Ni kwanini Mkoa wa Pwani unaongoza kwa kutoa viongozi wa kitaifa?

Ni kwanini Mkoa wa Pwani unaongoza kwa kutoa viongozi wa kitaifa?

Hili hakuna mtu mwenye akili timamu atakaelipinga.
Hili suala wakujibu wazanzibari kuhusu uchaguzi mkuu kama wamekuwa wakifanyiwa ukarimu,haki n.k😊.
Mada yako ni zile mada visheti...
Simple breakdown:
1.Dar es Salaam ndio makao makuu ya CCM..watu wa pwani wamekuwa na access kubwa ya kujenga mahusiano ya kisiasa(sijui ndio huo unaita ujanja ujanja,mi naita chuki chuki ma fitna)
2.Mkoa wenye watu wengi zaidi Tanzania
3.CCM imeshinda chaguzi zote nafasi kubwa iwe kwa haki/hujuma.
4. Its all about individual attainment hayo ya makabila,ukanda na dini ni story. Kama ilivyokuwa na wajinga na wajanja bara na pwani wapo😊.
 
Back
Top Bottom