Ni kwanini mwanaume unakuwa muoga

Ni kwanini mwanaume unakuwa muoga

jirani yangu kaingia nyoka ndani kwake kagoma kuingia kaniiita
Pale umeingia kwa mbwembwe na ujasiri unakutana na kitu ya black mamba kasimama mnalingana urefu, faster umeme nao ukakata
images (9) - 2024-07-20T204321.104.jpeg
 
Unakuta mtu ni mwanaume kabisa lakini ni muoga balaa..jirani yangu kaingia nyoka ndani kwake kagoma kuingia kaniiita,mke wake kajisikia aibu sana.
Unakuta mtu anaogopa kuangalia graphic videos eti anaogopa! Hivi utaweza kweli kutoa maiti ndani?
Wanaume tuubadilike,umepewa kende hizo sio kengele...ni ujasiri.
Ushakutana na watu waoga? Ilikuaje?
Ila harmonize 🤣🤣
 
Back
Top Bottom