Ni kwanini licha ya kuwa na Watanzania zaidi ya million 60 bado sura za viongozi wa upinzani ni zilezile?

Kwa
Kwahiyo wewe unafurahia utawala wa kifalme, una akili mbovu na nakuomba usinijibu tena, fullstop fokofu.
Kweli siupendi kabisa huo utawala wa kifalme ila naona ufalme ulioko ccm unazikdiwa na ulioko upinzani
 
Hushangai kuona watawala wa ccm , kuwa sura ni zile zile pia ?
 
Angalau huko tunaona watoto wao lkn huku ni walewale
Watoto wao kwa kuwa wanarithisana yaani imekuwa ni aina fulani ya ufalme, kwa hiyo hata opposition parties unaona ni bora watoto wa akina Lissu, Mbowe na wengineo wachukue madaraka pindi wao watakapozeeka kama ilivyo kwa CCM?
 
Yaani mimi sitaki kotekote nataka sura mpya ila sasa wanabodi wanataka kuhalalisha hii tabia Kwa kutumia kigezo cha ccm. Hili ni kosa ambalo ccm wanafanya nilitegemea wapinzani wangekuja na kitu tofauti badala yake nao wamecopy na kupest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…