Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Baba yetu uliye Mbinguni, JINA lako litukuzwe.

Katika Sala, unalitaja Jina la Mungu ndipo Sala ifike na kusikizwa.

Jina la la Baba, Mwana na Roho MTAKATIFU ndilo YESU.

Mungu ni MMOJA, na YESU KRISTO/ YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Yesu alikuwa fundi serelama, alibatizwa na Yohana mbatizaji.

Yesu alipofikisha miaka 30 ndio alianza huduma yake na muujiza wake wa kwanza aligeuza maji kuwa pombe kwenye harusi Kana.

Yesu alifanya huduma kwa miaka mitatu tu akasulubiwa, akafaka, akazikwa akafufuka katika wafu, akapaa mbinguni akiwa na miaka 33.

Nabii Enock pia alikuwa anakwenda mbinguni akiwa hai.

Elia hakuonja umauti alipazwa mbinguni direct.

Sijaelewa huu utumishi wenu huwa mnasoma vitabu na kupata bible knoledge au ndio hoyahoya tu?

Yesu alipokuwa msalabani alitamka Baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke lakini kama ni mapenzi yako na yatimizwe.

Sijaelewa Wakristo wenzangu mnakwama wapi, ni bora hata mtaguso wa Nikea uliosisitiza utatu mtakatifu wana logic kuliko hizi bangi mnaandika humu.

Quran inamuelezea Masiah waziwazi kwamba ni mtume wa daraja la juu ambaye yuko mbinguni na Allah, hizi lugha zisikupe tabu, kwenye Quran waandishi wamechukuwa Torati, injili na zaburi, kosa lao ni kuedit hivyo vitabu kuna waliyoyaweka na mengine kupindisha ukweli, waandishi wa Quran wanasema aliyesurubiwa siyo Masiah bali Masiah alipazwa mbinguni na akasurubiwa mtu kanjanja.

Hapa simple logic Quran inamtambuwa Yesu kama mtume wa daraja la juu kuliko Muhammad ambaye yupo kuzimu lakini Masiah yu hai yupo mbinguni na Allah.
 
Ahsante, na watatu watakatifu ni wepi hao?
(1 John 5:8-9)

Wako watatu washuhudiao

MBINGUNI.
BABA na NENO na ROHO MTAKATIFU
Na watatu Hawa ni UMOJA.

DUNIANI.

Roho , Maji na Damu.
Watatu Hawa hupatana Kwa habari Moja.

Tafsiri ni ipi?

Kama ambavyo maji, Damu na Roho ndivyo vinamfanya mtu kuwa MMOJA,

Vivyo hivyo, BABA, NENO na ROHO MTAKATIFU ni UMOJA, mmoja Si watatu.

Roho MTAKATIFU ni Roho wa Yesu.

Neno ndiye Yesu huyo huyo katika duty tofauti.

Baba ndiye Yesu huyo huyo aketipo kitini pa enzi Mbinguni.

Sijui nimekuelewesha ipasavyo?🤔

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Ni jina walilopewa wanadamu kuwakomboa kiroho.
Majini, mapepo na mashetani wakisikia jina hili wanatetemeka kwa hofu.
Ni jina linalowaunguza nakuwachoma kabisa!
 
(1 John 5:8-9)

Wako watatu washuhudiao

MBINGUNI.
BABA na NENO na ROHO MTAKATIFU
Na watatu Hawa ni UMOJA.

DUNIANI.

Roho , Maji na Damu.
Watatu Hawa hupatana Kwa habari Moja.

Tafsiri ni ipi?

Kama ambavyo maji, Damu na Roho ndivyo vinamfanya mtu kuwa MMOJA,

Vivyo hivyo, BABA, NENO na ROHO MTAKATIFU ni UMOJA, mmoja Si watatu.

Roho MTAKATIFU ni Roho wa Yesu.

Neno ndiye Yesu huyo huyo katika duty tofauti.

Baba ndiye Yesu huyo huyo aketipo kitini pa enzi Mbinguni.

Sijui nimekuelewesha ipasavyo?🤔

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Hivi huwa mnavuta bangi au upo sawa kichwani?

Hivi unafahamu kama Yesu ana ndugu zake kabisa?
 
Yesu alikuwa fundi serelama, alibatizwa na Yohana mbatizaji.

Yesu alipofikisha miaka 30 ndio alianza huduma yake na muujiza wake wa kwanza aligeuza maji kuwa pombe kwenye harusi Kana.

Yesu alifanya huduma kwa miaka mitatu tu akasulubiwa, akafaka, akazikwa akafufuka katika wafu, akapaa mbinguni akiwa na miaka 33.

Nabii Enock pia alikuwa anakwenda mbinguni akiwa hai.

Elia hakuonja umauti alipazwa mbinguni direct.

