Almost vikundi vyote vya dini wanaamini Yesu ndie Mungu, kitu ambacho si kweli.Issu wala siyo Wakristo, kuna kundi tu la watu wachache wanaojiita Walokole ndio wanaleta bangi hizi.
Jehovah Lord GodNani aliyemweka mtoto Yesu ndani ya tumbo la Mariamu?
Mimi mwongo sio🤔Biblia iko sahihi, ila wewe ni Mwongo unatafsiri aidha unavyopendelea wewe au Ulivyofundishwa ..
Kosa wanalofanya wakristo wengi , kazi ya kutafakari neno wanawaachia wachungaji naviongizi wao wan dini...
Mkuu siamini katika Utatu Mtakatifu..Mimi mwongo sio🤔
Mimi nina andiko zaidi ya Moja lenye kusema Mungu ana NAFSI Moja.
Wewe nionyeshe Mahali popote palipoandikwa kuwa Mungu ana NAFSI tatu.
Karibu 🙏
Hapa walokole ndipo mnakuwa hamueleweki.Punguza hasira .
Kwani baba wa Yesu kimwili aliitwa nani vile?🤔
Yesu ndiye Melkizedeki, Hana baba wala mama.
Yeye ni Mungu Mfalme wa Wafalme, Hana mwanzo Wala mwisho.
Umeniambia Mimi mwongo, ninatafsiri maandiko tofauti.Mkuu siamini katika Utatu Mtakatifu.. Nahisi unausingizi hebu zipitie coment zangu tena ..
Hivi unajua Jina YEHOVA tafsiri yake ni Mwenyezi Mungu?Hapa walokole ndipo mnakuwa hamueleweki.
Yesu ni mungu sawa, kwakuwa alitumika ktk uumbaji na pia ni mzaliwa wa kwanza wa viumbe wote. Yesu sio Mungu mkuu YEHOVA
Wakolosai 1:12-23
[12]mkimshukuru Baba, aliyewastahilisha kupokea sehemu ya urithi wa watakatifu katika nuru.
Giving thanks unto the Father, which hath made us meet to be partakers of the inheritance of the saints in light:
[13]Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake;
Who hath delivered us from the power of darkness, and hath translated us into the kingdom of his dear Son:
[14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;
In whom we have redemption through his blood, even the forgiveness of sins:
[15]naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
Who is the image of the invisible God, the firstborn of every creature:
[16]Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake.
For by him were all things created, that are in heaven, and that are in earth, visible and invisible, whether they be thrones, or dominions, or principalities, or powers: all things were created by him, and for him:
[17]Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye.
And he is before all things, and by him all things consist.
[18]Naye ndiye kichwa cha mwili, yaani, cha kanisa; naye ni mwanzo, ni mzaliwa wa kwanza katika wafu, ili kwamba awe mtangulizi katika yote.
And he is the head of the body, the church: who is the beginning, the firstborn from the dead; that in all things he might have the preeminence.
[19]Kwa kuwa katika yeye ilipendeza utimilifu wote ukae;
For it pleased the Father that in him should all fulness dwell;
[20]na kwa yeye kuvipatanisha vitu vyote na nafsi yake akiisha kufanya amani kwa damu ya msalaba wake; kwa yeye, ikiwa ni vitu vilivyo juu ya nchi, au vilivyo mbinguni.
And, having made peace through the blood of his cross, by him to reconcile all things unto himself; by him, I say, whether they be things in earth, or things in heaven.
[21]Na ninyi, mliokuwa hapo kwanza mmefarikishwa, tena adui katika nia zenu, kwa matendo yenu mabaya, amewapatanisha sasa;
And you, that were sometime alienated and enemies in your mind by wicked works, yet now hath he reconciled
[22]katika mwili wa nyama yake, kwa kufa kwake, ili awalete ninyi mbele zake, watakatifu, wasio na mawaa wala lawama;
In the body of his flesh through death, to present you holy and unblameable and unreproveable in his sight:
[23]mkidumu tu katika ile imani, hali mmewekwa juu ya msingi, mkawa imara; msipogeuzwa na kuliacha tumaini la Injili mliyosikia habari zake, iliyohubiriwa katika viumbe vyote vilivyo chini ya mbingu; ambayo mimi Paulo nalikuwa mhudumu wake.
If ye continue in the faith grounded and settled, and be not moved away from the hope of the gospel, which ye have heard, and which was preached to every creature which is under heaven; whereof I Paul am made a minister;
Mkuu yakupasa uwe na elimu sahihi kuhusu Kristu Yesu.Hivi unajua Jina YEHOVA tafsiri yake ni Mwenyezi Mungu?
Na kwanini ndugu msabato hamtumii Jina YEHOVA kufukuza mapepo ikiwa ni Jina la Mungu Hilo personal?
