Ni kwanini ukikutana na Wanaotoka Tamasha la Mwakasege na Mwamposa Kawe unaiona tofauti hii Kubwa?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hahahahah
 
Non sense

Pambana na maisha yako arifu
 
Jambo hili MINOCYCLINE well informed person alikuwa anasema wata wakamuona ana chuki sasa hivi na wewe umeliona sijui watasemaje ...
Kiongozi hujambo lakini? Kitambo sana na nimepotea kwani niko mbali na huku niliko Vijijini kupata Mtandao ni mpaka uje Mjini kama hivil leo. Nalima sasa ila nimewamisi mno hapa JamiiForums na nikipata Huduma ya Internet nitakuwa najiunga hapa nanyi.

Nisalimie wote huko.
 
4..Kwa mwakasege n kwelii ...

4..Kwa mwamposaa ngoja kwanza nichekee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]maana ujasemaa uongoo...

KATAA NDOAAA
 
Zaburi 1 (Biblia Takatifu)
Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―
ΒΉ Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.

I'm off.
 
Wew jamaa una nyuzi ngap ,maan kila day hnashusha nyuzi si chini ya SabaπŸ˜…πŸ˜…
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]salamu Yako imefikaa kk ....
 
Kuna kundi moja hutolewa pesa zote walizo nazo, wakiaminishwa watapata
 
Pamoja sana mkuu ,mimi sijambo tumemiss uchambuzi wako wa ndani jukwaa la michezo jitahidi kwa wiki angalau uwe unatumia hata kauzi kamoja .

Pambana na kilimo maana mimi bado sijatoka kwenye ujobless nipo kwa shemeji mpaka mwakani InshaAllah na mimi nitaanza kufocous na kilimo kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…