matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Nimeona vitabu vingi vya tanakh torah na naviism, etc ni hivihivi vya OT. Wakati wa Yesu kulikuwa na Septugiant ambayo nayo haikuwa na vitabu vile. Kama niko tofauti sitapisha.Yapo maandishi mengi yanahusiana na hivyo vitabu japo majina ni tofauti ngoja nikisake cha kingereza nitume.
Japo hivyo vitabu yaliyopo humo hayana tofauti , ila kumbuka kigezo cha lugha pia kilitumika kwenye mchakato, mfano warumi walichukua mpaka vyenye tafsiri ya kigiriki , pia kumbuka kuna waandishi wengi wakiebrania walikua uhamishoni 🤔 hivyo waprostestant wao wakaviondoa kwa vigezo mbalimbali ,kumbuka ulikua mchakato wenye mjadala mkali pia.Nimeona vitabu vingi vya tanakh torah na naviism, etc ni hivihivi vya OT. Wakati wa Yesu kulikuwa na Septugiant ambayo nayo haikuwa na vitabu vile. Kama niko tofauti sitapisha.
Hivyo vitabu vya dini vilikopiwa kwenye hadithi ya Gilgamesh , vingeletwa kama vilivyo ingekua ni hadithi tata mno kukubalika, ndio maana ilibidi ufanyike uchambuzi yakinifu DR Mambo JamboKuna vitabu apocrypha(vilivyofichwa) na pia pseudoepigrapha(vitabu potofu) twapaswa kujua.Kujadili vitabu hivi vinatuweka pagumu kuiamini kweli ya biblia kwa maana walioviondoa katika mafundisho ni kwa sababu ya athari zilizotokana na maudhui yaliyomo dhidi ya ukweli waliokusudia kutufundisha. kutufikishia.
Unajua Kwamba Kwenye Biblia Kuna Pseudepigrapha Nyingi zipo kwa Misingi ya Pseudo kama UnaijuaKuna vitabu apocrypha(vilivyofichwa) na pia pseudoepigrapha(vitabu potofu) twapaswa kujua.Kujadili vitabu hivi vinatuweka pagumu kuiamini kweli ya biblia kwa maana walioviondoa katika mafundisho ni kwa sababu ya athari zilizotokana na maudhui yaliyomo dhidi ya ukweli waliokusudia kutufundisha. kutufikishia.
Hawa vijana wanaoibuka Kusoma Mashahidi wa Yehova walokole na wasababto huwa wabishi sanaHivyo vitabu vya dini vilikopiwa kwenye hadithi ya Gilgamesh , vingeletwa kama vilivyo ingekua ni hadithi tata mno kukubalika, ndio maana ilibidi ufanyike uchambuzi yakinifu DR Mambo Jambo
Mkuu nakumbuka nilishawahi kuwa shahidi wa Yehova, ila sikutoka bure😁😁Hawa vijana wanaoibuka Kusoma Mashahidi wa Yehova walokole na wasababto huwa wabishi sana
Weka ushahidi.Hivyo vitabu vya dini vilikopiwa kwenye hadithi ya Gilgamesh , vingeletwa kama vilivyo ingekua ni hadithi tata mno kukubalika, ndio maana ilibidi ufanyike uchambuzi yakinifu DR Mambo Jambo
Hicho ni kielelezo tu ni vizuri ukiwa mdadisi , gilgamesh ni hadithi za kale zaidi huko mesopotamia, unaweza fuatilia tu polepole.Weka ushahidi.
Canonization kama vile haikuanza wakati wa waplotestant. Tangu wakati wa Ezra na Nehemia compilation ilianza mdogomdogo. Ndio maana nimetoa mfano wa Yesu aliporefer mambo ya agano la kale hauwahi kutoa rejea ya vitabu vya apocryphal au Enoch au JubileeJapo hivyo vitabu yaliyopo humu hayana tofauti , ila kumbuka kigezo cha lugha pia kilitumika kwenye mchakato, mfano warumi walichukua mpaka vyenye tafsiri ya kigiriki , pia kumbuka kuna waandishi wengi wakiebrania walikua uhamishoni 🤔 hivyo waprostestant wao wakaviondoa kwa vigezo mbalimbali ,kumbuka ulikua mchakato wenye mjadala mkali pia.
Miaka ya nyuma niliwahi kujadili. Gilgamesh na Akadian flood story.Hicho ni kielelezo tu ni vizuri ukiwa mdadisi , gilgamesh ni hadithi za kale zaidi huko babilon , unaweza fuatilia tu polepole.
Je unafahamu pia utatu mtakatifu pia ulipigiwa kura ?Canonization kama vile haikuanza wakati wa waplotestant. Tangu wakati wa Ezra na Nehemia compilation ilianza mdogomdogo. Ndio maana nimetoa mfano wa Yesu aliporefer mambo ya agano la kale hauwahi kutoa rejea ya vitabu vya apocryphal au Enoch au Jubilee
Hizo ni hadithi za kale kuliko hata hiyo biblia , ndio maana tunasema hadithi nyingi za kwenye biblia zimekopiwa humo ?je unajua wamisri ya kale ,wagiriki na wahindu pia wana hadithi ya kuzaliwa kwa mwana kama mkombozi wa dunia?Miaka ya nyuma niliwahi kujadili. Gilgamesh na Akadian flood story.
Ila licha ya kuonekana kuwa Backdated kuliko story za Biblia. Ukiangalia hizo story zinakaufanano flani na story za mababu wa Kimexico hata wamasai. Kuna jamii nyingi duniani zinastory zinazoendana na za Biblia hasa mafuriko ya Nuhu.
Ndio.Je unafahamu pia utatu mtakatifu pia ulipigiwa kura
Nafahamu na wamisri pia.Hizo ni hadithi za kale kuliko hata hiyo biblia , ndio maana tunasema hadithi nyingi za kwenye biblia zimekopiwa humo ?je unajua wagiriki na wahindu pia wana hadithi ya kuzaliwa kwa mwana kama mkombozi wa dunia?
Kwa hiyo mkuu mtu, akikopi hadithi kutoka kizazi kimoja kwenda kingine hadithi hizo ni za kweli ? Ndio maana mambo yamekuwa ni yakiimani tu, ila hadithi hizo ni kazi ya sanaaa tu.Nafahamu na wamisri pia.
Taarifa za mambo ya Mungu zipo tangu siku mwanadamu amekuwepo. Ndio maana Wareno walipofika Latin America walikuta natives wa kule wana hadithi zao za kale ambazo zinaendana na za kwenye biblia wakati ilikiwa haijafika.
Vasco dagama alipofika india kusini kununua spices alikitana na sio tu story hadi wakristo wengi wakati Ulaya waliamini wao bdio wanasambaza dini.
Mimi naamini chanzo cha hizo story ni Mungu wa kwenye Biblia, na zinathibitosha chanzo cha binafamu wote ni kimoja. Ni ule mgawanyiko uliotokea baada ya gharika.
Hiyo ndio ilikuwa hitimisho langu baada ya kuzitafiti sana hizo story.
Dili la jamaa limeshabuma. Kuna mdau humu kakileta bure kabisa!Kwahiyo kitabu Cha Enoko kimeshakuwa Dili yayari
Tony Laurent hicho kitabu kinafunguka?