Umeniambia Mimi mwongo, ninatafsiri maandiko tofauti.
Ikiwa unaamini Yesu Hana baba kimwili, unashindwa vipi kujua kuwa Yesu ndiye Mungu aliyekuja katika mwili wa mwanadamu ikiwa unaamini Mungu ni MMOJA NAFSI Moja?
Yohana 20:17Hivi unajua Jina YEHOVA tafsiri yake ni Mwenyezi Mungu?
Na kwanini ndugu msabato hamtumii Jina YEHOVA kufukuza mapepo ikiwa ni Jina la Mungu Hilo personal?
Ndipo tunarudi kwenye swali la mada hapo juu,View attachment 3081031
Wewe acha kuruka ruka, nachokuelekeza Yesu sio Mungu anaetajwa hapo..
Huyo mmoja alie juu ya wote ni Yehova na ndie Mungu wa pekee wa kweli na Yesu ni mwanae mpendwa ..
Ongeza na hii:YOHANA 5:36
Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe,mimi nina hukumu kama ninavyosikia kutoka kwa Baba,nayo hukumu yangu ni ya haki,nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe bali apendavyo yule aliyenituma.
(Yohana 14:8-12)Yohana 20:17
[17]Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
Jesus saith unto her, Touch me not; for I am not yet ascended to my Father: but go to my brethren, and say unto them, I ascend unto my Father, and your Father; and to my God, and your God.
Kaka unanikosea sana , Mimi sio msabato, Hivi unatambua kua Moja ya misingi 28 ya kanisa sabato ni Utatu Mtakatifu..Ndipo tunarudi kwenye swali la mada hapo juu,
Kwamba ikiwa YEHOVA ndilo JINA personal la Mungu, iweje ukikemea Pepo Kwa Jina YEHOVA halitoki,
Ila ukikemea Pepo Kwa Jina YESU, Pepo linatii na Kutoka?
Una jibu Gani hapo ndugu msabato?
Naona umeanza kunijelewa.Kaka unanikosea sana , Mimi sio msabato, Hivi unatambua kua Moja ya misingi 28 ya kanisa sabato ni Utatu Mtakatifu..
Nitakuaje msabato na siamini utatu mtakatifu, Usikariri..
Ila kwasasa nimekuelewa tatizo lako, unajaribu kusema Mungu wa pekee wa kweli ni Yesu kwasababu jina la Yesu linamamlaka si ndio?
Naomba ufafanuzi hapaNdipo tunarudi kwenye swali la mada hapo juu,
Kwamba ikiwa YEHOVA ndilo JINA personal la Mungu, iweje ukikemea Pepo Kwa Jina YEHOVA halitoki,
Ila ukikemea Pepo Kwa Jina YESU, Pepo linatii na Kutoka?
Una jibu Gani hapo ndugu msabato?
Unafikiri Yehova angetaka pepoNaona umeanza kunijelewa.
Jina lenye mamlaka ya kimungu iliyo kuu kuliko Majina yote, lazima Jina Hilo litakuwa Jina la Mungu.
Hiyo HOJA vipi, haijakufikirisha?
Kwamba ikiwa Jehovah ndilo JINA la Mungu, why halina mamlaka kufukuza Pepo?
Je lipi Jina personal la Mungu kati ya Jehovah na YESU?
Huo ni Ujasusi mbingu ziliamua kuufanyia Dunia,Naomba ufafanuzi hapa
Marko 13:32
[32]Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba.
But of that day and that hour knoweth no man, no, not the angels which are in heaven, neither the Son, but the Father.
Hapa yesu anasema kupewa mamlaka.Naona umeanza kunijelewa.
Jina lenye mamlaka ya kimungu iliyo kuu kuliko Majina yote, lazima Jina Hilo litakuwa Jina la Mungu.
Hiyo HOJA vipi, haijakufikirisha?
Kwamba ikiwa Jehovah ndilo JINA la Mungu, why halina mamlaka kufukuza Pepo?
Je lipi Jina personal la Mungu kati ya Jehovah na YESU?
Duuuh.....Huo ni Ujasusi mbingu ziliamua kuufanyia Dunia,
Hujiulizi Yesu huyo huyo anatoa dalili za siku ya mwisho ikiwa hajui ni lini?
Soma pia ufunuo wa Yohana, Yohana Alimwona BWANA Mungu na ndiye aliyemwonyesha yote yatakavyokuwa Hadi siku hiyo ya mwisho.
Na Yohana katika kitabu Cha ufunuo amemwona Mungu katika KITI Cha enzi na Mungu huyo ni mtu tena ana matundu ya misumari katika viganja vya mikono yake🤔
Yesu ndiye Mungu aketiye katika KITI Cha enzi.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen