Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Itoshe kusema kwamba mtoa mada ni serengeti wa mwamposa📌🔨
Mtoto huyo tuliopewa ni Mungu mwenyewe nguvu,

BABA WA milele.

Halafu ukimwambia mtu Yesu ndiye huyo huyo Mungu BABA aketiye KITI Cha enzi haelewi.

Mungu atusaidie.
We mtoto umpewa nani na umepewa lini mtoto

#Tokomeza ujinga
 
Ukiamini hata ukitumia lako linaweza kufanya, mfano maji ya baraka wengi wanatumiaga maji ya kawaida tu lakini yanaombewa na wanakuwa na imani yatafanya kazi
Warumi 10:9.,10.,11.,12.,13.
9. Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.

10. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.

11. Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika.

12. Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Myunani; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao;

13. kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.
 
Mitume kila mmoja alitumwa duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini uchawi, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.

Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapepo, kuponya waliorogwa/uchawi na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba, na mengine mengi ambayo wachawi hawakuyaweza.
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe aliyepewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na hata kufukuza mapepo nk.
(Kwa bahati mbaya sana, watu waka mwamini Yesu kuwa ndiye Mungu badala ya Kumuamini aliyemtuma (Mungu)
Jielekeze kwenye maada!! Ukisema kuwa kila nabii alitumwa kwa kazi yake sio kweli! Leo kuna manabii wengi na wao pia wanatumia jina la Yesu jibu ni kwamba jina la Yesu ndo jina pekee wanadamu tulilopewa kuokolewa kwalo! Nje na hapo unajidanganya tu mkuu! Jina la Yesu linaogopwa mpaka na wachawi na waganga!!
 
kitu ambacho inatakiwa ufahamu ni kwamba jina alifukuzi pepo bali nguvu yako ndio ambayo inafukuza pepo

Kuna power ambayo ipo ndani yako ambayo tunasema kwamba kuna world within na world without

World within ndipo ni kiini cha power na power hiyo inapatikana kwenye mind,

Kwenye mind kuna kitu kinaitwa couse,couse ni thought na thought ni the way you think,couse ndio inapelekea realinlzation and expression in world without ambapo inajulikana kama condition and effect

Mwisho kabisa tunasema you attract what you believe

#power of subconciuos mind
#law of belief
#Law of nature
wewe ndio nimekuelewa
 
Mtoto huyo tuliopewa ni Mungu mwenyewe nguvu,

BABA WA milele.

Halafu ukimwambia mtu Yesu ndiye huyo huyo Mungu BABA aketiye KITI Cha enzi haelewi.

Mungu atusaidie.
Wao wanamwangalia mtoto wa Mariamu. Ambaye ni Binadamu kama sisi tu.
Yohana (Joh) 4:24
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
 
Mapepo ni Roho chafu, hayachagui RANGI Wala kabila, mweusi, mzungu ,mwarabu, anapagawa kama kawaida.

Ukiona mtu amevaa nusu Uchumi usijiulize mara mbili Wala kumtizana RANGI, ana Pepo.

Likewise, ukimwona mtu amechora tattoo mwilini, ni KAZI ya Pepo hiyo.

Karibu.
hiyo ni 'extrapolation' ya maana ya hilo neno pepo kwa mantiki yako
 
Asante sana umeeleza vyema. Wengi wanachanganya sana hawajui jina Mungu ni cheo (nomino ya kawaida) kama kusema Baba ,Rais ,kiongozi, mheshimiwa nk.
Lakini jina YESU ni jina specific la MUNGU muumba wa vyote.
Ndio maana hatukemei pepo kwa jina la Mungu bali kwa jina la YESU KRISTO.

HAKIKA MUNGU NI MMOJA NA YESU KRISTO NDILO JINA LAKE.

Amen.

Neno ibada kwa kujibu wa mafundisho ya kikikristo ni nini?
 
