Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Kwamba unaweza kumkemea Pepo Kwa Jina la Allah na Pepo likatoka🤔
Huko kukemea ni mbwembwe tu anapigwa kisomo anakuwa safi, nachokuhakikishia hakuna mkristo mwenye mafanikio asiyekuwa na shekhe wake ,chunguza utakuja kuniambia, wao wenyewe wameshtuka kuwa kukemea ni uzushi tu, wakitoka pale pepo lipo pale pale
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Labda nikuulize vizuri jina la muhusika mwenyewe kabisa ni Nani? Maana kila inchi wanajina lake wakati mtu ni mmoja
 
Huko kukemea ni mbwembwe tu anapigwa kisomo anakuwa safi, nachokuhakikishia hakuna mkristo mwenye mafanikio asiyekuwa na shekhe wake ,chunguza utakuja kuniambia, wao wenyewe wameshtuka kuwa kukemea ni uzushi tu, wakitoka pale pepo lipo pale pale
Kisomooooo😀
 
Vitu vya kuletewa munachanganyikiwa.......WAJINGA NDO WALIWAO
1724562949873.jpg
 
Jina la yesu halina nguvu bali wewe ndie mwenye nguvu,jina la yesu unaweza kumpa hata paka nyumbani na bado isiwe tatizo

Ndio maana wakati wa kukemea hasemi yesu bali mimi(yeye) "I" anakemea kwa jina la yesu ambapo jina yesu linatumika kama kutia concetration kwenye spirit power of mimi ("I")hapa ndipo nguvu yako ilipo na ndipo unapoamini

Waislamu pia wanasema mimi(I) nafanyaya.................kwa jina la mwenezi mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu ambaye ni ALLAH(S.W).

Yote kwa ujumla tunasema ni "law of belief" ambayo inaoperate ndani ya universe(ulimwengu)

Na christianity na islamic religion ni form of belief.

Hapa utagundua hata ambaye anaamini kichuguu,mti au ng'ombe hufanikiwa kwa maombi yao na hii yote ni kutokana na power of subconcious mind
Wewe una akili sana.
 
Mitume kila mmoja alitumwa duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini uchawi, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.

Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapemo, uchawi na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe alipewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na kufukuza mapepo.
(Kwa bahati mbaya, watu waka mwamini kuwa Yesu ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma)
Hili ndio jibu sahihi kama hajaelewa hapa hakuna siku ataelewa.

God bless you
 
Nikiangalia ile mikutano ya wale Wananchi masikini na mafukara 99% wamejazana wanalalamika magonjwa na mapepo nawahurumia sana maana hata hiyo mia 500 aliyokua nayo akiba anaipeleka hapo kwa nabii kwenda kuombewa. Huu mnyororo wa umasikini unawaumiza sana watanzania.
 
Mleta mada ndio hao manabii,ameanzisha huu uzi ili kupromote hiyo biashara ya kuwakamua masikini kwa kusingizio cha mapepo.
 
Ukitaka kufanya sample chukua wawili au watatu wape fedha kiasi cha shilingi milioni 10 Kila mmoja uone kama wataenda kuombewa Tena mapepo yatoke. Umasikini ni ugonjwa dawa yake fedha tu.
Mbona swali hapo juu halijibiwi?

Una Elimu Gani?
 
Nikiangalia ile mikutano ya wale Wananchi masikini na mafukara 99% wamejazana wanalalamika magonjwa na mapepo nawahurumia sana maana hata hiyo mia 500 aliyokua nayo akiba anaipeleka hapo kwa nabii kwenda kuombewa. Huu mnyororo wa umasikini unawaumiza sana watanzania.
Mkuu wajinga ndo waliwao

Naumia sana kuona muumini anatoa ela ili aombewe na kutoa sadaka kwa nabii mfano mkubwa watu wa kwamwamposa

Wazungu walileta dini ili kusoften our mind tuwe wapole na obedient kwenye misingi yao ya kikoloni lakini till now days kuna wajinga wanapigwa na hizi dini😁😁

@ The icebreaker
#wajinga ndo waliwao
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Mkuu. Wew ni miongoni mwa wapiga kelele nini?
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Unaposema Yesu unamaanisha Mungu aliye hai kwa hiyo lazima mapepo majini na vyote vya giza vitii jina hilo maana kwanza vimeumbwa na yeye ila baadae viliasi. allah ni shetani ibilisi kwa hiyo shetani hawezi kufukuza majini, mapepo ila anaweza yatuliza kwa muda. Ndiyo maana aliyepagawa na mapepo akienda kwa sheikh, sheikh anachokifanya ni kumtupia huyu aliyepagawa na mapepo mapepo mengine yenye nguvu zaidi yatakayoweza kuyatuliza hayo yaliyopo awali kwa aliyepagawa.
 
Back
Top Bottom