Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Mbona huyo wa four haendi form six au mwenye four ya form six haendi degree?, jibu nikwamba umefeli vigezo
Kufeli vigezo na Kufeli mtihani ni vitu viwili tofauti, hata mwenye I, II au III anaweza Kufeli vigezo kulingana na nini alipanga kusomea.
Kwa mfano unaweza kupanga kusoma PCM lakini ukafeli hesabu ukapata F hata kama utakuwa umepata div 1 utakuwa umefeli vigezo vya kusoma PCM
 
Binafsi huwa namuona anaye mtukana mwalimu tena kwa maandishi hana tofauti na yule anaye utukana uchi wa mamayake ulio mtoa na akaliona jua.
Kama Kuna mtu anamtukana mwalimu huyo amelaaniwa, ila kama anamshauri na kutoa mtazamo chanya wakubadili maisha yao basi mimi ni mbinguni moja kwa moja
 
Kufeli vigezo na Kufeli mtihani ni vitu viwili tofauti, hata mwenye I, II au III anaweza Kufeli vigezo kulingana na nini alipanga kusomea.
Kwa mfano unaweza kupanga kusoma PCM lakini ukafeli hesabu ukapata F hata kama utakuwa umepata div 1 utakuwa umefeli vigezo vya kusoma PCM
Umeeleweka ila walimu nao waanze kwenda wenye ufaulu mzuri kama wanaoenda kuchukua udaktari MUHAS au SHERIA UDSM
 
Ukifanikiwa kimaisha acha dharau kwa wengine
Kufanikiwa kimaisha wapi?

Watu waliofanikiwa kimaisha wala hawana mbwembwe.

Mtu aliyefanikiwa kimaisha atapata wapi audacity ya kumtukana mwalimu? Ingekuwa anatukana mapolisi huko au taaluma zingine ningeelewa lakini siyo taaluma-mama ya ualimu aisee!
 
Huwa una bifu fulani kali na walimu.Nimekuona unawatukana toka kwenye lile jukwaa la 'sensa'.Labda pengine umeona wanakunyima nafasi ya kuchaguliwa kuwa karani.
Sio vema.Heshimu taaluma za watu.Bila waalimu hakuna ambaye angefika mahali alipo sasa.Kama wewe unawaona wa ovyo wengine maisha yetu ya masomo yalipiganiwa na wao wakati wazazi wetu wapo mbali.
Sijaupenda uzi wako!
Usiumize kichwa hiyo mbuzi imemaliza chuo cha pale mji mkuu wa nchi mwaka 2016 na ikakosa ajira kwahiyo kinachofanywa ni kujipa relief kwa kuikataa na kuisema vibaya taaluma take aliyeisotea miaka mitatu chuoni...mpuuzeni huyo kwanza muda huu nae yupo kwenye wale wanaosubiri majina ya ajira zao za ualimu zitoke.

Sasa sijui akikosa Tena itakuwaje Kama ikiwa bado hazijatoka anaichafua hivyo taaluma take[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fungua thread yangu niliwahi kusema mimi nimesoma political science and public administration
 
Kufanikiwa kimaisha wapi?

Watu waliofanikiwa kimaisha wala hawana mbwembwe.

Mtu aliyefanikiwa kimaisha atapata wapi audacity ya kumtukana mwalimu? Ingekuwa anatukana mapolisi huko au taaluma zingine ningeelewa lakini siyo taaluma-mama ya ualimu aisee!
Walimu mkishauriwa mnakuja juu, mtabaki hivyo mpaka lini???, mna ishi maisha magumuuu
 
Kama Kuna mtu anamtukana mwalimu huyo amelaaniwa, ila kama anamshauri na kutoa mtazamo chanya wakubadili maisha yao basi mimi ni mbinguni moja kwa moja
Huna unacho shauri hata akili yako tu yenyewe inaonesha ni ya kitoto. Kifupi ni kwamba huyo huyo ambaye wewe leo umeweza kumuita primitive aijui alifeli na maneno mengi uliyo yaandika kumuhusi ndiye haswaa alikufindisha ukajua kusoma na kuandika na ndiye aliye kufanya ukawa wewe sasa na ukamuona si kitu hivyo huna tofauti na anaye utukana uchi wa mama yake ulio mtoa akaliona jua.
 
