Ni kwanini mwanaume unakuwa muoga

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
11,261
Reaction score
17,202
Unakuta mtu ni mwanaume kabisa lakini ni muoga balaa..jirani yangu kaingia nyoka ndani kwake kagoma kuingia kaniiita,mke wake kajisikia aibu sana.

Unakuta mtu anaogopa kuangalia graphic videos eti anaogopa! Hivi utaweza kweli kutoa maiti ndani?
Wanaume tuubadilike.

Ushakutana na watu waoga? Ilikuaje?
 
Nilivyokua mdogo mama yangu ilikua akiona mdudu yoyote ndani alikua haniambii maana nilianza kuwa na roho ya kikatili tangu mdogo kuna siku mzee wangu aliua nyoka wakawa wanatafuta mafuta ya kumchoma mama yangu alivyorudi akanikuta mzee wa kazi nimeshika wembe nimeanza kumpasua nyoka katikati alipiga kelele ya kushtuka hadi mi mwenyewe nikakimbia
 
😳😳
 
ukosefu wa hela, huongeza hofu na uoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…