Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Sababu moja ni kwakuwa kipato chao ni kidogo cha mshahara...

Pia hawajipendi, mavazi yao yapoyapo...

Ila wanamchango mkubwa sana ktk kuendeleza elimu za watoto wetu...
Mungu akubariki sana kwa kutambua mchango wa walimu
 
Huyu si ndo yule alienda lindi kutafuta part time ya kufundisha..? Dunia inamambo
 
Hatutamani kufika huko
 
Mungu akubariki ndugu
 
Mungu awabariki sana walimu wangu walionifundisha,

Mkandawire,

Sedrick magasi

Mwalimu mlay

Kuna mzee mmoja alikua mtaalamu wa physics alifundisha tosamaganga dah nimemsahau jina

Sasa wewe mshenzi mmoja unawadharau walimu we ni mwehu mmoja
 
Mbona kuna watanzania wengi tuu huko

Nenda shule kama st Constantine, international school Moshi watanzania wengi wanafundisha pale na mishahara ni minono
Acha kukimbilia private mbona hujagusa walimu wa kata, hutaki kuwataja wa serikali kwa kuwa ukweli uko wazi maisha yao yakifukara naukata wakupindukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…