Ni kwanini Rais Samia anashikwa na "kigugumizi" kuunda Tume ya Majaji kumchunguza Biswalo Mganga, aliyekuwa DPP?

Paskali sometimes una majibu amazing sana, yani pesa zimekusanywa halafu hazijaonekana kwenye mfuko wa hazina unasema hazijatafunwa!.

Hope zitakuwa mawinguni, ngoja nitoke hapo nje nikaangalie juu naweza kuziona.
Mkuu denooJ , CAG anakagua tuu kama matumizi ya fedha za umna yamefuata kanuni na taratibu, yapo matumizi kibao ya fedha za umma ambayo hayakufuata taratibu, sio kuwa fedha hizo ni zimetafunwa!. Makusanyo yote ya serikali kwa cash ni fedha mbichi, fedha hizo zinatakiwa kuingizwa bank ili zipikwe, na kuonekana, baada ya makosanyo taasisi husika huzitumbukiza kwenye mfuko mkuu wa hazina, na hapo ndipo CAG huziona. kisha zinapohitajika kutumika hutolewa kwa kufuata utaratibu.

Fedha zinapokusanywa na kutumika kabla ya kuwekwa bank hizo ni fedha mbichi na sii lazima ziwe zimetafunwa ni hazikufuata taratibu!.

Fedha za plea bargain zote zimelipwa kwa control number, ambapo zinaingia direct kwenye collection account hivyo sio pesa mbichi, zinakuwa zimepikwa. Baada ya makusanyo zilitakiwa kuwa deposited kwenye mfuko mkuu wa hazina ndipo CAG azione. Zikiisha ingia kule, namna pekee ya kuzitoa ni fedha hizo ziwe budgeted, ziidhinishwe na Bunge, then CAG anatoa kibali ndipo zinatoka kwenye mfuko mkuu hazina na kuingizwa kwenye matumizi.

Mara kibao fedha za serikali zimekuwa zinachotwa toka kwenye mfuko mkuu wa hazina bila kuwa budgeted for, bila kuidhinishwa na Bunge na bila kuwa controlled na CAG, hivyo kihasibu hiyo ni kinyume cha taratibu, yaani ni matumizi mabaya ya fedha za umma, lakini haimaanishi hizo fedha ni zimeibiwa au zimetafunwa!. Hivyo ndivyo tulivyo nunua ndege, tulivyo hamia Dodoma, tulivyo jenga uwanja wa Chato etc!. Na sio JPM pekee, hata Mkapa na fedha za Kagoda, hata JK na fedha za Escrow. Sio kila matumizi ya fedha ambazo CAG hazioni ni zimeibiwa!. Mfano mzuri ni zile 1.5 b ambazo hazikuonekana kwa CAG.

P
 
Kama wapuuzi kama Mystery hawatakuelewa, basi tu. Mchango wako uheshimike
Mkuu kolola , usitukane watu wapuuzi, hawa ni wajinga tuu, kwa kutokujua, hivyo kazi yetu ni kuwaelimisha huo ujinga uwatoke!, wajinga wanaoelimishwa lakini ujinga hauwatoki na kuwa werevu, sasa hawa ndio ...
P
 
Kumchunguza Biswalo ni sawa na kumchunguza Rais wa wakati huo....

Hakujawi kuwa na utaratibu wa kuchunguza mienendo ya marais waliopita...
 
"Zilitakiwa kuwa deposited kwenye mfuko mkuu wa hazina ndipo CAG azione" sasa kam hilo halikufanyika huo kwangu ndio wizi wenyewe, na hayo ndio matumizi mabaya ya fedha za serikali.
 
Mkuu haya majibu yako ni kama ya wale wanaosemaga "kwanini hamkusema wakati mwendazake akiwa hai?". Wakati ule hadi picha zilikuwa zikipostiwa watu wakiwa na maburungutu ya pesa wakilipa DPP hukuwa ukiona? Majibu yako yote sijaona point kabisa uliyoandika.
 
Umeelezea vizuri kweli, lakini sidhani kama nikiamua kusema hata wizi wa pesa za serikali [ ziwe mbichi au zimeiva] pia ni mfano wa matumizi mabaya ya fedha za umma nitakuwa nakosea.
No hujakosea, kila wizi ni matumizi mabaya ya fedha za serikali, lakini sii kila matumizi mabaya ni wizi!.
P
 
Sisi wakusema hili la plea bargain tumelisemea sana tangu akiwa hai!.
Karibu pande hizihttps://www.jamiiforums.com/threads/mjumbe-hauawi-mahabusu-watuma-salaam-kwa-magufuli-asante-ila-usitubague-magereza-zalipuka-kwa-shangwe-vifijo-na-vigelegele-kumshangilia-jpm.1632317/
Na hapa Wito kwa DPP: Japo ni Ushauri wa Rais kuwasamehe, Tafadhali tumia Nolle kufuta kesi zao, Makubaliano yawe siri ili wapokelewe na Jamii kama Watu Wema

P
 
Mshana Jr
Sasa kama Rais ataendelea kushikwa na "kigugumizi" cha kuunda Tume ya Majaji, wananchi tutabaini kuwa kumbe wote hao viongozi wa CCM, wapo kwenye mkumbo mmoja, wa kutaka kuendelea kutuibia sisi watanzania! Full Stop
Una uthibitisho gani kuwa walibambikwa kesi?
 
Basi aunde tume kumchunguza waziri mkuu na vitenge vya mama bonge!!!?
 
Kwa sababu samia sio team kisasi ya Chadema,tangu mlipomuingiza chaka kwenye kesi ya Sabaya na mkashindwa kuithibitisha mahakamani.....

Samia aliwashtukia kuhusu ujinga wenu huu.

Plea Bargain ipo kisheria,mafisadi na nyinyi hawara zao mnapambana kuokoa kililichochotwa toka jasho la wavuja jasho.
 
Elewa kwanza sheria ya plea bargaining ndio uje kulalamika hapa.

Maana unaweza leta lawama out of ignorance.
Sio sheria yenyewe inayolalamikiwa, bali ni jinsi sheria ilivyotekelezwa. Kwanza watu walibambikiziwa kesi. Pili waliokuwa na kesi zinazofanana walilipishwa viwango tofauti vya pesa. Tatu fedha iliyokusanywa ilienda wapi?
 
Unaweza kuta we kichwa cha familia kabisa...Hakika watoton na mke wamekosa kichwa cha familia
 
Unafique.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…