Ni kwanini Mkoa wa Pwani unaongoza kwa kutoa viongozi wa kitaifa?

Kubebana

Mzee mwinyi ndiye aliyembeba kikwete

Kama Nyerere angeamua kubeba watu basi Tanzania isingekuwa nchi ya hovyo hivi
 
Tuna marais watano tu na mikoa ni mingi...atleaat ungesubiria awamu hata 50 zipite ndo uje kufanya uwiano tuone ila kwa sasa data ulizonazo kidogo
Huenda umri usiniruhusu kufika huko mkuu. Ndo maana nimeamua nije na hizi data leo nikiwa hai. Miaka ya 50 huko watakuja wengine kuleta muendelezo wa tunachojadili leo.
 
Ustaarabu , hekma, subira na kujichanganya na watu hivi vyote vinawabeba na sio wapwani tu yeyote aliekulia pande hizi hasa Kama ulianza kusaka ukiwa hapa katikati ya mji na ukacheza vizuri na ulimi wako lazmaaaaaaaa.
Ulichoandika hapa nakupa 100% mkuu.
 
Kwema ndugu zangu. I hope kila mtu ni mzima.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mkoa wa Pwani pamoja na kwamba wenyeji wa mkoa huo wengi hawana elimu ya kutosha, lakini ndio unaoongoza kwa kutupa watanzania viongozi wakuu wa kitaifa haswa kwa upande wa ukuu wa nchi.

Toka Tanzania ipate uhuru mkoa wa Pwani umeshatupatia watanzania maraisi watatu nao ni:

1) Rais mstaafu wa awamu ya pili ndugu Ali Hassan Mwinyi (mzanzibara) kutoka Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.

2) Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Mrisho Kikwete kutoka chalinze mkoa wa Pwani.

3) Rais wa Zanzibar ndugu Hussein Ali Mwinyi (mzanzibara) mwenye asili ya Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani.

Hapo sijazungumzia mawaziri kama kina Mchengerwa, Jafo, Ridhiwani, Kawambwa na wengineo.

Lakini pia Mkoa wa Pwani ndio uliokuwa unaongoza kutoa viongozi wengi katika vuguvugu lile la vyama vya kupigania uhuru hapa Tanganyika.

Sasa swali je ni kwa nini mkoa huu huwa na bahati ya kutoa viongozi wengi wakuu wa kitaifa.

a) Kwa sababu ya upendo wao, ucheshi wao, utu wao, huruma yao, ukarimu wao, utanashati wao na usmart wao?

b) Au ni kwa sababu ya uaminifu wao, upole wao, uzoefu wao, umaarufu wao na ujanja ujanja wao?

Naomba tujadili kistaarabu bila matusi, kejeli wala dharau kwa wengine.
Hapo umetaja viongozi au takataka!?mi nilitegemea nione majina Kama Adam sapi mkwawa(spika wa kwanza),Salim Ahmed Salim,Sir George Kahama,Hashim Mbita nk
 
Kubebana

Mzee mwinyi ndiye aliyembeba kikwete

Kama Nyerere angeamua kubeba watu basi Tanzania isingekuwa nchi ya hovyo hivi
Kikwete hakuwahi kuwa chaguo la Mwinyi hata siku moja. Kikwete alishinda uraisi CCM ikiwa chini na hayati Mkapa akishirikiana na wenzake kina Lowasa, Sita nk.
 
Hapo umetaja viongozi au takataka!?mi nilitegemea nione majina Kama Adam sapi mkwawa(spika wa kwanza),Salim Ahmed Salim,Sir George Kahama,Hashim Mbita nk
Mkuu punguza jazba. Mada iliyopo hapa inahusu wazawa na wenyeji wa mkoa wa Pwani kuwa viongozi wakuu wa kitaifa.

Sasa hawa uliowaandika hapa hakuna hata mmoja anaetokea mkoa wa Pwani.
 
Wewe kijana usiwe mjinga

Mwinyi alimbeba mwinyi mwaka 95

Wakati huo wazee wa ccm wamemsusia chama Mzee mwinyi kutokana na uendeshaji wa serkali yake ulivyokuwa

Km unakumbuka mzee Nyerere ile hotuba yake ya kuwa ccm sio mama yangu..

