MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #121
Kingekuwa si cha maana ungepoteza muda wako Kujibu hivi Ndorobo Wewe?Sasa hicho nacho kitu cha kuhoji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingekuwa si cha maana ungepoteza muda wako Kujibu hivi Ndorobo Wewe?Sasa hicho nacho kitu cha kuhoji?
😂😂😂Nimekuelewa mkuu,
Naona ipo haja ya kuwa na vitu kama hivyo.
Kwahiyo baada ya serikali kuhamia Dodoma nayo imeshahama au bado itaendelea kuwepo hapo ??
Itajengwa Mzena Two huko huko.Mkuu baada ya viongozi kuhamia dodoma nayo wataihamisha au inabaki.
Private wale watu wa .......!!!!!Iko wapi hiyo hospital
Ya Serikali au Private
Full suti kioo tited na plate namba za ajabu ajabuHivi hiyo hospital ni kwa ajili ya kina nani??
Basi njoo utibiwe mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Dhumuni lako la Kujifanya kuandika kwa Uchungu hivi na Kiufafanuzi ili tukujue kuwa nawe ni mwana TISS limetimia Ndugu je, kuna ulilolisahau?
Enzi za Nyerere hakukuwa na TISS Ndugu na hii TISS imekuja katika awamu ya Hayati Mzee Mkapa kama sijakosea sana. Ya Mwalimu iliitwa TIS tu.Mzena alikuwa ni mkurugenzi wa usalama wa Taifa (TISS) enzi za Nyerere
Yule alifia nyumbani akapelekwa hapo kama ushahidi.Ina maana hata yule mzee wetu wa kutuita marofa alikuwa anatibiwa pale?
Kuna vitu tu hayuko detailed kwasababu yeye alikua msindikizaji maybe mwenziye hakumwelezea vzr.Huyu Jamaa mrangi ni mwongo mwongo sana nashukuru baadhi yenu ambao mpo huko 100% mnaanza Kumuumbua na Sisi Kumsanifu tu hapa.
Kama ni rahisi hivyo anza Wewe.Kufa wewe BASI
Unataka uende pale kwani wee uko kitengo?Sisi tukiugua tunaambiwa twende mwananyamala..hehehehehe
Hivi Kikwete alianguka kweli kweli au alikuwa akijiangusha tu ili Kutengeneza Stori fulani fulani na Kuziua zilizokuwa hot Kipindi kile cha Ufisadi?Hii hospital ni kubwa na ya kisasa kuliko zote Tanzania inatibu viongozi wa serikali. Hata jakaya alipodondoka kwenye kampeni za uchaguzi pale jangwani Mara mbili alikimbizwa na kuletwa pale DMMH pia ina underground basement. Kimsingi huduma za pale ni Kama za John Hopkinson.
Mbona nasikia hata Wafagiaji tu wa hapo nao huwa ni sehemu yao hivyo huwa hawana haja tena ya sijui Kukufanyia Vetting yako hii unayoisema?Kupata ajira hata ya usafi tu hapo ni lazima ufanyiwe vettig na TISS.
Hata marekani viongozi wao wakiumwa
Wanapelekwa hospital zao mfano walter reed etc
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kawadanganye Wapumbavu katika hili Ndugu na ni vyema kama pengine unakuwa ama hujui au huna uhakika na Jambo lolote basi ukanyamaza.Ukiwa na kadi yako ya NHIF tu unakwenda kutibiwa pale bila shida. Haijalishi wewe ni nani...tatizo wabongo peree mingi. Eti sijui nini blaa blaa... pale mtu yoyote anaenda tu.