Sijaelewa huu utumishi wenu huwa mnasoma vitabu na kupata bible knoledge au ndio hoyahoya tu?

Yesu alipokuwa msalabani alitamka Baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke lakini kama ni mapenzi yako na yatimizwe.

Sijaelewa Wakristo wenzangu mnakwama wapi, ni bora hata mtaguso wa Nikea uliosisitiza utatu mtakatifu wana logic kuliko hizi bangi mnaandika humu.

Quran inamuelezea Masiah waziwazi kwamba ni mtume wa daraja la juu ambaye yuko mbinguni na Allah, hizi lugha zisikupe tabu, kwenye Quran waandishi wamechukuwa Torati, injili na zaburi, kosa lao ni kuedit hivyo vitabu kuna waliyoyaweka na mengine kupindisha ukweli, waandishi wa Quran wanasema aliyesurubiwa siyo Masiah bali Masiah alipazwa mbinguni na akasurubiwa mtu kanjanja.

Hapa simple logic Quran inamtambuwa Yesu kama mtume wa daraja la juu kuliko Muhammad ambaye yupo kuzimu lakini Masiah yu hai yupo mbinguni na Allah.
Mungu ni MMOJA, NAFSI Moja.

Hakuna Mungu watatu au wanne, Mungu ni MMOJA tu.

Yeye alivaa mwili akawa mwanadamu lakini akaendelea kuwa Mungu.
 
Yesu alikuwa fundi serelama, alibatizwa na Yohana mbatizaji.

Yesu alipofikisha miaka 30 ndio alianza huduma yake na muujiza wake wa kwanza aligeuza maji kuwa pombe kwenye harusi Kana.

Yesu alifanya huduma kwa miaka mitatu tu akasulubiwa, akafaka, akazikwa akafufuka katika wafu, akapaa mbinguni akiwa na miaka 33.

Nabii Enock pia alikuwa anakwenda mbinguni akiwa hai.

Elia hakuonja umauti alipazwa mbinguni direct.

Sijaelewa huu utumishi wenu huwa mnasoma vitabu na kupata bible knoledge au ndio hoyahoya tu?

Yesu alipokuwa msalabani alitamka Baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke lakini kama ni mapenzi yako na yatimizwe.

Sijaelewa Wakristo wenzangu mnakwama wapi, ni bora hata mtaguso wa Nikea uliosisitiza utatu mtakatifu wana logic kuliko hizi bangi mnaandika humu.

Quran inamuelezea Masiah waziwazi kwamba ni mtume wa daraja la juu ambaye yuko mbinguni na Allah, hizi lugha zisikupe tabu, kwenye Quran waandishi wamechukuwa Torati, injili na zaburi, kosa lao ni kuedit hivyo vitabu kuna waliyoyaweka na mengine kupindisha ukweli, waandishi wa Quran wanasema aliyesurubiwa siyo Masiah bali Masiah alipazwa mbinguni na akasurubiwa mtu kanjanja.

Hapa simple logic Quran inamtambuwa Yesu kama mtume wa daraja la juu kuliko Muhammad ambaye yupo kuzimu lakini Masiah yu hai yupo mbinguni na Allah.
Hata mimi nashangaa sana hii kitu, Ukisoma biblia sehemu kadhaa yesu anasema nimetumwa na Baba

Lakini Yesu mwenyewe alikua anapandisha mlimani kusali kwa Baba yake..

Hata sala Rasmi inaanza na "Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe"

Hata sheria inasema "Wakujue Mungu wa pekee wa kweli na Yesu kristo uliyemtuma"

Bado tena Yesu alisema katika Marko
Screenshot_20240828-002204~2.png

Ukisoma hapo vizuri inaeleza Baba pekee ndo anaujua mwisho , Yesu haujui..

Sasa hua nashangaa sana kukuta Mkristo saa nyingine Mtumishi anatangaza kwamba Yesu ni Mungu aujueye Mwisho, Wakati hapo Yesu mwenyewe kakilii kwamba kuna aliemzidi uwezo na huyo ndio aijuae siku hiyo...

How comes wawe kitu kimoja? Wakristo mjitafakari?

Thats why siamini dini ..
 
Hivi huwa mnavuta bangi au upo sawa kichwani?

Hivi unafahamu kama Yesu ana ndugu zake kabisa?
Punguza hasira .

Kwani baba wa Yesu kimwili aliitwa nani vile?🤔
Yesu ndiye Melkizedeki, Hana baba wala mama.

Yeye ni Mungu Mfalme wa Wafalme, Hana mwanzo Wala mwisho.
 
Hata mimi nashangaa sana hii kitu, Ukisoma biblia sehemu kadhaa yesu anasema nimetumwa na Baba

Lakini Yesu mwenyewe alikua anapandisha mlimani kusali kwa Baba yake..

