Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

labda mkuu umezungumza kwa niaba yangu nilishindwa afya baada ya kukosa mkopo ilibidi nigeukie education,niliongoza matokeo darasani kwangu na waliopata division one mpaka three walisoma afya vizuri,nashangaa huyu hopeless wa jf anaongea nini
 
Unaropoka Sana alafu hakuna fact watumishi wa serikali mishahara asilimia 80 huwa inafanana kulingna na level ya elimu tofauti km inakuwepo sio kubwa lkn shida yako wivu ndo unaokusumbua...

Na ni wengi sabbu ya uwingi pia wa vituo vya kutoa huduma kilakijiji now kunashule sehemu zingine zaidi ya shule moja kwann walimu waonekane sio wengi tofauti na kada zingine

Jaribu kutumia busara unapoamua kuzungumzia maisha ya watu..na
 
labda mkuu umezungumza kwa niaba yangu nilishindwa afya baada ya kukosa mkopo ilibidi nigeukie education,niliongoza matokeo darasani kwangu na waliopata division one mpaka three walisoma afya vizuri,nashangaa huyu hopeless wa jf anaongea nini
Anaongea asichokijua sababu ya chuki zake binafsi, sasahivi walimu wanajitambua sehemu nyingi nilizopita wengi ndio wana miradi, wamefungua maduka makubwa, nilikua na mwl rafiki yangu anamiliki bodaboda 4 kawapa vijana. Nina rafiki zangu wamesoma afya na ufaulu Wa kawaida tu
 
labda mkuu umezungumza kwa niaba yangu nilishindwa afya baada ya kukosa mkopo ilibidi nigeukie education,niliongoza matokeo darasani kwangu na waliopata division one mpaka three walisoma afya vizuri,nashangaa huyu hopeless wa jf anaongea nini
Weka ushahidi wa Chet hatuwezi kuamini maneno matupu
 
Wewe ndoumeropoka, kama shule ni nyingi mbona walimu tunao wengi hawaajiriwi unataka kuniambia mtu anaenda kusoma ualimu baada ya kujua shule zipo nyingi kijijini??, teacher education is the only way to go when someone fails to qualify another program, MD wanataka one, engineering wanataka uwe umefaulu na umesoma PCM nk, sheria bila kuwa na one iliyonyooka huendi, ila ualimu mpaka four ya mwishoni unaenda
 
Unasema Sasa hivi walimu wanajitambua, je ni kipindi kipi walimu walikuwaga hawajitambui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…