Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Nilikuwa nasaidia watoto wa marafiki zangu
Namna hii ndo ulikuwa unasaidia,

Ndo maana nikakuuliza kama kwenye PDF umo [emoji23]

Acha utoto mkuu
Screenshot_20220626-201236_1.jpg
 
Walimu wana changamoto nyingi sana,ni vizuri tukawa tunawashauri kukabiliana na changamoto zao kuliko kuwakejeli.Kuna mtu aliwahi kutoa uzi humu akiwashauri walimu jinsi ya kujiongezea kipato kwa ule muda ambao sio wa kazi.
 
Though mi sio mwl ila mwandishi una chuki binafsi kama sio mtindio wa ubongo kwa taarifa yako wafanyakazi walio chini ya halmashauri mishhara yao inafanana nashangaa una point walimu pekee ...
Watu wanaokula keki ya nchi ni kakikundi kadogo tu wengine wote wanajifariji tu,hata mwandishi naye ana Hali ngumu anajifariji tu
 
hao unaosema div one ni walimu wengi ngazi ya degree hawa hatuwasemi sana na wanaheshimika vizuri tu cuz most hizo course wengi hupangwa tu na TCU

Diploma to cerrificates most ni wale kuamzia division 3-4 ila mimi kama mimi siwazungumzii vibaya yeyote katika haya makundi

Usiniquote tena bhana mi sitaki kubishana [emoji21][emoji21]
Ukiwa na D nne tu form four unakuwa na sifa ya kusoma kozi Nyingi tu Kwa ngazi ya Diploma 3 years,ila ualimu bila division three mpaka one huendi.Sasa hapo wapi wanachukuliwa wenye ufaulu wa chini?
 
Ukiwa na D nne tu form four unakuwa na sifa ya kusoma kozi Nyingi tu Kwa ngazi ya Diploma 3 years,ila ualimu bila division three mpaka one huendi.Sasa hapo wapi wanachukuliwa wenye ufaulu wa chini?
ni zamani ndo huo utaratibu ulikuepo

siku hizi naona wameutoa
 
Back
Top Bottom