote njia yetu ni YESU KRISTO hao uliowataja ni watumishi tu wa watu wa MUNGU.
 
Kwa nini wasijiombee wakapona?!..hivi unafikiri kweli!?
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Kwa sababu makanisani kwenu ndio nyumba za mapepo
 
Si Kweli,

Mbona Kanisa katolicano, islame, sabath, hawaanguki mapepo?

Ndipo ujue yapo makanisa machache yenye moto wa Mungu ambayo Pepo hawezi kuhimili kuendelea mkalia mtu.
 
jina la Yesu ni jina la Mungu. ndio jina lililopewa io kazi na zinginezo. lolote mfanyalo kwa neno au kwa tendo fanyeni kwa jina la Bwana Yesu kristo. hata kubatiza sio kwa jina la baba na mwana na roho mtkf.

baba jina lako ulilonipa na mimi nawapa.
miaka yoote Mungu alificha jina lake, akiulizwa anawajib naitwa yehova,niko, alfa na omega, elohoim,

ila ile siri kuu imefunuliwaa. jina la Mungu lililofichwa miaka na miaka liliwekwa wazi.
biblia inasema ibrahim alitaman aishi hata moja tu ya siku hizi tunazozichezea
 
jina la Yesu ni jina la Mungu. ndio jina lililopewa io kazi na zinginezo. lolote mfanyalo kwa neno au kwa tendo fanyeni kwa jina la Bwana Yesu kristo. hata kubatiza sio kwa jina la baba na mwana na roho mtkf
1. Jina la Baba.

Ndilo Hilo Yesu, lilikuwa limefichwa kabla hajaja duniani, zilitumuka title zingine kama BWANA MUNGU, YEHOVA, BWANA ,NIKO AMBAYE NIKO nk nk

2. Jina la Mwana,ni Jina YESU.

3. Jina la Roho mtakatifu ni Jina la Roho wa Yesu.

Conclusion: Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
nadhani huju ikuwa baba sio jina wala mwana sio jina ila ni sifa za mtu.
ww unaweza ukawa baba na wakati huo huo ukawa mwana na ukawa roho. izo ni sifa za mungu wakati akiwaongoza wana wa israel aliitwa BABA alipozaliwa kibinaadam EMMANUEL alikuwa mwana anapoondoka na kurudi kama roho huyo huyo anakuwa Roho mtakatifu.

baba jina lako ulilonipa na mm nawapa
hakuna jina lililopo chini ya ardhi ama mbingu walilopewa na wanadam kwa ukombozi isipokuwa jina la yesu.
lolote mfanyalo kwa neno wa tendo fanyeni kwa jina la yesu

yehova jire,sijui yehova nisi,sijui alfa na omega , ayo si majina ni sifa zakee.
na wala pepo wala ugonjwa wala maombi hayanajina jingine isipokuwa jina la Mungu
 
unasafari ya kumjua kama jina lakee bado hujalijua mpaka zama hizi
 
Kiswahili Kiko wazi,

Baba ni Nomino/ noun

Mwana ni noun, Nomino

Baba na Mwana ni Majina Si adjective/ sifa.

Baba, mwana ni Majina ya uwakilishi, ni title za office ya ubaba, au umwana.

Lakini personal name ya Baba na Mwana na Roho mtakatifu ndiyo YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.Amen
 
1. Jina la Baba.

Ndilo Hilo Yesu, lilikuwa limefichwa kabla hajaja duniani, zilitumuka title zingine kama BWANA MUNGU, YEHOVA, BWANA ,NIKO AMBAYE NIKO nk nk

2. Jina la Mwana,ni Jina YESU.

3. Jina la Roho mtakatifu ni Jina la Roho wa Yesu.

Conclusion: Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen

bro pia hakuna miungu mitatu kama unavyoweka hapo
mungu ni mmoja na ananafsi moja biblia ilisema hvyo
hakuna sehem kwenye biblia inasema mungu ananafsi tatu.
wal ahajagawanyika.
biblia inasema Mungu hana mshirika,
isaya 15;5 inasema hakika ww ni mungu uifichaye nafsi yako.

mungu zama za kale alikuwa Baba, akiwachunga na kuwatunza, alipozaliwa yehova huyo huyo akawa mwana, anaporudi kama roho huyp huyp anakuwa roho mtktf

hakuna mungu mkubwa alafu mwngine mkubwa kdg alaf mwanine mdogo kdg.
huwezi kumvunja vunjwa Mungu hivyo.
na ndio sababu kuu injili haiwezi kukubaliwa israel kwa injili hizi za kumgawa Mungu.
 
