Ni kwanini mwanaume unakuwa muoga

Mdudu au mnyama yoyote ambae sio deadly huwa namtoa na kumwacha aende zake
sio lazima kuua tu kila kitu.
Hiyo ni namna yangu ya kuishi na viumbe vingine.
 
mimi kuna mkoa niliwahi kuishi, manyigu ilikuja kutunga kwenye mlango wa jirani, alishindwa kuwauwa anakimbia, mkewe akaniita mbele yake akaniombe mimi niyauwe, anaongea kabisa mbele yake ati we mwoga kweli sijui kwanini upo hivi (anamwambia mumewe), mimi mtoto wa bush, nilichukua mfagio wa chelewa ulikuwa karibu, nilitandika kimoja tu manyigu zote zilisambaratika nikawa namalizia zile zinazotaka kuamka. futilia mbali.mkewe nikaona ananiamini mimi mbele ya bwanake, akaanza hadi kunipenda. nikajitenga naye.
 
Kila mtu ni Mwoga akibanananishwa dadeki, me leo kuna jamaa nilimbana pabaya akawa anajipooza na uji wa moto jion hii yaan in short jamaa hajiamn
 
Pale dodoma tulipanga na mkulya mmoja muoga ajabu Hadi nilishangaa Sana mkulya huyu.

Siku Moja mjusi wale wa mabaka (madoadoa) aliingia chumbani kwakwe na akanasa kwenye chandarua hakuweza kutoka mke wake akamgojea aje mmewe Ili amtoe Cha ajabu alipoonyeshwa tu akapinga ukunga kama mtoto mdogo.

Akaniita mdogo wangu njoo ingia chumbani kwangu kamuue huyo mjusi daah nilishangaa Sana.

Sikuwa na jinsi nikaingia Tena na lapa tu nikampiga alipokufa nikamshika na mkono nikamtoa Nje na kumthla dampo

Cha ajabu jamaa aliogopa Hadi kulala mle chumbani kwakwe.

Ukumbuke alikuwa na mabinti wakubwa 2 mmoja tunalingana mwingine nimdogo kwetu.

Nilijozolea sifa kedekede kutoka Kwa mke wake Hadi Kwa Watoto aseee๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
Nje ya mada.:

Kwanini hutaki ukifa mke wako asiolewe?
 
Mwanuume upaswi kuogopa
...mwizi
..jambaz
..police hawa hata makofi unapiga ila kuwa makini
....mjeshi
....nyoka
....mchawi
....jini
....jirani mkorofi
Ongezea na baba mwenye nyumba mkorofi.

Namtesaga sana mzee mkorofi. Anatoaga notification ya kodi kuisha mwezi kabla. Nasubiri mpaka hiyo siku ndo nambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