Kuna watu pia huwa wakitoa hoja inakuwaje waliofeli ndio wakawe walimu Tena? Ukweli ni kuwa hao waalimu kwa mujibu wa mifumo yetu huwa wakipangiwa kufundisha level ambayo watakuwa compitence enough. Mfano hatutegemei form four mwenye div 4 ya 26 ashindwe kufundisha darasa la kwanza mpaka la saba, hivyohivyo form six hawezi shindwa mfundisha o-leve na degree hashindwi mfundisha form six.
Hii ni kwakuwa aliyepata ufaulu mdogo form 4 div 28point na akaenda kusomea ualimu huyo level yake ya kufundisha itakuwa ni primary schools-grade A
Aliyefika form six atasoma diploma na level yake ya kufundisha ni sekondari-o level
Na aliyefaulu form six yy akisoma degree level yake ya kufundisha ni form one moaka six
Huyo mwalimu wa grade A ili aje kufundisha sekondari o leve na a level atasota Sana ni itamchukua muda mrefu sana na wengi huwaga wakikata tamaa kutokana na kushindwa kumudu mziki wa masomo lukuki yaliyo juu ya uwezo wao. Ni sawa na CLINICAL OFFICER AKACHUKUE MD mziki wake huwaga sio wa kitoto wengi lazima watabwaga manyanga njiani[emoji23][emoji23]