Natamani siku moja waalimu wasiwe wanawafuatilia watoto,, yaani wawaache tu hata wakifanya makosa
Wasi improvise kama kuna shortage ya waalimu,,, watumie dk 120 kwa wiki kufundisha kama muongozo wao unavyowataka
Wasitumie energy kubwa kufundisha,,
Wakae muda standard wa serikali kazini from saa 2-9
Wasichukue nafasi ya mzazi au mlezi,,(mind their own busines)
Wafundishe kwa pace ya syllabus zao
Wagome kufundisha kwenye mazingira hayo mabovu ya kazi waliyonayo
Wafanye hvo kwa miaka 3 mfululizo Nione nn kitatokea[emoji848][emoji848]