Ni kwanini kitabu cha Henoko kilifichwa/ kiliondolewa kwenye Biblia? Je, ilikuwa ni mpango wa shetani??*

Tuwekee hicho kitabu
 
Ndio maana ile ikaitwa hadithi mkuu, ila kuna visa vya mule vipo kwenye vitabu karibu vya dini😁😁😁
πŸ˜„πŸ˜„. Nimekuja kuona karibu kila jamii inahadithi au rituals za ibada zinazofanana na za Mungu wa Israel. Hii inaonyesha chanzo chetu ni kimoja. Kuna siku bila kujali rangi watu wote walikiwa mahala pamoja.
 
πŸ˜„πŸ˜„. Nimekuja kuona karibu kila jamii inahadithi au rituals za ibada zinazofanana na za Mungu wa Israel. Hii inaonyesha chanzo chetu ni kimoja. Kuna siku bila kujali rangi watu wote walikiwa mahala pamoja.
Mila na tamaduni nyingi zinafanana tu , ndio maana wayahudi walitoa kafara ya nafaka, mikate, divai na njiwa hivyo ni vyakula na vinywaji vyao vya asili , sisi wachaga tulitoa kafara ya maziwa , mbege, na nyama , ila leo wamatumbi wanatumia divai na mkate kwa ukumbusho, wakati divai na mikate sio asili yetuπŸ˜…

Note: hizi ni imani tu za tamaduni mbalimbali na hazina uthibitisho wa ukwel juu yake, just imani tu.
 
Mtu akiandiks matukio aliyoshuhudia anakiwa upande upi
Inategemea sasa kwa sababu Bibilia inayo matukio ya kihistoria ambayo ni fact kama utawala wa kirumi dhidi ya wayahudi , na mengne ni ya kiimani tu hayana uthibitisho.
 
Mkuu asante! Naomba bei ya kitabu hiki.
 
Tapeli mkubwa wewe kitabu cha Henoko kinapatikana bure mitandaoni

Na hakuna aliyekificha .Hakijawahi kuwa sehemu ya Biblia yeyote ya agano la kale ya wayahudi yaani Jewish Bible ambao ndio wenye agano la kale
Hahahahaahah
 
Tapeli mkubwa wewe kitabu cha Henoko kinapatikana bure mitandaoni

Na hakuna aliyekificha .Hakijawahi kuwa sehemu ya Biblia yeyote ya agano la kale ya wayahudi yaani Jewish Bible ambao ndio wenye agano la kale
Uzuri JF Kuna watu tofauti tofauti na wenye uelewa ktk Mambo mengi,kwa hiyo km jamaa anadanganya atafunzwa adabu Sasa hivi.
Mimi nasoma comments tuuu
 
Vitabu vinapatikana bure , sema waswahili ni wachoyo katika kugawa maarifa .

Kuna jamaa alinipatia Kazi moja mwaka 2023 nimtafsirie kitabu chake kikichokuwa kimeandikwa Kwa Lugha ya kiingereza

Hiki kitabu kilikuwa kinazungumzia njia za kuita roho zilizokufa Ila huyu jamaa nilipomuomba anaipatie kitabu chote alikataa kabisa.

So na Mimi nilitafsifi vile vipande akanipa mil 1 nikamtumia .

Ila kile kitabu nimekipata hard copy japo kipo Kwa lugha ya kiarabu .

So Wabongo inapokuja katika maarifa hasa ya kiroho huwa hawapo tayari kuyatoa .
 
Wewe kama unataka kudakwa utapeli ondoa haraka hiyo namba yako kujitia unauza kitabu cha henoko hicho kitabu mtandaoni ni bure hujipendi au? Hilo namba la simu lako katupe jalalani bwege wewe

Haibiwi mtu humu
 
Nani muanzilishi wa kusema vitabu hivi vimefichwa sijui ni vya siri. Maana tangu naingia JF ndio kauli mbiu, nikiingia mitandao hadi ya wazungu watakwambia ni vitabu vya siri.

Au ni Buzzword ya kufanya watu wawe na umakini navyo
Hasa Enoch na Jubilee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…