Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Karibu mkuu sisi hatuna longolongo huduma ni ya uhakika unakuja na pepo lako unaliacha unarudi nyumbani mzima wa afya. Utachangia kiasi kidogo tu cha shilingi elfu 50 gharama ya maji na mafuta ya upako.🤣🤣🤣🤣 Mbavu zanguu
Jamaa anawamaliza kweli.Namwamini Mwenyezi Mungu na mwanae Yesu Kristo Ila siyumbishwi kiimani.Yaan nilipo ndio hapahapa.Nikiumwa ni hospital na kujiombea mwenyewe...maana kufa kupo tu hakukwepekiHawa si ndio manabii wanaotoa watu mapepo au ?
Baas!! na Mjadala ufungweNi jina linaloishi
🤣🤣🤣🙌Karibu mkuu sisi hatuna longolongo huduma ni ya uhakika unakuja na pepo lako unaliacha unarudi nyumbani mzima wa afya. Utachangia kiasi kidogo tu cha shilingi elfu 50 gharama ya maji na mafuta ya upako.
kitu ambacho inatakiwa ufahamu ni kwamba jina alifukuzi pepo bali nguvu yako ndio ambayo inafukuza pepoSalaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Watakuelewa basi,watakuja na msitari wa paulo 'yesu mungu'YOHANA 5:36
Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe,mimi nina hukumu kama ninavyosikia kutoka kwa Baba,nayo hukumu yangu ni ya haki,nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe bali apendavyo yule aliyenituma.
Karibu kanisani kwetu kigamboni mjimwema.tunayatoa kwa bei nafuu sana ukiwa na matatu tunakupa discount. Njoo inbox kwa maelezo zaidi.Kwanini mapepo yanaogopa jina la Yesu!? Utashangaa ukisema toka ktk jina la Yesu hata mchawi anaanza kuwashwa washwa.
Sijajbu swali ila naona jna la Yesu hakika ni jina lenye nguvu haswaa.
Mi siyo Islamic Ila hapa Umedanganya mkuu...hujasema kwa nini kwa waislam dhambi yoyote hata kufira ni sawa ila usile mdudu
(Wafilipi 2:10-11)YOHANA 5:36
Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe,mimi nina hukumu kama ninavyosikia kutoka kwa Baba,nayo hukumu yangu ni ya haki,nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe bali apendavyo yule aliyenituma.
Ni jina linaloishiSalaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Linaishi kiroho na lina mamlaka kwakuwa Kristo aliishinda kuzimu.. Mengine yalichemshaUnamaanisha Majina mengine hayaishi?
Au tuseme Majina mengine hayana mamlaka kuzidi Jina Hilo?
Wafu wengine wote tukiwemo sisi wafu watarajiwa tunasubiri ufufuo siku ya kiama.. Lakini Kristo Yesu alikishinda kifo ndani ya saa 72 tu na akafufuka na kupaa mbinguniSo amazing 🤔
Duuuuh!hujasema kwa nini kwa waislam dhambi yoyote hata kufira ni sawa ila usile mdudu
Mm sina hayo aseeh.Karibu kanisani kwetu kigamboni mjimwema.tunayatoa kwa bei nafuu sana ukiwa na matatu tunakupa discount. Njoo inbox kwa maelezo zaidi.
Wewe umeshafir**a na waislamu wangapi mpaka sasa? Naona umeamua kuweka ushuhuda wako hapahujasema kwa nini kwa waislam dhambi yoyote hata kufira ni sawa ila usile mdudu
Ni sawa lakini msipotoa sadaka tutashindwa gharama za uendeshaji kumbuka Kuna maji , mafuta vyote hivyo ni gharama.Mwamposa kaja juzi, amelikuta Jina la YESU na atakufa na kuliacha likiendelea kufanya KAZI Kwa nguvu na ubora Ule Ule.
Jikite kwenye mada, kwanini Majina mengine, Allah, YEHOVA nk nk hayawezi kufukuza mapepo?
Kuwa na aibu basiNi Jina la Mungu mwenyewe. Ndo maana ukilitamka ulimwengu wa Roho unatikisika. Mbingu zinanyamaza kukusikiliza. Una fungua malango yote. Hata yaliyofungwa yakatupwa funguo zake.
Ndo jina tulilopewa na Mungu ili tuokolewe kwalo.
Wakristo tunamwabudu Mungu Mmoja.Kwani nyie pimbi/makafiri/wakiristo mnamuabudu mungu au yesu?