Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
kitu ambacho inatakiwa ufahamu ni kwamba jina alifukuzi pepo bali nguvu yako ndio ambayo inafukuza pepo

Kuna power ambayo ipo ndani yako ambayo tunasema kwamba kuna world within na world without

World within ndipo ni kiini cha power na power hiyo inapatikana kwenye mind,

Kwenye mind kuna kitu kinaitwa couse,couse ni thought na thought ni the way you think,couse ndio inapelekea realinlzation and expression in world without ambapo inajulikana kama condition and effect

Mwisho kabisa tunasema you attract what you believe

#power of subconciuos mind
#law of belief
#Law of nature
 
Kwanini mapepo yanaogopa jina la Yesu!? Utashangaa ukisema toka ktk jina la Yesu hata mchawi anaanza kuwashwa washwa.

Sijajbu swali ila naona jna la Yesu hakika ni jina lenye nguvu haswaa.
Karibu kanisani kwetu kigamboni mjimwema.tunayatoa kwa bei nafuu sana ukiwa na matatu tunakupa discount. Njoo inbox kwa maelezo zaidi.
 
YOHANA 5:36

Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe,mimi nina hukumu kama ninavyosikia kutoka kwa Baba,nayo hukumu yangu ni ya haki,nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe bali apendavyo yule aliyenituma.
(Wafilipi 2:10-11)

Kila goti litapigwa Mbinguni na duniani na Kila ULIMI utakiri kuwa Yesu ni BWANA Kwa utukufu wa Mungu baba.

Sasa ndipo ujue kuwa Jina YESU ndilo JINA personal la Mungu.
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Ni jina linaloishi
Unamaanisha Majina mengine hayaishi?

Au tuseme Majina mengine hayana mamlaka kuzidi Jina Hilo?
Linaishi kiroho na lina mamlaka kwakuwa Kristo aliishinda kuzimu.. Mengine yalichemsha
So amazing 🤔
Wafu wengine wote tukiwemo sisi wafu watarajiwa tunasubiri ufufuo siku ya kiama.. Lakini Kristo Yesu alikishinda kifo ndani ya saa 72 tu na akafufuka na kupaa mbinguni
 
Mwamposa kaja juzi, amelikuta Jina la YESU na atakufa na kuliacha likiendelea kufanya KAZI Kwa nguvu na ubora Ule Ule.

Jikite kwenye mada, kwanini Majina mengine, Allah, YEHOVA nk nk hayawezi kufukuza mapepo?
Ni sawa lakini msipotoa sadaka tutashindwa gharama za uendeshaji kumbuka Kuna maji , mafuta vyote hivyo ni gharama.
 
Kwani nyie pimbi/makafiri/wakiristo mnamuabudu mungu au yesu?
Wakristo tunamwabudu Mungu Mmoja.

Mungu ni Jina la office kuu yenye mamlaka ya juu kuliko zote Mbinguni na duniani,

Ni kama tu kusema Rais, ni Jina la office, lakini Rais analo personal name .

Mungu pia analo Jina , ndilo YESU.

Ikiwa unamwamini Mungu Mmoja na humwamini Yesu, unaabudu usichokijua.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Back
Top Bottom