Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Katika ndoa...wanawake wanafikiri kuwa na kazi kubwa au elimu au pesa ndio wameshakuwa kichwa ktk ndoa...wanasahau uumbaji...wa Mungu...haubadiliki...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...

Umeongea point...lakini hata wanaume nao wajiangalie wanapokwama, katika uumbaji huo huo wamesahau roles zao za ubaba matokeo yake wanawake waka-take over kila kitu bila kusahau sauti...na sauti ya mwanamke huishia kuwa makelele....
 
Nilipenda kuendelea kujifunza zaidi kutoka kwenye mifano na maandishi yako, lakini umelikimbia swali la msingi nililokuuliza Masai wanatokea wapi? Na wakati huo huo bado sijajua kama kati ya hayo makundi ni lipi umewahi kuruka nalo kama ulioa au ulikuwa tu katika harakati za kutafuta utamu.

Wachaga naelewa matatizo yao A-Z na sijawahi kuwaweka ndani, kwa hivyo hata huyu Mmeru haijalishi hata nisipomuweka ndani kama ana madudu yake nitayaona tu.
 
Muombee huyo unayemsifia maana yuko gizani anahitaji kutoka alipo awe huru kujitambua yeye ni Mwanamke tu na atabakia kuwa chini ya Mwanaume kama Mungu alivyonena ktk Maandiko Matakatifu "Biblia"
Sidhani Kama anapinga kuwa chini.
Kama umemsoma vizuri Edelyn ,ana uelewa mzuri sana wa Neno la Mungu na anaamini siku zote mwanamke yupo chini.

Mnaposhindana na Edelyn Ni sehemu moja,,hamtaki kukosolewa mnapokosea
Kwa sababu tu Ni mwanaume,Basi Wewe hutaki kuambiwa chochote
 
But sometimes to be only in negativity attitude is very bad coz we are supposed to be in balanced thinking and decision situations, hence there is no one is better behaviourally per 100% coz we are not angels rather than the human beings.
Hata yeye anaamini Hakuna mkamilifu,
Na ndicho kikubwa anachosisitiza kwamba lazima pande zote mbili zisimame kikamilifu,,sio wanawake pekeyao
 
Baba yangu mkubwa kaoa Wanawake wa4 na kuzaa watoto 56 lkn kwa ukoloni aliokua nao watoto wote 44 wamenyoka vzr kimaadili.

Watoto 12 waliobakia wamezaliwa baada ya umri kumtupa mikono(uzeeni) ambapo alikuwa amepungua makali yake kiukoloni na ndiyo watoto ambao karibia wote ni watukutu hadi yeye mwenyewe hukiri "haya matoto mapumbavu yashukuru yamezaliwa baada ya mimi kuzeeka lkn laiti ingekuwa ni zama zangu za ujana wote wangechezea vzr bakora na kukaa ktk reli ya maadili bora"

Mbona hawa watoto wasiopigwa ss hv ndiyo watukutu kuliko sisi ambao tulipigwa?

Mbona hawa Wanawake wasiopigwa hata makofi ndiyo wengi wao wamekubuu kwa ukeukwaji wa maadili hadi siku hizi ndoa imechukuliwa kama fasheni wala siyo maisha mema kwa kuvunjika vunjika mara kwa mara tena zingine hata baada ya miezi miwili tu ??? [emoji848][emoji87]
 
Naomba niletee andiko kwenye biblia linalomruhusu mwanaume kumsaliti mkewe au kuoa mke zaidi ya mmoja kwa sababu yoyote ile ukiniletea andiko hata moja tu mimi nitakuletea maandiko matano yanayokataza

Na usitolee mifano ya kina Solomon na David wale walikuwa binadamu kama sisi na matendo yao hayakuwa sheria halafu kibaya zaidi ni kwamba walipewa adhabu na walikuja kutubu naomba andiko lililosimama peke yake kama sheria inayoruhusu hayo nasubiri
 
Pumbavu mwanaume lazima achekupe
Nan alikuambia mwanaume anaridhika na mwanamke mmoja ??
Acha wivu wa kijinga ww
Kama una taka mwanaume wa pekee yako zaa au chonga wako blalifuu
Tunachepuka ila tunawapenda wake zetu

Shwain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…