Ni kwanini mwanaume unakuwa muoga

Ni kwanini mwanaume unakuwa muoga

Unakuta mtu ni mwanaume kabisa lakini ni muoga balaa..jirani yangu kaingia nyoka ndani kwake kagoma kuingia kaniiita,mke wake kajisikia aibu sana.
Unakuta mtu anaogopa kuangalia graphic videos eti anaogopa! Hivi utaweza kweli kutoa maiti ndani?
Wanaume tuubadilike,umepewa kende hizo sio kengele...ni ujasiri.
Ushakutana na watu waoga? Ilikuaje?
Hongera wewe Mwanamke jasiri japo umeandika huu uzi ukiwa na sonona na makasiriko mengi
 
ngoja tuone kila mtu atajifanya jasiri.
wakati nilianzisha uzi kutafuta kampani ya watu wa kwenda kusoma kazi ya mochwari uzi ukapitwa kimya kama muda wa kuaga maiti. views zilikua 1345 sikupata comment.
 
Vp mkuu, mm nataka hayo mafunzo
 
Back
Top Bottom