Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Anarohoja huyo
Kivipi bwashee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi bwashee?
[SUB]Anafanya kazi kama anavyofanya baba yake.[/SUB]
Chama cha mapinduzi ndicho kinaisimamia serikali kwa hiyo ikikamilika serikali inakabidhi ripoti na miradi kwa chama kuwa sisi kazi mliyoyututuma serikali tufanye hiyo hapo tunawakabidhi.
Kuwa mwelewa acha kupotoshwa! Serikali ya Tanzania na siyo serikali ya ccm! Huko mashuleni mmesomea vitu gani Hadi ushindwe kutofautisha Kati ya serikali na chama? Differentiate between party and government!Serikali ni ya chama gani?
Pesa ni za serikali ya CCM
Pesa za serikali lakini utekelezaji wa CCM.
Ipo kwenye ilani ya uchaguzi.
Mna majibu mepesi kwenye jambo la kisheria na kikatiba !!. Humo Lumumba hakuna mtu wa kuwasaidia majibu ya kitaalamu ?!.Hizo ni sera za CCM kuletea Watanzania maendeleo
Chama cha siasa kinaongoza nchi kupitia serikali na ndio maana viongozi wa chama wananguvu kuliko viongozi wa serikali
Kama haujui kivipi unajiitaje una certificate? Acha ujingaKivipi bwashee?
Do somethingMna majibu mepesi kwenye jambo la kisheria na kikatiba !!. Humo Lumumba hakuna mtu wa kuwasaidia majibu ya kitaalamu ?!.
Hivyo ndivyo Katiba inavyosema?Yaani viongozi wa chama cha siasa wanakuwa na nguvu kulikoni serikali? Mbona Mimi hapo sielewi,tutakuwa na nchi ya ajabu sana tukiruhusu hali hii iendelee.Watawala wanashindwa kutofautisha kati ya kuku na yai,nini kilianza?Chama cha siasa kinaongoza nchi kupitia serikali na ndio maana viongozi wa chama wananguvu kuliko viongozi wa serikali
Hivyo akishasimamia na kukamilika anaikabidhi kwa CCM?Mnacganyikiwa sasa,hamfahamu mnachokifanya.Mnatafuta namna ya kuhalalisha kampeni za mapema.Bunge lilipovunjwa inaashiria kukamilika kwa utekelezaji wa ilani ya 2015-2020,mnakwama wapi CCM?Hii ni PR tuu, kingine ni kwa sababu yeye ni mteule wa Rais mwnye majukumu ya kusimamia ilani ya CCM ktk mkoa wake hivyo anachofanya ni kuonyesha utekelezaji wa ilani na sio kivingine
Acheni kupotosha.... Ilani inaingizwa kwenye mpango wa taifa wa miaka 5 hivyo kazi ya utekelezaji inafuatiliwa na bunge bila kujali chama. Kwahiyo mradi ukitekelezwa if wa serikali ni serikali hao CCM watakabidhiana ripoti ndani kwa ndani kwa watendaji wao ila sio eti mradi uliopitishwa na bunge eti ukabidhiwe kwa CCM hyo ni propaganda tu ila utaratibu haupo hivyo.Chama cha mapinduzi ndicho kinaisimamia serikali kwa hiyo ikikamilika serikali inakabidhi ripoti na miradi kwa chama kuwa sisi kazi mliyoyututuma serikali tufanye hiyo hapo tunawakabidhi.
Mkuu kuna nyuzi umedai upo neutral ila kwa comment hii nimeelewa upande wako!!Kwani hiyo Miradi inasimamiwa na Serikali ya Chama gani? Hivi Upinzani wa Tanzania unaunda Serikali ya sasa? Swali lako ni la Kitoto sana na sikudhani kama ungeliuliza wakati lipo tu wazi na majibu yake yapo hadharani. Yaani umeshindwa tu hata kujua ya kwamba Chama Cha Mapinduzi ndicho Kinaunda Serikali Kuu hii iliyopo ya hawa Watendaji akina Mkuu wa Mkoa Makonda na kwamba yote haya unayomshangaa Mkuu wa Mkoa Makonda kuyafanya na hadi kuyazindua hivi ni sehemu ya Utekelezaji wa yale yaliyokuwa katika ILANI ya Chama Tawala ( CCM ) Ndugu? Umenishangaza mno!
Pesa ni za serikali ya CCM
Pesa ni za serikali ya CCM
Pesa za serikali lakini utekelezaji wa CCM.
SI vyema kumhusisha mtu na HISIA mbaya zisizoeleweka...si utu kwa kweli...acha KUTIA CHUKI MIOYONI MWA WATU
Ya "akutukanaye".....
Acha kuunganishaunganisha picha ili upate mtiririko uutakao.....
Makonda ni mwanasiasa kijana na alianza kuandamwa siku nyingi huko toka akiwa TAHLISO...
Jiwe la kumshambulia kuliko kukubwa LILISIMIKWA pale aliposimama kidete kuyaongelea machafu ya upigaji juu ya lile jengo letu la vijana UVCCM....
IKUMBUKWE ALIKUWA ANAPAMBANA NA WATU WALIOKUWA NYUMA YA MAGOGO WA UPIGAJI NCHINI HAPA.
HAYO YAKAPITA
CHUKI ikaendelea dhidi yake pale alipokuwa anasimama KISIASA na baadhi ya wale "mitume 12 wa BUNGE".......
Makonda AMEKUWA mhanga wa mashambulizi YANAYORATIBIWA VYEMA kutoka kwa wale watu wenye NGUVU zisizoeleweka.....
Nakukumbusha tu uwezo wa HAO WATU....
Mh.Mizengo Kayanza Peter Pinda alishawahi kulalamika bungeni kuwa
"majitu hayo Yana mitandao mipana yenye propaganda na udundumwizi mwingi,si majitu mepesi hata KIDOGO"
Sasa km waziri mkuu....mtendaji mkuu wa serikali...mtu ambaye anaijua nchi zaidi ya kijana mwenzetu makonda ANAYAPWAGA HAYO HADHARANI.....
Je akitokea kijana mkakamavu na jasiri wa kuyasema hayo,ATABAKI SALAMA?!!!
TUWENI WAKWELI JAMA...
Makonda anashambuliwa kukubwa na wengi ambao wamekodisha "wapiga miluzi ya CHUKI" wasio na IDADI....
Mnyonge mnyongeni,Haki yake mpeni.
THINK THRICE