Ukiumwa malaria unakunywa mseto,nyie huwa kondoo,akili hamna
Ndiyo maana ukiumwa njaaa unakula hufanyi maombi ili ushibe, hata yesu alilisha watu kwa samaki wawili na mikate mitano hakuombea washibe bali walikula wakashiba, kuna mahitaji ya mwili na mahitaji ya roho vi vitu viwili tofauti kabisa, ukiumwa mwili ukawa dhaifu kwa sababu ya dhaifu la mwili unatafuta tiba upone huombi, ukiumwa kwa kurogwa au kufanyiwa ushirikina ili uumwe unaombewa ili upone.
 
bro pia hakuna miungu mitatu kama unavyoweka hapo
mungu ni mmoja na ananafsi moja biblia ilisema hvyo
hakuna sehem kwenye biblia inasema mungu ananafsi tatu.
wal ahajagawanyika.
biblia inasema Mungu hana mshirika,
isaya 15;5 inasema hakika ww ni mungu uifichaye nafsi yako.

mungu zama za kale alikuwa Baba, akiwachunga na kuwatunza, alipozaliwa yehova huyo huyo akawa mwana, anaporudi kama roho huyp huyp anakuwa roho mtktf

hakuna mungu mkubwa alafu mwngine mkubwa kdg alaf mwanine mdogo kdg.
huwezi kumvunja vunjwa Mungu hivyo.
na ndio sababu kuu injili haiwezi kukubaliwa israel kwa injili hizi za kumgawa Mungu.
Mungu ni mmoja tu!
 
Kiswahili Kiko wazi,

Baba ni Nomino/ noun

Mwana ni noun, Nomino

Baba na Mwana ni Majina Si adjective/ sifa.

Baba, mwana ni Majina ya uwakilishi, ni title za office ya ubaba, au umwana.

Lakini personal name ya Baba na Mwana na Roho mtakatifu ndiyo YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.Amen
aloo ww jamaa BABA ni jina? ama kiwakilishi cha jina?

kama ni kiwakilishi cha jina jina lenyewe ni nani?
biblia inasemaa jina la MUngu ni yesu kristo
 
Kiswahili Kiko wazi,

Baba ni Nomino/ noun

Mwana ni noun, Nomino

Baba na Mwana ni Majina Si adjective/ sifa.

Baba, mwana ni Majina ya uwakilishi, ni title za office ya ubaba, au umwana.

Lakini personal name ya Baba na Mwana na Roho mtakatifu ndiyo YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.Amen
Yohana 17:11-12
[11]Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe kimoja kama sisi tulivyo.
And now I am no more in the world, but these are in the world, and I come to thee. Holy Father, keep through thine own name those whom thou hast given me, that they may be one, as we are.
[12]Nilipokuwapo pamoja nao, mimi naliwalinda kwa jina lako ulilonipa, nikawatunza; wala hapana mmojawapo wao aliyepotea, ila yule mwana wa upotevu, ili andiko litimie.
While I was with them in the world, I kept them in thy name: those that thou gavest me I have kept, and none of them is lost, but the son of perdition; that the scripture might be fulfilled.
 
bro pia hakuna miungu mitatu kama unavyoweka hapo
mungu ni mmoja na ananafsi moja biblia ilisema hvyo
hakuna sehem kwenye biblia inasema mungu ananafsi tatu.
wal ahajagawanyika.
biblia inasema Mungu hana mshirika,
isaya 15;5 inasema hakika ww ni mungu uifichaye nafsi yako.

mungu zama za kale alikuwa Baba, akiwachunga na kuwatunza, alipozaliwa yehova huyo huyo akawa mwana, anaporudi kama roho huyp huyp anakuwa roho mtktf

hakuna mungu mkubwa alafu mwngine mkubwa kdg alaf mwanine mdogo kdg.
huwezi kumvunja vunjwa Mungu hivyo.
na ndio sababu kuu injili haiwezi kukubaliwa israel kwa injili hizi za kumgawa Mungu.
Wapi nimesema Mungu ana NAFSI tatu?

Mungu ana NAFSI Moja.

Kama ambavyo mtu ni ROHO, anaishi ndani ya MWILI, na ana NAFSI Moja.

Mungu pia ni NAFSI Moja, akikaa Mbinguni KITI Cha enzi ni Baba,

Akija duniani katika mwili ni Mwana,

Akiwa ndani ya watu wote at once, ni ROHO MTAKATIFU, lakini ni yule yule Mungu Mmoja, NAFSI Moja.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Back
Top Bottom