Huko kukemea ni mbwembwe tu anapigwa kisomo anakuwa safi, nachokuhakikishia hakuna mkristo mwenye mafanikio asiyekuwa na shekhe wake ,chunguza utakuja kuniambia, wao wenyewe wameshtuka kuwa kukemea ni uzushi tu, wakitoka pale pepo lipo pale paleKwamba unaweza kumkemea Pepo Kwa Jina la Allah na Pepo likatoka🤔
(لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ)Jibu swali Ndugu!!
Ni sahihi kabisaWatu wanacheza na fursa mijitu inasonga mbele kama kondoo. Rais kagame wa Rwanda amesema makanisa hasa haya ya kiroho watalipa Kodi maana wanachukua hela nyingi sana kwa Wananchi masikini.
Labda nikuulize vizuri jina la muhusika mwenyewe kabisa ni Nani? Maana kila inchi wanajina lake wakati mtu ni mmojaSalaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Kisomooooo😀Huko kukemea ni mbwembwe tu anapigwa kisomo anakuwa safi, nachokuhakikishia hakuna mkristo mwenye mafanikio asiyekuwa na shekhe wake ,chunguza utakuja kuniambia, wao wenyewe wameshtuka kuwa kukemea ni uzushi tu, wakitoka pale pepo lipo pale pale
Wewe una akili sana.Jina la yesu halina nguvu bali wewe ndie mwenye nguvu,jina la yesu unaweza kumpa hata paka nyumbani na bado isiwe tatizo
Ndio maana wakati wa kukemea hasemi yesu bali mimi(yeye) "I" anakemea kwa jina la yesu ambapo jina yesu linatumika kama kutia concetration kwenye spirit power of mimi ("I")hapa ndipo nguvu yako ilipo na ndipo unapoamini
Waislamu pia wanasema mimi(I) nafanyaya.................kwa jina la mwenezi mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu ambaye ni ALLAH(S.W).
Yote kwa ujumla tunasema ni "law of belief" ambayo inaoperate ndani ya universe(ulimwengu)
Na christianity na islamic religion ni form of belief.
Hapa utagundua hata ambaye anaamini kichuguu,mti au ng'ombe hufanikiwa kwa maombi yao na hii yote ni kutokana na power of subconcious mind
Hili ndio jibu sahihi kama hajaelewa hapa hakuna siku ataelewa.Mitume kila mmoja alitumwa duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini uchawi, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.
Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapemo, uchawi na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe alipewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na kufukuza mapepo.
(Kwa bahati mbaya, watu waka mwamini kuwa Yesu ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma)
Kwani ni lini fedha iliwahi kutosha ndg mtumishi ,kila mtu hapati fedha ya kutosha ikiwemo ww hebu jiombee basi.Kuna kitu kinakusumbua katika maisha yako.nimeona katika ndoto hupati fedha za kutosha kukidhi mahitaji Yako. Tafadhali fika kanisani kwetu tukuombee.
Shukrani mkuu kwa kutambua hilo🙏Wewe una akili sana.
Mleta mada ndio hao manabii,ameanzisha huu uzi ili kupromote hiyo biashara ya kuwakamua masikini kwa kusingizio cha mapepo.Nikiangalia ile mikutano ya wale Wananchi masikini na mafukara 99% wamejazana wanalalamika magonjwa na mapepo nawahurumia sana maana hata hiyo mia 500 aliyokua nayo akiba anaipeleka hapo kwa nabii kwenda kuombewa. Huu mnyororo wa umasikini unawaumiza sana watanzania.
Mbona swali hapo juu halijibiwi?Ukitaka kufanya sample chukua wawili au watatu wape fedha kiasi cha shilingi milioni 10 Kila mmoja uone kama wataenda kuombewa Tena mapepo yatoke. Umasikini ni ugonjwa dawa yake fedha tu.
Wewe kwa akili zako tu hizi kwa unachotaka tujadili hapa huna uwezo wangu ndugu mtumishi. Usiku mwemaMbona swali hapo juu halijibiwi?
Una Elimu Gani?
Mkuu wajinga ndo waliwaoNikiangalia ile mikutano ya wale Wananchi masikini na mafukara 99% wamejazana wanalalamika magonjwa na mapepo nawahurumia sana maana hata hiyo mia 500 aliyokua nayo akiba anaipeleka hapo kwa nabii kwenda kuombewa. Huu mnyororo wa umasikini unawaumiza sana watanzania.
Mkuu. Wew ni miongoni mwa wapiga kelele nini?Salaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Mkuu swali lake mbona tumeshamjibia .Wewe kwa akili zako tu hizi kwa unachotaka tujadili hapa huna uwezo wangu ndugu mtumishi. Usiku mwema
Unaposema Yesu unamaanisha Mungu aliye hai kwa hiyo lazima mapepo majini na vyote vya giza vitii jina hilo maana kwanza vimeumbwa na yeye ila baadae viliasi. allah ni shetani ibilisi kwa hiyo shetani hawezi kufukuza majini, mapepo ila anaweza yatuliza kwa muda. Ndiyo maana aliyepagawa na mapepo akienda kwa sheikh, sheikh anachokifanya ni kumtupia huyu aliyepagawa na mapepo mapepo mengine yenye nguvu zaidi yatakayoweza kuyatuliza hayo yaliyopo awali kwa aliyepagawa.Salaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Mbona swali hapo juu halijibiwi?Mkuu. Wew ni miongoni mwa wapiga kelele nini?