Ni kwanini mwanaume unakuwa muoga

Mimi wakati niko mdogo mama ali kuta nme muweka mjusi kwenye mfuko afu na mpigiria misumari kwenye miguu.
Aka niitia watu waka nishika miguu na mikono kilicho fata hadi majirani wali kuja kuniokoa
 
Unajuwa aina ngapi za nyoka?
 
Uoga was mtu nadhani unakuja na sababu,
1.maumbile. Wengine wameumbwa na roho za hivyo, yani ni waoga by nature.
2.makuzi. Mtu amekulia mazingira ambayo ni ya uogaoga naye ana adopt tabia za kioga. Kuna familia neno kuogopa kwao ni mwiko. Kiasi imeathiri maisha ya watoto.
 
Mwanuume upaswi kuogopa
...mwizi
..jambaz
..police hawa hata makofi unapiga ila kuwa makini
....mjeshi
....nyoka
....mchawi
....jini
....jirani mkorofi
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwamba polisi hata makofi unapiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…