Uchaguzi 2020 Ni kwanini upinzani utashindwa vibaya na CCM Itashinda kwa kishindo?

Awali ya yote, napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza ndugu Bernard Camilius Membe na ndugu wakili msomi Tundu Antipas Lissu kwa kuaminiwa na kuteuliwa kupeperusha bendera za vyama vyao katika kinyang'anyiro cha urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, 2020. Ni rasmi sasa watachuana na Rais Magufuli.

Uchaguzi ni uchaguzi na hakuna uchaguzi rahisi. Hatahivyo, Rais Magufuli na CCM kwa ujumla watashinda kwa kishindo. Twende pamoja:

1. Rais Magufuli na chama chake, CCM wana ajenda mahususi za uchaguzi mkuu. CCM chini ya Magufuli wanataka kukamilisha kazi kubwa waliyoianza. Hapa hapatakuwa na matumizi ya nguvu bali nguvu ya hoja. CCM wataonesha walichokifanya ndani ya miaka 5 na watawaomba watanzania waendelee kuwaamini kwa miaka 5 ijayo. Kwavile kazi imefanyika kweli na watanzania wameona, basi hakutakuwa na tabu. Upande wa pili, wapinzani hawana hoja wanayoisimamia kwa Sasa.

Naomba niwakumbushe kuwa katika nchi zinazoendelea Kama Tanzania, ajenda kubwa huwa ni maendeleo na CCM chini ya Magufuli wamefanikiwa kwenye ajenda hii. Wapinzani wataleta ajenda ipi? Huko kupinga kila kitu? Watanzania wameamka.

2. Uimara wa vyama. CCM ni chama imara chenye mizizi mpaka ngazi ya shina. Vyama vingine vipo mijini tuu. Pamoja na rekodi yake nzuri, mgombea wa CCM ambaye ni ndugu Magufuli atabebwa na ukubwa wa chama chake, mapenzi ya wananchi walio wengi kwa CCM na ile hali ya ukweli kuwa imekita mizizi mpaka ngazi za chini.

3. Kushindwa kwa wapinzani kuungana. Kwanza niweke wazi, hata wapinzani wakiungana, bado kura zao haziwezi kumfikia Rais Magufuli lakini angalau wangepata kura kadhaa. Kitendo Cha kutoungana kinaonesha hawaaminiani hivyo watachafuana wenyewe kwa wenyewe na watajodhoofisha kabla ya kufikia sanduku la kura. Inashangaza eti inakuwa Jambo kubwa kwa wapinzani kuhamia Upinzani. Yaani huu ndio ule mchezo wa sifuri kugeuza o. Wajifunze kwa mataifa yaliyoendelea. Wanahitaji wawe na chama kimoja cha Upinzani chenye nguvu. Ni dhahiri ujio wa Membe utapunguza pakubwa kura za CHADEMA

4. Wananchi wengi kupoteza imani yao kwa vyama vya Upinzani. Pamoja na ukweli kuwa kuunga nkono jitihada za mh Rais ni jambo jema lakini wananchi waliowachagua wadiwani na wabunge wa Upinzani na kuwaacha CCM walihuzunika sana kuona viongozi hao wakitimkia CCM. Sasa wengi wao wanaona bora tuu nao waunge juhudi kwa kura zao na wale wachache wanaobaki wanasema hatupigii tena Upinzani kwani hawaaminiki na hatuipigii CCM vilevile. Hawa Ni rahisi kuwashawishi wwkaipigia CCM na ikitokea hawakupiga basi wapinzani ndio wanaopata hasara kwani wapoga kura wa CCM hawajabadilika zaidi sana wameongezeka

5. Watu wengi wanaounga mkono upinzani walisusa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Hawa hawataweza kuwachagua viongozi wao. CCM ilifanya vizuri kwa kuhakikisha wananchama wake wamejiandikisha.

#tukutaneoktoba
Wacha nisihangaike na andiko la taahira ngoja nikasome commend za washikaji!
 
tulia wewe coward mazingira ya mange na hii ya kuiba kura za lissu ni tofauti kabisa you can't compare embe na pera bwana mdogo
Wote keyboard warriors tu hamna wa kufanya fujo hapa
 
Sikuwaza kuna atakayekuja mpokea huyu mpaka nilipowaona. Kwanza nilijua akija atapokelewa na pingu. Sasa hivi simchukulii poa.
Kupokea si walishasoma mazingira na kwani polisi walitangaza kwamba wamewakataza kumpokea?????? Ishu mtu atoke kwake ajue anaenda kuchezea kichapo huko wengi wanaufyata
 
Wimbi la vijana tusiokuwa na ajira linaongezeka kwa kasi mtandaoni ktk kujipendekeza kwa CCM ili tupate teuzi

Alisikika jamaa mmoja akisema
Ndugu LUCKDUBE tuliandika, mkasoma lakini mkashupaza shingo zenu
 
Sera za Chadema.. ni vitukwo..
1. Wahujumu uchumi.. na mafisadi.. wasisote jela.. 😃😃😃
2. Wagonjwa watibiwe.. walipe bili.. wakipata fedha.. na 😃.. hata ikiwa miaka 10 baada..
3. Kila ukanda utakuwa.. waziri mfano wa Pamba.. Ndizi.. Kahawa.. Samaki.. 😃😃😃 sio Waziri wa Kilimo.. wa nchi nzima.. yeye ajue kila kitu.. 😃😃😃..
Nchi itakuwa.. na mawaziri hata 100.. wote wale.. matumbo kwanza..
4. Hawata kuuliza wananchi tena.. katika ya Warioba.. itatumika.. 😃😃😃 hawa mabomu hawajui.. dunia haisimami.. wavivu kudandia ya CCM.. miaka ile.. siwo ya sasa..
5. Watafita sheria zote zilizopo.. maelfu kwa maelfu..
6. Ati uchumi haupandi sasa.. wao wamesaidiaje.. kubadili.. wabunge walikuwa nao Bungeni..