Mzee mwinyi alimtengeneza kikwete ili awe rais 95
Ila wanaccm wakamtuma mzee Nyerere amkemee mwinyi kuhusu huo mpango ndio ukafa
Kikwete hakuwahi kuwa chaguo la Mwinyi hata siku moja. Kikwete alishinda uraisi CCM ikiwa chini na hayati Mkapa akishirikiana na wenzake kina Lowasa, Sita nk.
 
Wewe kijana usiwe mjinga

Mwinyi alimbeba mwinyi mwaka 95

Wakati huo wazee wa ccm wamemsusia chama Mzee mwinyi kutokana na uendeshaji wa serkali yake ulivyokuwa

Km unakumbuka mzee Nyerere ile hotuba yake ya kuwa ccm sio mama yangu..

Mzee mwinyi alimtengeneza kikwete ili awe rais 95
Ila wanaccm wakamtuma mzee Nyerere amkemee mwinyi kuhusu huo mpango ndio ukafa
Hizi ni habari za kuhisi ambazo hazina uhalisia wowote. Kikwete hakuanza leo kuusaka uraisi akiwa na kundi lake la boyz 11 men.

Kama kweli ulikuwepo wakati wa uongozi wa Mwinyi (sio kusimuliwa) utagundua kwamba Kikwete hakuwa hata katika nafasi ambazo zingemfanya Mwinyi amtengenezee mazingira ya ushindi. Labda ungesema kuwa Mwinyi alikuwa ana muandaa mzee Malechela hapo ungeeleweka.

Ni kama vile watu wanasema kwamba 85 Nyerere chaguo lake lilikuwa ni Salim A Salim, ila wajumbe wengi wa chama walikuwa wanataka raisi awe Mwinyi. Kumbuka Mwinyi ni mzanzibara, kwahiyo alipata kura kutoka pande zote za muungano, tofauti nq Salim ambae ni mzanzibar pyu so alipata saport kubwa kutoka Zanzibar peke yake na bara ni kwa Nyerere tu.

Mwaka 95 Kikwete kwa utoto wake wa mjini alitumia udhaifu wa chama chake kujitengenezea jina lake. Na hii iliendelea hadi mwaka 2005 alipoukwaa uraisi wa JMT.

Mwinyi hakuwa na lolote la kufanya kumzuia Kikwete awe kwa kumpenda au kutokumpenda.

Tazama Mwinyi alionekana kumpenda na kuupenda zaidi uongozi wa hayati Magufuli kuliko ule wa Kikwete.
 
Mwinyi ndiye alimbeba kikwete

Haya mengine unayosimulia ni ujinga

Acha nisijichoshe
Hizi ni habari za kuhisi ambazo hazina uhalisia wowote. Kikwete hakuanza leo kuusaka uraisi akiwa na kundi lake la boyz 11 men.

Kama kweli ulikuwepo wakati wa uongozi wa Mwinyi (sio kusimuliwa) utagundua kwamba Kikwete hakuwa hata katika nafasi ambazo zingemfanya Mwinyi amtengenezee mazingira ya ushindi. Labda ungesema kuwa Mwinyi alikuwa ana muandaa mzee Malechela hapo ungeeleweka.

Ni kama vile watu wanasema kwamba 85 Nyerere chaguo lake lilikuwa ni Salim A Salim, ila wajumbe wengi wa chama walikuwa wanataka raisi awe Mwinyi. Kumbuka Mwinyi ni mzanzibara, kwahiyo alipata kura kutoka pande zote za muungano, tofauti nq Salim ambae ni mzanzibar pyu so alipata saport kubwa kutoka Zanzibar peke yake na bara ni kwa Nyerere tu.

Mwaka 95 Kikwete kwa utoto wake wa mjini alitumia udhaifu wa chama chake kujitengenezea jina lake. Na hii iliendelea hadi mwaka 2005 alipoukwaa uraisi wa JMT.

Mwinyi hakuwa na lolote la kufanya kumzuia Kikwete awe kwa kumpenda au kutokumpenda.

Tazama Mwinyi alionekana kumpenda na kuupenda zaidi uongozi wa hayati Magufuli kuliko ule wa Kikwete.
 
