Itoye
JF-Expert Member
- Sep 29, 2017
- 531
- 1,023
Kuna Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotokana na chama cha CCM, hakuna Serikali ya CCM.Pesa ni za serikali ya CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotokana na chama cha CCM, hakuna Serikali ya CCM.Pesa ni za serikali ya CCM
Tutarajie SGR, Nyerere Dam nk nk navyo kukabidhiwa kwa CCM? Hiki kinachoendelea Dsm ni kitu cha ajabu sana!Chama cha mapinduzi ndicho kinaisimamia serikali kwa hiyo ikikamilika serikali inakabidhi ripoti na miradi kwa chama kuwa sisi kazi mliyoyututuma serikali tufanye hiyo hapo tunawakabidhi.
CCM ndio huandaa miradi halafu miradi ile inaiweka kwenye Ilani ya CCM Kwenye kampeni CCM hunadi hiyo miradi ikishinda inaipa serikali inaitekeleza ikiitekelrza serikali inaikabidhi kwa CCM ili ikabidhi wanachi kampeni za uchaguzi mwinginr zikianzaKazi ya bunge ni kuijadiri iyo milandi iliyo ndani ya ilani ya chama
Hapo sasa
Yaani wee mkubwa lakini kichwani sasa duuuhWanaCCM watakabidhi kwa Wananchi
Utekelezaji wa kila mtu inatofautiqna na mwenzake ndio maana wewe unaona Dar tu na kwa sababu ya Makonda ila wengi wanafanya hayo Ila kwa njia tofautiCCM ipo Dar es Salaam pekee?
Hao wananchi ni chama gani?WanaCCM watakabidhi kwa Wananchi
Hao wananchi ni chama gani?
Hamna kitu kama pesa ya serikali ya ccm..pesa ni ya nchi ya Tz ndio maana ata CDM na CUF wanalipa Kodi. Hamna hela ya serikali ya ccmPesa ni za serikali ya CCM
Siyo kila mkosoaji ni mwanachama wa vyama vya siasa.Tulieni dawa iwaingie poor you vijana wa ufipa
WanaCCM watakabidhi kwa Wananchi
Pesa za serikali lakini utekelezaji wa CCM.
Mjinga kweli wewe! Ina maana ccm ndio inayokusanya Kodi? Huu ubaguzi na unafiki utawageuza ombaomba hivi karibuni kwani walipakodi watakimbia!Miradi yote iko chini ya Chama cha Mapinduzi.
Unapokuwa mkuu wa mkowa, wewe sio ccm, unapokuwa kiongozi wa serikali wewe sio ccm na ukivuka mipaka yako huo sio utawala bora
Pesa za serikali lakini utekelezaji wa CCM.
Ndugu zangu, au mimi tu sielewi hii kitu!
Nauliza ili nipate kujua, nimekuwa nikishangaa huu mkakati wa Paulo Makonda, RC Dar es Salaam. Sijawahi kuona kabla, pengine ni kwa vile sijui!
Kama hiyo haitoshi, anatumia nafasi hiyo kuwadhihaki watu na kuwananga ikiwa mbunge wa eneo la mradi hatokani na chama chake.
Pamoja na ukweli kuwa serikali iliyopo madarakani inatekeleza ilani ya chama chake, ni nini kinawapa umiliki namna hii?
Miradi ya maendeleo, miradi ya serikali, ni vipi inakabidhiwa kwa chama? Je, ni mali ya chama?
Maendeleo hayana vyama!
Wasalaam,
Ncha Kali.
Kama kawaida yao wanajiona kuwa wapo juu ya sheriaNdugu zangu, au mimi tu sielewi hii kitu!
Nauliza ili nipate kujua, nimekuwa nikishangaa huu mkakati wa Paulo Makonda, RC Dar es Salaam. Sijawahi kuona kabla, pengine ni kwa vile sijui!
Kama hiyo haitoshi, anatumia nafasi hiyo kuwadhihaki watu na kuwananga ikiwa mbunge wa eneo la mradi hatokani na chama chake.
Pamoja na ukweli kuwa serikali iliyopo madarakani inatekeleza ilani ya chama chake, ni nini kinawapa umiliki namna hii?
Miradi ya maendeleo, miradi ya serikali, ni vipi inakabidhiwa kwa chama? Je, ni mali ya chama?
Maendeleo hayana vyama!
Wasalaam,
Ncha Kali.
Miradi yote iko chini ya Chama cha Mapinduzi.