scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
akili kubwa huyu anamsomesha nambaHuyo unayeongea naye ndio genta mwenyewe mkuu
Sent from my CAM-AL00 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akili kubwa huyu anamsomesha nambaHuyo unayeongea naye ndio genta mwenyewe mkuu
Hili nalo mkalitizameKazi yangu Kubwa katika huu Uzi ( hii Mada ) ni Kusoma tu Mirejesho ( Comments ) za Wana JamiiForums.
ila we kaka una matatizo binafsi,hivi hapa unadhani kuna wa kumdanganya hii id yako huwa unaitumia punde tu ile inapolimwa ban,huna ujanja wa kujifichaHivi kumbe kapewa BAN? Nilikuwa sijui.
Usilazimishe Gazeti la MWANANCHI kuwa sawa na la The CITIZEN sawa? Mimi ni MINOCYCLINE na siyo huyo Mume wenu mnaempenda na Kumshobokea Kutwa hapa Jamiiforums. Nimewachoka sasa kwa kila mara Kunihusisha nae.Mleta mada ukificha unapata faida gani? Kwani ukisema MINOCYCLINE ndio GENTAMYCINE kuna shida? Au kuna anaekujua!!
Gentamycine hata ubadili ID, Mwandiko wako haufichikiUsilazimishe Gazeti la MWANANCHI kuwa sawa na la The CITIZEN sawa? Mimi ni MINOCYCLINE na siyo huyo Mume wenu mnaempenda na Kumshobokea Kutwa hapa Jamiiforums. Nimewachoka sasa kwa kila mara Kunihusisha nae.
Wewe Ujinga na Upumbavu wako Unafichika?Gentamycine hata ubadili ID, Mwandiko wako haufichiki
Usilazimishe Gazeti la MWANANCHI kuwa sawa na la The CITIZEN sawa? Mimi ni MINOCYCLINE na siyo huyo Mume wenu mnaempenda na Kumshobokea Kutwa hapa Jamiiforums. Nimewachoka sasa kwa kila mara Kunihusisha nae.