Sikuwa na Nia ya kusema chochote lkn kwa kauli hii, naungana na aliyetoa post #12 hapo juu...........ndg wewe ni mshamba, tena ni mshamba haswaaaa. Yaani Karne hii bado upo na kauli za 'kula ubwabwa mpaka siku za sikukuu'?!!!!! Umecheleqa Sana.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nguo tu wanazovaa halafu mara nyingi majumbani kwao wanakula ugali maharage, ubwabwa mpaka siku ya mshahara anatoka na Mchele mjini
Hv Burundi Kyle ulikoenda kabla ya kilwa/Lindi umesharudi?!!