Hata sala Rasmi inaanza na "Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe"

Hata sheria inasema "Wakujue Mungu wa pekee wa kweli na Yesu kristo uliyemtuma"

Bado tena Yesu alisema katika Marko
View attachment 3081015

Ukisoma hapo vizuri inaeleza Baba pekee ndo anaujua mwisho , Yesu haujui..

Sasa hua nashangaa sana kukuta Mkristo saa nyingine Mtumishi anatangaza kwamba Yesu ni Mungu na anajua Mwisho na hapo Yesu mwenyewe kakilii kwamba kuna aliemzidi uwezo na huyo ndio aijuae siku hiyo...

How comes wawe kitu kimoja? Wakristo mjitafakari?

Thats why siamini dini ..
Najua unapenda kuijua Kweli,

Baba wa Yesu kimwili ni nani?
 
Punguza hasira .

Kwani baba wa Yesu kimwili aliitwa nani vile?🤔
Yesu ndiye Melkizedeki, Hana baba wala mama.

Yeye ni Mungu Mfalme wa Wafalme, Hana mwanzo Wala mwisho.
Kwahiyo bikira Maria siyo mama wa Yesu?

Aisee punguza bangi mazee.
 
Hata mimi nashangaa sana hii kitu, Ukisoma biblia sehemu kadhaa yesu anasema nimetumwa na Baba

Lakini Yesu mwenyewe alikua anapandisha mlimani kusali kwa Baba yake..

Hata sala Rasmi inaanza na "Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe"

Hata sheria inasema "Wakujue Mungu wa pekee wa kweli na Yesu kristo uliyemtuma"

Bado tena Yesu alisema katika Marko
View attachment 3081015

Ukisoma hapo vizuri inaeleza Baba pekee ndo anaujua mwisho , Yesu haujui..

Sasa hua nashangaa sana kukuta Mkristo saa nyingine Mtumishi anatangaza kwamba Yesu ni Mungu na anajua Mwisho na hapo Yesu mwenyewe kakilii kwamba kuna aliemzidi uwezo na huyo ndio aijuae siku hiyo...

How comes wawe kitu kimoja? Wakristo mjitafakari?

Thats why siamini dini ..
Issu wala siyo Wakristo, kuna kundi tu la watu wachache wanaojiita Walokole ndio wanaleta bangi hizi.
 
Kwahiyo bikira Maria siyo mama wa Yesu?

Aisee punguza bangi mazee.
Yesu ni Mungu ndiye Melkizedeki, Hana baba wala Mama. Na Hana mwanzo Wala mwisho. Na ni mfalme wa milele.

Kama ambavyo Yusuph hakuwa baba wa Yesu,ndipo ujue kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja katika mwili wa mwanadamu.
 
Donald Trump amekiri hadharani kuwa Yesu ndiye aliyemponya na risasi iliyolenga kumuua.
Yesu ndio aliyemwambia amsikilize yule mtu pembeni yake?😁
Nazungumzia pepo la dharau kwa Waafrika akituuita "shithole countries ''
 
Yesu ni Mungu ndiye Melkizedeki, Hana baba wala Mama. Na Hana mwanzo Wala mwisho. Na ni mfalme wa milele.

Kama ambavyo Yusuph hakuwa baba wa Yesu,ndipo ujue kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja katika mwili wa mwanadamu.
Punguza bangi ndugu, nyinyi ndio mnasababisha waislamu wafikiri wakristo wote ni machizi kumbe mpo wachache tu.

Kwanza wewe hata bible knoledge huna utanipotezea muda bora nilale tu.
 
Issu wala siyo Wakristo, kuna kundi tu la watu wachache wanaojiita Walokole ndio wanaleta bangi hizi.
Hao uwaitao walokole , waliookoka, ndio Hasa Wana wa Mungu Walio na chapa za Kristo.

Hizi dini kubwa mbili catolica na Islam hazitambuliki Mbinguni, ni dini Toka chini Si juu.
 
Kwamba kifungu nilichoquote. Hakisemi hivyo?
Biblia iko sahihi, ila wewe ni Mwongo unatafsiri aidha unavyopendelea wewe au Ulivyofundishwa ..

Kosa wanalofanya wakristo wengi , kazi ya kutafakari neno wanawaachia wachungaji naviongizi wao wan dini...
 
Punguza bangi ndugu, nyinyi ndio mnasababisha waislamu wafikiri wakristo wote ni machizi kumbe mpo wachache tu.

Kwanza wewe hata bible knoledge huna utanipotezea muda bora nilale tu.
Lala ukijua Mungu ni MMOJA tu.

Na Jina la huyo Mungu Mmoja ni YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH. Amen
 
Back
Top Bottom