Ni kwanini Mkoa wa Pwani unaongoza kwa kutoa viongozi wa kitaifa?

Mbona hujamtaja Rais kijana mstaafu ,mwananchi kutoka BAGAMOYO na msoga .Mtoto wa mjini baba Riz 1,Mzee mkwere Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete.Mzee mwenye upendo kwa kila mtu,Mzee anayeruhusu kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yeye nimemtaja kwenye namb mbili mkuu. Huyo hawezi kukosa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kiongozi alikuwaga Nyerere pekee
 
Angalau wana utu. Marais toka pwani hawajalaumiwa sana. Nchi yetu haihitaji tena mtu toka kanda ya ziwa au kaskazini.
Kwanini unaona nchi yetu haihitaji kiongozi kutoka kanda hizo mkuu?
 
Una akili za popo au.?? Yaani hao umeiona ni viongozi. Huyo RiZ1 tangu apewe ZAWADI hiyo ya asali ushamsikia wapi akitatua shida za wananchi.
Kiongozi alikuwa Lukuki.
 
Wapwani ni smart-minded wanazaliwa automatically hawahitaji elimu ya kukariri.

Sio washamba wanajitambua since wadogo hawana shida ya kusoma na kukarir elimu ya mkoloni then wajanja sana ,Wana hekima, wastaarabu, hawanaga ubaguzi, Wana ule ustaarabu wa mwafrika na mtanzania halisi
 
na bado pwani haina maendeleo.
barabara tu shida.
Mpaka Leo wilaya ya kibaha na bagamoyo hawana barabara ya lami inayowaunganisha
 
Angalau wana utu. Marais toka pwani hawajalaumiwa sana. Nchi yetu haihitaji tena mtu toka kanda ya ziwa au kaskazini.
Watu wa Pwani tunajitambua hatunaga sifa sifa kama kule bukoba, wala kukosa utu kama wa kaskazini walijua kingereza kidogo tu wanajiona wajanja kumbe washamba hata ustaarabu bado.
 
Kumbe ustaarabu wao, utu na hekima huwa vinawabeba eeh!
 
na bado pwani haina maendeleo.
barabara tu shida.
Mpaka Leo wilaya ya kibaha na bagamoyo hawana barabara ya lami inayowaunganisha
Kwahiyo unashauri kila raisi awe anakimbilia kwanza kujenga kwao badala ya ku deal na nchi nzima?
 
Watu wa Pwani tunajitambua hatunaga sifa sifa kama kule bukoba, wala kukosa utu kama wa kaskazini walijua kingereza kidogo tu wanajiona wajanja kumbe washamba hata ustaarabu bado.
Kwanini unaona watu wa kaskazini hawana utu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…