We ikiwa umefikia mpaka uwezo wa kumkumbusha Mungu maajabu yake sasa unashangaa nini tena? si ajabu hata hao mapepo wenyewe wanaogopa kukufuru pamoja na wewe!
Huwezi nielewa,ipi nafasi roho Yako ,achana na kelele za nafsi Yako,nafsi ni ya mwili ,na hivo hufa na kubebwa na mwili, roho ni ya milele, Mungu anapenda appreciation
 
Unamjua Yesu?,Yesu yupi?
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
 
Mitume kila mmoja alitumwa duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini uchawi, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.

Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapepo, kuponya waliorogwa/uchawi na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba, na mengine mengi ambayo wachawi hawakuyaweza.
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe aliyepewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na hata kufukuza mapepo nk.
(Kwa bahati mbaya sana, watu waka mwamini Yesu kuwa ndiye Mungu badala ya Kumuamini aliyemtuma (Mungu)
Yesu yupi?,kam Yesu ndiye Mwana wa Adamu basi wakristo na waislamu n watu waliopotea kabisa,
 
Agano jipya n kitabu Cha kisiasa,mweny KUSOMA atafahamu ,ukisoma pasina ushabiki utaona kuna kampeni za kisiasa kati ya Dola(Rumi) na wayahudi,tena kuhusu suala la masihi , wayahud waliamin kuja kwa masihi atayewaondoa watesi wao(Rumi) hii imani iliwafanya wafanye uasi dhidi ya tawala ya Rumi,mwaka 66A.D walifanikiwa kuyaondoa majeshi ya Rumi kitu kilichofanya kaisari Nero amtume Jenerali Vespasian aliyeongozana na mwanae Tito aliyekuwa na mdogo wake na kijana wa kiyahud aitwaye Josephas ambaye n mwanahistoria wa Karne ya kwanza mweny heshima kubwa katika ulimwengu wa kikristo,ambapo kipindi vita inaendelea Vespasian alirudi Rumi na kuapishwa kuwa Kaisari huku akimuacha mtoto wake Tito akiendelea na vita huko Yudea,ambapo mwaka 70AD Tito na majeshi yake ya Rumi aliuangamiza Yerusalem na hekalu .licha ya yote kutokea Wayahud hawakukubali kumuita Tito bwana na zaidi waliendelea na ile Imani kwamba masihi atakuja kuwakomboa,hivyo Tito pamoja na Josephas ambaye alikuwa n adopted son katka familia ya Vespasian na ambaye alikuwa n kijana wa kiyahudi mweny elimu katka dini ya kiyahud walitengeneza mfumo wa kiimani utakaoleta amani(Christianity) kwa kutunga story ya Yesu kuonyesha ushindi wa Tito dhid ya wayahud (kifo Cha Yesu msalabani) ambayo n lugha ya picha kwamba Yesu alikufa ijumaa ambayo ilikuwa siku ya maandalizi ya Wayahud na Jumaamosi akashinda kaburini ambayo n siku ya Ibada kwa dini ya Kiyahudi,halafu siku ya Jumapili alfajir anafufuka,je hii inamaanisha nin?,pasina ushabiki hii inamaanisha kufa kwa Imani ya kiyahud na kuinuka kwa imani ya Kirumi(ukristo),na Yesu aliyeshinda mauti si mwingine n Tito ambaye ndiye Mwana wa Adamu ambayo kwenye Biblia Kuna vifungu unatabiriwa ujio wake ,kwamba wa mama wa Israel waombe kukimbia kwao kusiwe wakati wa barid ama sabato na aliye juu ya dari asishuke,hii kitu sio kwamba n utabiri hapana hii iliandikwa baada ya vita kumthibitisha Tito Kam masihi na baba yake Vespasian Kam n mtawala wa vyote katika ulimwengu.hivyo Tito ndio Mwana na Vespasian ndio Baba,Tito (Mwana) anamtukuza Vespasian (Baba) naye Baba anamtukuza Mwana,nyumbani kwa baba yake(Rumi) Kuna makao mengi.Watch out ndgu zangu,,we are the lost sheep of the house of Israel
 
Back
Top Bottom