Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia Jina la Babu Yako kufukuza mapepo uone moto wake.Kila kitu ni IMANI mkuu
We mtoto umpewa nani na umepewa lini mtotoMtoto huyo tuliopewa ni Mungu mwenyewe nguvu,
BABA WA milele.
Halafu ukimwambia mtu Yesu ndiye huyo huyo Mungu BABA aketiye KITI Cha enzi haelewi.
Mungu atusaidie.
Ukiamini hata ukitumia lako linaweza kufanya, mfano maji ya baraka wengi wanatumiaga maji ya kawaida tu lakini yanaombewa na wanakuwa na imani yatafanya kaziTumia Jina la Babu Yako kufukuza mapepo uone moto wake.
Umeongea point sana mkuuUkiamini hata ukitumia lako linaweza kufanya, mfano maji ya baraka wengi wanatumiaga maji ya kawaida tu lakini yanaombewa na wanakuwa na imani yatafanya kazi
Maji Huwa yanaombewa Kwa Jina lipi kimamlaka?Ukiamini hata ukitumia lako linaweza kufanya, mfano maji ya baraka wengi wanatumiaga maji ya kawaida tu lakini yanaombewa na wanakuwa na imani yatafanya kazi
Tunarudi pale pale, lakini imani ndio kila kituMaji Huwa yanaombewa Kwa Jina lipi kimamlaka?
Jibu swali, maji Huwa yanaombewa bila kutaji Jina lenye mamlaka kupita kwenye maji kuponya?Tunarudi pale pale, lakini imani ndio kila kitu
Warumi 10:9.,10.,11.,12.,13.Ukiamini hata ukitumia lako linaweza kufanya, mfano maji ya baraka wengi wanatumiaga maji ya kawaida tu lakini yanaombewa na wanakuwa na imani yatafanya kazi
Jielekeze kwenye maada!! Ukisema kuwa kila nabii alitumwa kwa kazi yake sio kweli! Leo kuna manabii wengi na wao pia wanatumia jina la Yesu jibu ni kwamba jina la Yesu ndo jina pekee wanadamu tulilopewa kuokolewa kwalo! Nje na hapo unajidanganya tu mkuu! Jina la Yesu linaogopwa mpaka na wachawi na waganga!!Mitume kila mmoja alitumwa duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini uchawi, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.
Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapepo, kuponya waliorogwa/uchawi na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba, na mengine mengi ambayo wachawi hawakuyaweza.
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe aliyepewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na hata kufukuza mapepo nk.
(Kwa bahati mbaya sana, watu waka mwamini Yesu kuwa ndiye Mungu badala ya Kumuamini aliyemtuma (Mungu)
wewe ndio nimekuelewakitu ambacho inatakiwa ufahamu ni kwamba jina alifukuzi pepo bali nguvu yako ndio ambayo inafukuza pepo
Kuna power ambayo ipo ndani yako ambayo tunasema kwamba kuna world within na world without
World within ndipo ni kiini cha power na power hiyo inapatikana kwenye mind,
Kwenye mind kuna kitu kinaitwa couse,couse ni thought na thought ni the way you think,couse ndio inapelekea realinlzation and expression in world without ambapo inajulikana kama condition and effect
Mwisho kabisa tunasema you attract what you believe
#power of subconciuos mind
#law of belief
#Law of nature
Wao wanamwangalia mtoto wa Mariamu. Ambaye ni Binadamu kama sisi tu.Mtoto huyo tuliopewa ni Mungu mwenyewe nguvu,
BABA WA milele.
Halafu ukimwambia mtu Yesu ndiye huyo huyo Mungu BABA aketiye KITI Cha enzi haelewi.
Mungu atusaidie.
kwa hivyo hayo mapepo yaliyoondolewa na Yesu yalibaki kwa waafrika peke yao maana hatuoni wazungu wakiondolewa hayo mapepoKwa mujibu wa Bibilia Yesu na mitume waliondoa mapepo, je hao walioondolewa mapepo walikuwa waafrika?
hiyo ni 'extrapolation' ya maana ya hilo neno pepo kwa mantiki yakoMapepo ni Roho chafu, hayachagui RANGI Wala kabila, mweusi, mzungu ,mwarabu, anapagawa kama kawaida.
Ukiona mtu amevaa nusu Uchumi usijiulize mara mbili Wala kumtizana RANGI, ana Pepo.
Likewise, ukimwona mtu amechora tattoo mwilini, ni KAZI ya Pepo hiyo.
Karibu.
Asante sana umeeleza vyema. Wengi wanachanganya sana hawajui jina Mungu ni cheo (nomino ya kawaida) kama kusema Baba ,Rais ,kiongozi, mheshimiwa nk.
Lakini jina YESU ni jina specific la MUNGU muumba wa vyote.
Ndio maana hatukemei pepo kwa jina la Mungu bali kwa jina la YESU KRISTO.
HAKIKA MUNGU NI MMOJA NA YESU KRISTO NDILO JINA LAKE.
Amen.
Huwezi nielewa,ipi nafasi roho Yako ,achana na kelele za nafsi Yako,nafsi ni ya mwili ,na hivo hufa na kubebwa na mwili, roho ni ya milele, Mungu anapenda appreciationWe ikiwa umefikia mpaka uwezo wa kumkumbusha Mungu maajabu yake sasa unashangaa nini tena? si ajabu hata hao mapepo wenyewe wanaogopa kukufuru pamoja na wewe!
Salaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Yesu yupi?,kam Yesu ndiye Mwana wa Adamu basi wakristo na waislamu n watu waliopotea kabisa,Mitume kila mmoja alitumwa duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini uchawi, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.
Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapepo, kuponya waliorogwa/uchawi na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba, na mengine mengi ambayo wachawi hawakuyaweza.
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe aliyepewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na hata kufukuza mapepo nk.
(Kwa bahati mbaya sana, watu waka mwamini Yesu kuwa ndiye Mungu badala ya Kumuamini aliyemtuma (Mungu)
Upo Tanzania unategemea kuona mapepo yanatolewa Nje ya bara lako.. Tembea uonekwa hivyo hayo mapepo yaliyoondolewa na Yesu yalibaki kwa waafrika peke yao maana hatuoni wazungu wakiondolewa hayo mapepo