Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Tumeshiba sasa ngoja tukailaumu serikali alisikika kibaka mmoja wa ufipa.
 
Wakati nasoma pugu sec my mom told me to go there to get treatment whenever i fall sick lakini sikuwahi kwenda though my mom and dad huwa wanatibiwa hapo at least after every two to three month
 
Dhumuni lako la Kujifanya kuandika kwa Uchungu hivi na Kiufafanuzi ili tukujue kuwa nawe ni mwana TISS limetimia Ndugu je, kuna ulilolisahau?
Basi njoo utibiwe mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Maana makasiriko mengine ni unessesary.
Maana siku hizi humu kila post mzena mzena. Naona mnaipaisha kupitiliza.
 
Mzena alikuwa ni mkurugenzi wa usalama wa Taifa (TISS) enzi za Nyerere
Enzi za Nyerere hakukuwa na TISS Ndugu na hii TISS imekuja katika awamu ya Hayati Mzee Mkapa kama sijakosea sana. Ya Mwalimu iliitwa TIS tu.
 
Hivi Kikwete alianguka kweli kweli au alikuwa akijiangusha tu ili Kutengeneza Stori fulani fulani na Kuziua zilizokuwa hot Kipindi kile cha Ufisadi?
 
Kupata ajira hata ya usafi tu hapo ni lazima ufanyiwe vettig na TISS.
Mbona nasikia hata Wafagiaji tu wa hapo nao huwa ni sehemu yao hivyo huwa hawana haja tena ya sijui Kukufanyia Vetting yako hii unayoisema?
 
Ukiwa na kadi yako ya NHIF tu unakwenda kutibiwa pale bila shida. Haijalishi wewe ni nani...tatizo wabongo peree mingi. Eti sijui nini blaa blaa... pale mtu yoyote anaenda tu.
Kawadanganye Wapumbavu katika hili Ndugu na ni vyema kama pengine unakuwa ama hujui au huna uhakika na Jambo lolote basi ukanyamaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…