Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nguo tu wanazovaa halafu mara nyingi majumbani kwao wanakula ugali maharage, ubwabwa mpaka siku ya mshahara anatoka na Mchele mjini
Sikuwa na Nia ya kusema chochote lkn kwa kauli hii, naungana na aliyetoa post #12 hapo juu...........ndg wewe ni mshamba, tena ni mshamba haswaaaa. Yaani Karne hii bado upo na kauli za 'kula ubwabwa mpaka siku za sikukuu'?!!!!! Umecheleqa Sana.
Hv Burundi Kyle ulikoenda kabla ya kilwa/Lindi umesharudi?!!
 
Sasa hao wa dv 1,, ndo wamejaa mno huko kwa waalimu,,
Sema sababu mmezoea kuwaona ni mapopoma yaliofeli,, siwalaumu kwa mtazamo wenu
hao unaosema div one ni walimu wengi ngazi ya degree hawa hatuwasemi sana na wanaheshimika vizuri tu cuz most hizo course wengi hupangwa tu na TCU

Diploma to cerrificates most ni wale kuamzia division 3-4 ila mimi kama mimi siwazungumzii vibaya yeyote katika haya makundi

Usiniquote tena bhana mi sitaki kubishana 😣😣
 
Mkuu hata hao degree wenye one niwakukaunti mm nakwambia wengi ni three ya 13
 
dah! ila naona umewadhalilisha sana mkuu,ni watu wa kupewa respect sana japo kuna baadhi wanazingua kuimpose personal feeling kwenye kazi.
hata hao unaowaona smart PCB ni juhudi za hao hao wanaodharaulika,ok hao wa TRA n.k wape mshahara wa mwalimu alafu wa mwalimu wape wao.
->hii ni ishara tosha kwamba taifa letu halithamini elimu kama ilivyo kwa kodi na bandari wakati huo huo wanateua wa phd kwenye idara mbalimbali.
->Human resource management kwa waalimu bado sana unakuta head master anaendesha shule kimazoea as if ni kwake!
»kuna shule moja imeongoza kitaifa ipo bukoba mmiliki yupo serious sana hata HR ni ya standard za kimataifa tunapaswa tumuige yule jamaa ingia youtube mcheki mahojiano yake na AYO TV.
 
Skol [emoji482]
 
Ngoja nimcheki tupate kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…