Kwema ndugu zangu. I hope kila mtu ni mzima.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mkoa wa Pwani pamoja na kwamba wenyeji wa mkoa huo wengi hawana elimu ya kutosha, lakini ndio unaoongoza kwa kutupa watanzania viongozi wakuu wa kitaifa haswa kwa upande wa ukuu wa nchi.

Toka Tanzania ipate uhuru mkoa wa Pwani umeshatupatia watanzania maraisi watatu nao ni:

1) Rais mstaafu wa awamu ya pili ndugu Ali Hassan Mwinyi (mzanzibara) kutoka Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.

2) Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Mrisho Kikwete kutoka chalinze mkoa wa Pwani.

3) Rais wa Zanzibar ndugu Hussein Ali Mwinyi (mzanzibara) mwenye asili ya Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani.

Hapo sijazungumzia mawaziri kama kina Mchengerwa, Jafo, Ridhiwani, Kawambwa na wengineo.

Lakini pia Mkoa wa Pwani ndio uliokuwa unaongoza kutoa viongozi wengi katika vuguvugu lile la vyama vya kupigania uhuru hapa Tanganyika.

Sasa swali je ni kwa nini mkoa huu huwa na bahati ya kutoa viongozi wengi wakuu wa kitaifa.

a) Kwa sababu ya upendo wao, ucheshi wao, utu wao, huruma yao, ukarimu wao, utanashati wao na usmart wao?

b) Au ni kwa sababu ya uaminifu wao, upole wao, uzoefu wao, umaarufu wao na ujanja ujanja wao?

Naomba tujadili kistaarabu bila matusi, kejeli wala dharau kwa wengine.
Peperepepere mingi mingi ndio maana.
 
Mtandao wa wauza ngada upo nyuma yao na mafisadi papa
 
Sidhani kama mwaka 85 wakati Mwinyi anachaguliwa kuwa raisi wa JMT huo mtandao ulikuwepo au ulikuwa na nguvu unazosema hapa.

Na wale wazee wa Pwani waliokuwa wanaongoza vyama vya kupigania uhuru kabla ya uhuru nao wali sapotiwa na wauza unga?
Mwinyi alipokea kijiti toka kwa nyerere hivyo uwezi kumuhusisha na uzi wako ila kuanzia miaka ya 90 ndiyo mfumo wa mafisadi na wauza ngada umejiingiza serikalini ....kumbuka kuwa mfumo umejitengeneza polepole kwa kuanzia kuua azimio la arusha
 
Kwema ndugu zangu. I hope kila mtu ni mzima.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mkoa wa Pwani pamoja na kwamba wenyeji wa mkoa huo wengi hawana elimu ya kutosha, lakini ndio unaoongoza kwa kutupa watanzania viongozi wakuu wa kitaifa haswa kwa upande wa ukuu wa nchi.

Toka Tanzania ipate uhuru mkoa wa Pwani umeshatupatia watanzania maraisi watatu nao ni:

1) Rais mstaafu wa awamu ya pili ndugu Ali Hassan Mwinyi (mzanzibara) kutoka Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.

2) Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Mrisho Kikwete kutoka chalinze mkoa wa Pwani.

3) Rais wa Zanzibar ndugu Hussein Ali Mwinyi (mzanzibara) mwenye asili ya Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani.

Hapo sijazungumzia mawaziri kama kina Mchengerwa, Jafo, Ridhiwani, Kawambwa na wengineo.

Lakini pia Mkoa wa Pwani ndio uliokuwa unaongoza kutoa viongozi wengi katika vuguvugu lile la vyama vya kupigania uhuru hapa Tanganyika.

Sasa swali je ni kwa nini mkoa huu huwa na bahati ya kutoa viongozi wengi wakuu wa kitaifa.

a) Kwa sababu ya upendo wao, ucheshi wao, utu wao, huruma yao, ukarimu wao, utanashati wao na usmart wao?

b) Au ni kwa sababu ya uaminifu wao, upole wao, uzoefu wao, umaarufu wao na ujanja ujanja wao?

Naomba tujadili kistaarabu bila matusi, kejeli wala dharau kwa wengine.
Mbona hujamtaja Rais kijana mstaafu ,mwananchi kutoka BAGAMOYO na msoga .Mtoto wa mjini baba Riz 1,Mzee mkwere Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete.Mzee mwenye upendo kwa kila mtu,Mzee anayeruhusu kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Back
Top Bottom