Sio kwamba wanaoenda ualimu huwa wamefeli, bali huwa na ufaulu mdogo.
Kwa mujibu wa NECTA division 4 sio fail, ni pass.
Waliofeli huandikiwa fail kwenye matokeo.
Hivyo basi walimu sio watu Waliofeli form 4 bali walipata ufaulu wa chini.
Kuna watu pia huwa wakitoa hoja inakuwaje waliofeli ndio wakawe walimu Tena? Ukweli ni kuwa hao waalimu kwa mujibu wa mifumo yetu huwa wakipangiwa kufundisha level ambayo watakuwa compitence enough. Mfano hatutegemei form four mwenye div 4 ya 26 ashindwe kufundisha darasa la kwanza mpaka la saba, hivyohivyo form six hawezi shindwa mfundisha o-leve na degree hashindwi mfundisha form six.

Hii ni kwakuwa aliyepata ufaulu mdogo form 4 div 28point na akaenda kusomea ualimu huyo level yake ya kufundisha itakuwa ni primary schools-grade A

Aliyefika form six atasoma diploma na level yake ya kufundisha ni sekondari-o level

Na aliyefaulu form six yy akisoma degree level yake ya kufundisha ni form one moaka six

Huyo mwalimu wa grade A ili aje kufundisha sekondari o leve na a level atasota Sana ni itamchukua muda mrefu sana na wengi huwaga wakikata tamaa kutokana na kushindwa kumudu mziki wa masomo lukuki yaliyo juu ya uwezo wao. Ni sawa na CLINICAL OFFICER AKACHUKUE MD mziki wake huwaga sio wa kitoto wengi lazima watabwaga manyanga njiani[emoji23][emoji23]
 
Wapo wanaomaliza form four wanaenda kusoma special diploma miaka mitatu anakuja kumfundisha form four
 
Nani kadharau mtu, ivi nikimuona mtu kachanganyikiwa, halafu nikaja kuwaambia flani amechanganyikiwa je hizo ni dharau au ni ukweli?

Nilijua mtakuja tu ila nimewapa makavu
Mimi ni mwalimu professionally jua hilo kwanza, lakin ninauwezo wa kukupa ajira hata wewe na nikakulipa mshara mzuri tu kuliko hicho kibarua chako kinacho kupa dharau ,

usiishi kwa kukariri mzee kama unaishi na mwalimu wa aina hiyo basi muheshimu tuu maana kuna watu kupitia yeye ni marais watarajiwa ,mawaziri watarajiwa na ni waheshimiwa wa baadae muheshimu tu ilimradi wapo wanao subiri kielimika kupitia yeye.
 
Hili hata Samia juzi kasema zanzibar, amesema moja ya vitu serikali ili fanya makosa nikuchukua waliofeli wakasome ualimu, ndio maana ni wengi mitaani wapo zaidi ya laki tano Hao bado hawana ajira
Nimesomoea ualimu, weka vyeti vyako tulinganishe na vya kwangu kwenye ufaulu kuanzia la 7 hadi ulipokomea.
 
Afya ya akili ni tatizo kubwa sana nchini kwetu..kuna namna mtu anaandika unaona kabisa hayuko sawa kichwani,mbaya zaidi wanaofuata kwenye kuchangia nao wanaingia kwenye mtego wa mtoa mada..uko hapa unaandika kwa mbwembwe umesahau ni mwalimu ndio kakufanya ujue kuandika.
Hajui kama aliye ikomboa hii nchi kwa mabeberu alikuwa Mwl
 
Back
Top Bottom