Ni kwanini Wanaume wengi tukishaachana na Wapenzi wetu na tukikutana nao wakiwa na Masela wengine huwa tunaumia Mioyo tofauti na Wao wakiachana nasi?

Ni kwanini Wanaume wengi tukishaachana na Wapenzi wetu na tukikutana nao wakiwa na Masela wengine huwa tunaumia Mioyo tofauti na Wao wakiachana nasi?

Tunamuonea huruma mwanaume mwenzetu kafika sehemu ulipopaharibu bila kujua ase inauma sana
Mimi nikiachana na Mademu zangu kwa nilivyo na Wivu mbaya wa Kizanaki na Kiyao huwa hata sitaki kuwajua Wanaowabandua badala yangu. Kuna Mmoja nakumbuka nilienda mahala fulani na sikujua kama nae alikuwa pale na Msela wake na nilipomuona tu na Jamaa alivyokuwa kamshika Kimahaba nilitamani hata mlango wa kutokea pale mahala ungekua upo Kiganjani kwangu ili nipotee tu kwani niliumia huku Wivu nao ukinizidi na Kichwani mwangu nikiwaza kuwa Jamaa nae 'anafinyiwa' kwa ndani kama ilivyokuwa Kwangu na kupewa vinginevyo.
 
Mimi nikiachana na Mademu zangu kwa nilivyo na Wivu mbaya wa Kizanaki na Kiyao huwa hata sitaki kuwajua Wanaobandua. Kuna Mmoja nakumbuka nilienda mahala fulani na sikujua kama nae alikuwa pale na Msela wake na nilipomuona tu na Jamaa alivyokuwa kamshika Kimahaba nilitamani hata mlango wa kutokea pale mahala ungekua upo Kiganjani kwangu ili nipotee tu kwani niliumia huku Wivu nao ukinizidi na Kichwani mwangu nikiwaza kuwa Jamaa nae 'anafinyiwa' kwa ndani kama ilivyokuwa Kwangu na kupewa vinginevyo.
Mbususu zinatkuua wewe....
 
Wanaume wenzangu JF katika hili wala tusibishe ukweli ni kwamba huwa tunaumia na hata kutamani Ardhi ipasuke!!!
Hii labda wewe, sidhani kama wanaume wote tuko hivyo. Binafsi siko hivyo, nikisha amua kuachana na mwanamke kwanza tuna achana kirafiki, na hata tukikutana hatuna ugomvi zaidi ya kuombeana mema. Wanaofanya hivi mara nyingi wanakuwa hawajakomaa, utoto mwingi au waliachana kwa ugomvi wakati mmoja bado ana mtaka mwenzie.
 
Wengine Huwa tunawasahau Hadi tunawatongoza Tena Kwa mara ya2 Hadi ya tatu. Hii imenitokea huko Duniani mtaa wa Facebook.

Nilimkukula mara1 tukazinguana akabadri account yake mi Nina account 3 kule Wacha nimtongoze Ile tunaenda mkoani Whatsapp kutumiana si Ni yeye kwani nilijibu kitu kimyaaa Hadi akafuta picha zake zote alizotuma
 
Unajikutaga mgumu wewe wakati ukute ni mchumba tu 😂
Uko sahihi huyo ndiyo aina ya wale Wanaume ambao wakiwa Kijiweni wanatamba kuwaweka Wake zao Viganjani ila Siku ukimbahatisha Kwake unamkuta ama anakuna Nazi au anaosha Vyombo au anafua Nguo za Ndani za Mkewe.
 
Back
Top Bottom