Ni kwanini tarehe ya Harusi ( Ndoa ) huamuliwa kwa Mwanamke ( Bibi Harusi ) kutokuwepo 'Period' Siku hiyo?

Ni kwanini tarehe ya Harusi ( Ndoa ) huamuliwa kwa Mwanamke ( Bibi Harusi ) kutokuwepo 'Period' Siku hiyo?

Genta alijaribu kubattle na LIKUD na Tate Mkuu akashindwa hiyo battle na wala hana hiyo IQ ndio maana alishindwa battle. Sifa yake kubwa ni mropokaji na matusi. Ushauri wangu ni usimuige naww usije limwa ban!
Halafu ni kwanini wakiwa Wanapambana nae Wao wakiwa Wengi na Yeye peke yake wakiona anawamudu wanakimbilia Kumshtaki apate Hukumu ya Jamvi?

Tusaidie Kutuulizia kwa hawa Uliowataja hapa Ili ama Wewe Muwakilishi Wao wa Kujipendekeza Kwao au Wao wenyewe Watujibu.
 
Mfupa uliomshinda genta wewe MINOCYCLINE utauweza? Huyo genta enzi za uhai wake aliandika gazeti kubwa kwa mods kuomba msaada baada ya kuzidiwa maarifa ya kivita na bado akaishiwa kulimwa ban! 😂😂
 
Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ( hii Mada ) ni Kusoma tu Mirejesho ( Comments ) za Wana JamiiForums.
Harusi inapangwa hata mwaka mmoja kabla, hiyo hoja ya 'siku za hedhi' ni mfu.
 
Hivi kwani hairuhusiwe mume kumgegeda mke wake akiwa period😲😲😲😲
Au mie nakosea🤔🤔🤔
Duuh mkuu ile damu tu kwanza hata kama ni mume kwa mwanamke alofundwa hawezi kuruhusu hata mumewe aione, hapo ndiyo tunarudi kwenye maana halisi ya uvaaji wa shanga kwa baadhi ya makabila mfn. Ukiona mkeo kavaa nyekundu ujue hali si shwari akivaa nyeupe ujue basi panalika ingawa kizaz cha sasa wanavaa kama urembo vitu vyenye maana kubwa.
 
Kumbe ndio maana ya shanga
 
Huyo Jamaa sijui ana Dawa gani ya Mvuto kwani pamoja na kwamba hayuko sasa hapa JamiiForums ila bado tu Nyota yake inang'aa na Watu ( Members ) wanamtaja kila mara.

Na Mimi MINOCYCLINE natamani mno niwe na huo Mvuto mkubwa alionao japo nimeanza kwa Kumuiga Uandishi wake na sasa nataka kujitahidi Niige pia na Uwasilishaji wake wa Masuala na natamani zaidi Niige hadi IQ yake ila najua itakuwa ngumu kwakuwa kila Mtu amepewa zinazomtosha na Mwenyezi Mungu.

Ndugu huyu Jamaa kapotelea wapi?
Pale mwana JF anapotamani ID zake zote ziunganishwe kwenye ID yenye umaarufu
 
Back
Top Bottom