Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Jibu swali hapo juu,

Kwamba, kwann ukikemea Pepo au jinsi Kwa Jina la Allah halitoki?🤔
Ni hela Yako tu hata nikikemea kwa jina la magufuli yanatoka mkuu. Kama hauamini njoo jumapili nikutoe maana nimeoteshwa unayo manne na yanakuchelewesha sana kufanikiwa katika maisha Yako. Njok inbox kwa maelezo zaidi.
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Mimi personally nimeona wakristo wengi wakiombewa dua kwa mashekhe kwa kusumbuliwa na mapepo baada ya kuhangaika makanisani muda mrefu, sasa sijui unataka kutuambia nini
Acheni ujuha ndio maana mnageuzwa mitaji, wewe hadi mtu anatoka congo huko kuja kuwapiga hela baada ya kujua wakristo wa tanzania wepesi
Muamini mungu wako nenda kasali mengine muachie mungu huko kupenda kwenu miujiza hadi mnaangukia kwa wapigaji
 
Kwamba unaweza kumkemea Pepo Kwa Jina la Allah na Pepo likatoka🤔
 
Mleta mada anaweza kua ni wale manabii wa uongo wanaowapiga hela waumini wao kwa kuwaaminisha miujiza kama hiyo ya mapepo,

Inawezekana kabisa hata huu uzi kauanzisha kwa lengo la kupromote hiyo biashara yake ya kuwapiga hela masikini kwa kuwaaminisha sijui Mapepo.
 
Jina la yesu lingeponya magonjwa hospital zisingejengwa, hospital zimejengwa kuanzia na wamisionari wageni hadi wazawa,hao wanaojifanya kuombea wakiumwa huenda hospital
Na stori zinasema mmiliki wa hilo jina alidanja kwa misumari.

Yani wanatuambia jina lake ni kinga lakini wanasahau kuwa huyo mwenye jina pia aliwahi kukutana na msala

Na hilo jina lake halikuweza kumsadia kuepuka misumari pale alipobananishwa kwenye angle za wayahudi.

Hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje na mahubiri yao.
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Jina la yesu halina nguvu bali wewe ndie mwenye nguvu,jina la yesu unaweza kumpa hata paka nyumbani na bado isiwe tatizo

Ndio maana wakati wa kukemea hasemi yesu bali mimi(yeye) "I" anakemea kwa jina la yesu ambapo jina yesu linatumika kama kutia concetration kwenye spirit power of mimi ("I")hapa ndipo nguvu yako ilipo na ndipo unapoamini

Waislamu pia wanasema mimi(I) nafanya.................kwa jina la mwenyezi mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu ambaye ni ALLAH(S.W).

Yote kwa ujumla tunasema ni "law of belief" ambayo inaoperate ndani ya universe(ulimwengu)

Na christianity na islamic religion ni form of belief.

Hapa utagundua hata ambaye anaamini kichuguu,mti au ng'ombe hufanikiwa kwa maombi yao na hii yote ni kutokana na power of subconcious mind
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Hizo ni stori za jaba
 
Jamaa anawamaliza kweli.Namwamini Mwenyezi Mungu na mwanae Yesu Kristo Ila siyumbishwi kiimani.Yaan nilipo ndio hapahapa.Nikiumwa ni hospital na kujiombea mwenyewe...maana kufa kupo tu hakukwepeki
Watu wanacheza na fursa mijitu inasonga mbele kama kondoo. Rais kagame wa Rwanda amesema makanisa hasa haya ya kiroho watalipa Kodi maana wanachukua hela nyingi sana kwa Wananchi masikini.
 
Mitume kila mmoja alitumwa duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini uchawi, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.

Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapemo, uchawi na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe alipewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na kufukuza mapepo.
(Kwa bahati mbaya, watu waka mwamini kuwa Yesu ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma)
Ili kuelewa lazima ujue utatu mtakatifu Mungu Baba, Mungu mwana na Roho mtakatifu

Na tunatumia jina lake sababu alisema mwenyewe kuwa lolote muombalo kupitia jina langu naye Baba yangu awapeni

Jina la Mungu tunalitumia kwa muda maalum tu maana hata yeye muweza wa yote alisema usilitaje bure jina lake
 
Wakristo tunamwabudu Mungu Mmoja.

Mungu ni Jina la office kuu yenye mamlaka ya juu kuliko zote Mbinguni na duniani,

Ni kama tu kusema Rais, ni Jina la office, lakini Rais analo personal name .

Mungu pia analo Jina , ndilo YESU.

Ikiwa unamwamini Mungu Mmoja na humwamini Yesu, unaabudu usichokijua.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Asante sana umeeleza vyema. Wengi wanachanganya sana hawajui jina Mungu ni cheo (nomino ya kawaida) kama kusema Baba ,Rais ,kiongozi, mheshimiwa nk.
Lakini jina YESU ni jina specific la MUNGU muumba wa vyote.
Ndio maana hatukemei pepo kwa jina la Mungu bali kwa jina la YESU KRISTO.

HAKIKA MUNGU NI MMOJA NA YESU KRISTO NDILO JINA LAKE.

Amen.
 
muhamad si kipepo kile hakikwenda hata shule ila ramli zake hatari na kimewazindika wote wakaamini kenyewe na asije mwingine
 
Back
Top Bottom