Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Yesu alikuwa fundi serelama, alibatizwa na Yohana mbatizaji.Baba yetu uliye Mbinguni, JINA lako litukuzwe.
Katika Sala, unalitaja Jina la Mungu ndipo Sala ifike na kusikizwa.
Jina la la Baba, Mwana na Roho MTAKATIFU ndilo YESU.
Mungu ni MMOJA, na YESU KRISTO/ YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Yesu alipofikisha miaka 30 ndio alianza huduma yake na muujiza wake wa kwanza aligeuza maji kuwa pombe kwenye harusi Kana.
Yesu alifanya huduma kwa miaka mitatu tu akasulubiwa, akafaka, akazikwa akafufuka katika wafu, akapaa mbinguni akiwa na miaka 33.
Nabii Enock pia alikuwa anakwenda mbinguni akiwa hai.
Elia hakuonja umauti alipazwa mbinguni direct.
Sijaelewa huu utumishi wenu huwa mnasoma vitabu na kupata bible knoledge au ndio hoyahoya tu?
Yesu alipokuwa msalabani alitamka Baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke lakini kama ni mapenzi yako na yatimizwe.
Sijaelewa Wakristo wenzangu mnakwama wapi, ni bora hata mtaguso wa Nikea uliosisitiza utatu mtakatifu wana logic kuliko hizi bangi mnaandika humu.
Quran inamuelezea Masiah waziwazi kwamba ni mtume wa daraja la juu ambaye yuko mbinguni na Allah, hizi lugha zisikupe tabu, kwenye Quran waandishi wamechukuwa Torati, injili na zaburi, kosa lao ni kuedit hivyo vitabu kuna waliyoyaweka na mengine kupindisha ukweli, waandishi wa Quran wanasema aliyesurubiwa siyo Masiah bali Masiah alipazwa mbinguni na akasurubiwa mtu kanjanja.
Hapa simple logic Quran inamtambuwa Yesu kama mtume wa daraja la juu kuliko Muhammad ambaye yupo kuzimu lakini Masiah yu hai yupo mbinguni na Allah.