Mitume kila mmoja alitumwa duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini uchawi, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.
Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapemo, uchawi na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe alipewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na kufukuza mapepo.
(Kwa bahati mbaya, watu waka mwamini kuwa Yesu ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma)