Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Ongea na Mwenyekiti wa mtaa, atakulengesha.Mkuu unaweza kunipa namba za dalali wa pemba mnazi? Kuna mzungu mtalii alikuwa anataka plot karibu na beach amjengee mjengo demu wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongea na Mwenyekiti wa mtaa, atakulengesha.Mkuu unaweza kunipa namba za dalali wa pemba mnazi? Kuna mzungu mtalii alikuwa anataka plot karibu na beach amjengee mjengo demu wake.
Siyo singida tu...hata Dar vipo..
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mkuu kujenga gorofa kwa sasa inaweza kuwa cheap kuliko kujenga nyumba flat yenye ukubwa sawa.
Mfano unapojenga gorofa ile cost ya mabati, mbao, sealing board zinakuwa hazipo katika fllat ya kwanza na hii cost inaweza kuwa ni chini ya ile cost ya kupiga jamvi, slubs na finishing yake
Arusha bei ya viwanja ni kisanga halaf ni vidogo sana, hapo ukitaka vikubwa utoke nje ya mji kabisaHivi arusha mna nini?
Viwanja bei mnoooo[emoji848]
Mkuu kuna maeneo kabisa unaenda kituo cha daladala kwa mguu dakika 10 na bei pouwa tu. Ingawa mpaka feri ni kilomita 37Labda huko mwisho wa lami lakini si maeneo yanayofikika kwa urahis, Huwezi kusema umepata kiwanja kwa bei rahisi wakati gari za abiria kukupeleka huko unatembea umbali zaidi ya km50 kutoka town centre.
We Acha tu, eti wanasemaga ardhi ya Arusha ina mafutaHivi arusha mna nini?
Viwanja bei mnoooo[emoji848]
Wenyewe wanaita "msauzi".Ni mtindo wa maisha ambao tumeiga nje. Ni kama hii miaka ya karibuni umezuka mtindo wa kuwa na mgongo mkubwa wa paa.
Mkuu kuna maeneo kabisa unaenda kituo cha daladala kwa mguu dakika 10 na bei pouwa tu. Ingawa mpaka feri ni kilomita 37
Km 37 kutoka town centre mbali sana hapo ni sawa na mtu atoke arusha mjini akanunue kiwanja kikatiti huko ndani ndani halafu aseme amenunua mjini, Hapo no sawa na kupoteza ela yako sababu hata ukija kutaka kuuza au kutaka uiweke dhamana wale watu wanaofanya valuasheni huwa wanaangalia nyumba kiwanja kiko umbali gani kutoka city centa kwa hio jinsi nyumba kuwanja chako kinavyokua mbali na mji ndivyo unavyojiweka mbali na mafanikio. Nunua kiwanja mjini.
Inategemea Kiwanja kikojeKwa msingi wa ghorofa unaweza kununua viwanja viwili.
Huu ni ubishi ambao sina hakika kama unakusaidia ...nyie ndio wale wa huko mbali siwezi kukaa mimi sioUkweli ni kwamba hakuna kiwanja cha milioni tano mjini.
Hallafu wanajikuta mjini hawapawezi na huko mbali hawapawezi maana panapanda bei panawashinda wakati kipindi hapajachangamka walipachukulia poaHuu ni ubishi ambao sina hakika kama unakusaidia ...nyie ndio wale wa huko mbali siwezi kukaa mimi sio
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Mzee umewaza kimaskini sanaKweli kabisa slab inakula sana hela maana form work ujue usuke nondo alafu ujue umwage zege...mifuko ya cement inaisha huku unashangaa.
Ghorofa bwana kama sio la biashara ni waste of resources na ni majivuno ya kibinadamu tuu ambayo yote ni ubatili
Mimi nimeazimia kupandisha Ghorofa mwakani nina eneo kubwa tu Kibaha! kwenye maisha huwa napenda kufanya tofauti na wengine wanavyofanya....kama kujenga Nyumba ya Chini nimeshajenga na wengine wengi wanajenga sana aina hiyo ya Nyumba so lazima kila unapotaka kufanya kitu haipendezi kufanya kitu kile kile nimesoma mawazo ya watu wengi hapa nadhani wanaile Ghorofa ni Ghali asee ukitaka vitu rahisi huku Duniani vitu vikubwa utaishia kuviona kwa wengine tu....ukweli Ghorofa inaheshima yake mtu akiwa na dhamira hakishindikani kituMkuu una ujumbe gani kwa wanaokaa maeneo kama kibaha au kongowe? Maana ni zaidi ya 40km kutoka city centre
Ni sawa na maeneo ya Mwembemkavu sijui kule maeneo ya Tuangoma, mpaka ufike feri dah! Ila ndio kumekucha sasa hivi watu wanaangusha mijengo ya kimsauth kibaoKm 37 kutoka town centre mbali sana hapo ni sawa na mtu atoke arusha mjini akanunue kiwanja kikatiti huko ndani ndani halafu aseme amenunua mjini, Hapo no sawa na kupoteza ela yako sababu hata ukija kutaka kuuza au kutaka uiweke dhamana wale watu wanaofanya valuasheni huwa wanaangalia nyumba kiwanja kiko umbali gani kutoka city centa kwa hio jinsi nyumba kuwanja chako kinavyokua mbali na mji ndivyo unavyojiweka mbali na mafanikio. Nunua kiwanja mjini.