Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Though mi sio mwl ila mwandishi una chuki binafsi kama sio mtindio wa ubongo kwa taarifa yako wafanyakazi walio chini ya halmashauri mishhara yao inafanana nashangaa una point walimu pekee ...

Hawez kuelewa kwa sababu hana Ajira serikalini
 
Hawez kuelewa kwa sababu hana Ajira serikalini
Sio kila mtu lazima agombanie viajira vya serikali mjomba, wengine tumevuka hizo level iniajiri itanipa bei gani compare to my own business,. Hao walimu wananuka njaa, angalia hata ajira za sensa ni vituko wanalia kama yatima wanataka wawe wao tu kwenye hizo nafasi baada yakuwaachia jobless ili wapate mitaji. Halafu wengi hawajielewi wanabaka wanafunzi wao kucha kutwa. Nenda mahakama yoyote iliyo karibu yako utakuja kuniamini. Walimu ni mafukara, wana tamaa, njaa kali, wachafu, wamefeli shule mpaka maisha. Viajira vya sensa mbona hatusikii maenginner wanataka au madaktari au wanasheria. Lakini hawa watu wananjaa kali mpaka kazi za buku buku wanachukua watafute ulaji
 

Mm ni mwalinu na Nina pesa chafu. Njoo inbox nikuoneshe pesa na assets zangu. Na walimu wote hawako hivyo unavyosema. Unawajua sana kwa sababu wako mtaani wengi ukifananisha na kada zingine. Wananuka, Wachafu, Hawaeleweki lkn ndio waliokupa jeuri ya kuandika hayo matusi. Hakuna polisi, wanasheria, madktari, wenye sifa mbaya?Infact walimu wanakula mishahara mpk wanaenda kaburini ww utabaki kunenepesha makalio ukiangalia msanii Gani ametoa wimbo YouTube. Nikukumbushe zimebaki siku 3 mshahara utoke tena wenye nyongeza[emoji854][emoji854]. Huna hela, huna job security, huna bond, huna Elimu na kubwa zaidi ni "Jobless cant"
 
Uwalimu ni wito ,ikiwa wito huo utageuzwa biashara ,malengo yake yatageuka aibu na kudharauliwa.
Sio kila mwl anadharauliwa inategemea :-
1.Unaishije na jamii hiyo.
2/Unapokuwa shuleni watoto wajamii hiyo wanakuona kama shemeji ?beby? Wakikuona wanakukimbilia kwa salam za heshima na utii au tabia ulizonazo zinafanya wakutafsirije?
Heshima inalindwa na mhusika,kila mtu atengeneze heshima yake bila kujali jinsia na kazi aliyonayo.
 
Mkuu hata hao degree wenye one niwakukaunti mm nakwambia wengi ni three ya 13

Kwani wenye division 1 ndiyo wenye uwezo mkubwa wa kufikiri?mh,jamii forum siku hizi........
Lakini walimu kwanini tumeandamwa hivi?!lazima Kuna sehemu tunakosea tujitathimini.

Mwalimu ndiyo huamua taifa liweje.
Walimu Wana kipato kidogo chanzo Ni wao wenyewe Wala siyo serikali.
Walimu wanadharaurika pia chanzo Ni wao wenyewe!
 
Walimu ni watu wa ajabu sanaa ila wale wenye akili huwa wanatoka fasta .kwanza kwa levo ya degree wanaanza na 700k diplom 650k shidah kubwa ya hawa nikupenda competition za kijinga mwenzio akinunua gari shuleni watataka waanze kushinda nae
 
Walimu ni watu wa ajabu sanaa ila wale wenye akili huwa wanatoka fasta .kwanza kwa levo ya degree wanaanza na 700k diplom 650k shidah kubwa ya hawa nikupenda competition za kijinga mwenzio akinunua gari shuleni watataka waanze kushinda nae
Wajinga
 
Jobless cunt.[emoji2]

Daah
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mwenye pesa hajitapi..wewe njaa zinakusumbua..99% ya walimu wanamaisha magumu sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Walimu ni watu wa ajabu sanaa ila wale wenye akili huwa wanatoka fasta .kwanza kwa levo ya degree wanaanza na 700k diplom 650k shidah kubwa ya hawa nikupenda competition za kijinga mwenzio akinunua gari shuleni watataka waanze kushinda nae
Huna uelewa na unachoandika humu,kiwango cha elimu mshahara,sio kigezo cha kutoka haraka,Ila ni akili ya mtu,wenye degree wanaanza kazi na mikopo ya bodi,pia hukopa benki kwa sbb mbali mbali,mwisho Huyu wa diploma anajikuta anamzidi mshahara mwenye degree. Kama hujui,kuna walimu Wana biashara zao kubwa tu mjini,na Wana maisha mazuri hata kuliko Kada nyingine. Watu wapumbav kama ww ,mnakimbilia mishahara mikubwa badala ya kufikiri kuwekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…