Chadema muna ndoto za ajabu.. hamutafanya lolote munalisema.. hamuna uwezo.. munataka kwanza muongoze wengi.. mule mule tu..
😃😃😃kwa kweli.. muvizie tu kura za huruma.. za wasiojitambua..

Magufuli 2020
Wananchi wamewakataa wapinzani. Waelewe tuu
 
4. Usambazaji umeme hizi credit kwa kweli ziende tu kwa mkwele asilimia 90 ya umeme shy kasambaza kikwete so kwa porojo zako hizi sisi wanashinyanga kwa pamoja kura zetu tunampa tundu lissu
Blac kid muwe mnaelewa basi kuwa wananchi wameamka na wanaunga mkono maendeleo
 
Awali ya yote, napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza ndugu Bernard Camilius Membe na ndugu wakili msomi Tundu Antipas Lissu kwa kuaminiwa na kuteuliwa kupeperusha bendera za vyama vyao katika kinyang'anyiro cha urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, 2020. Ni rasmi sasa watachuana na Rais Magufuli.

Uchaguzi ni uchaguzi na hakuna uchaguzi rahisi. Hatahivyo, Rais Magufuli na CCM kwa ujumla watashinda kwa kishindo. Twende pamoja:

1. Rais Magufuli na chama chake, CCM wana ajenda mahususi za uchaguzi mkuu. CCM chini ya Magufuli wanataka kukamilisha kazi kubwa waliyoianza. Hapa hapatakuwa na matumizi ya nguvu bali nguvu ya hoja. CCM wataonesha walichokifanya ndani ya miaka 5 na watawaomba watanzania waendelee kuwaamini kwa miaka 5 ijayo. Kwavile kazi imefanyika kweli na watanzania wameona, basi hakutakuwa na tabu. Upande wa pili, wapinzani hawana hoja wanayoisimamia kwa Sasa.

Naomba niwakumbushe kuwa katika nchi zinazoendelea Kama Tanzania, ajenda kubwa huwa ni maendeleo, na CCM chini ya Magufuli wamefanikiwa kwenye ajenda hii. Wapinzani wataleta ajenda ipi? Huko kupinga kila kitu? Watanzania wameamka.

2. Uimara wa vyama. CCM ni chama imara chenye mizizi mpaka ngazi ya shina. Vyama vingine vipo mijini tuu. Pamoja na rekodi yake nzuri, mgombea wa CCM ambaye ni ndugu Magufuli atabebwa na ukubwa wa chama chake, mapenzi ya wananchi walio wengi kwa CCM na ile hali ya ukweli kuwa imekita mizizi mpaka ngazi za chini.

3. Kushindwa kwa wapinzani kuungana. Kwanza niweke wazi, hata wapinzani wakiungana, bado kura zao hazitaweza kufikia kura za Rais Magufuli lakini angalau wangepata kura kadhaa. Kitendo cha kutoungana kinaonesha hawaaminiani hivyo watachafuana wenyewe kwa wenyewe na watadhoofishana kabla ya kufikia sanduku la kura. Inashangaza eti inakuwa jambo kubwa kwa mpinzani kuhamia upinzani. Yaani huu ndio ule mchezo wa sifuri kugeuza O. Wajifunze kwa mataifa yaliyoendelea. Wanahitaji wawe na chama kimoja cha upinzani chenye nguvu. Ni dhahiri ujio wa Membe utapunguza kura za CHADEMA

4. Wananchi wengi kupoteza imani yao kwa vyama vya Upinzani. Pamoja na ukweli kuwa kuunga mkono jitihada za mh Rais ni jambo jema lakini wananchi waliowachagua wadiwani na wabunge wa upinzani na kuwaacha CCM walihuzunika sana kuona viongozi hao wakitimkia CCM. Sasa wengi wao wanaona bora tuu nao waunge juhudi kwa kura zao na wale wachache wanaobaki wanasema hatupigii tena upinzani kwani hawaaminiki na hatuipigii CCM vilevile. Hawa ni rahisi kuwashawishi wakaipigia CCM na ikitokea hawakupiga basi wapinzani ndio wanaopata hasara kwani wapiga kura wa CCM hawajabadilika zaidi sana wameongezeka

5. Watu wengi wanaounga mkono upinzani walisusa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Hawa hawataweza kuwachagua viongozi wao. CCM ilifanya vizuri kwa kuhakikisha wananchama wake wamejiandikisha.

#tukutaneoktoba

Amani
Napita
 
Hiyo namba nne, ndio imetufikisha hapa!
 
Back
Top Bottom