Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Ujuha huo, mwanamke hata kama unapesa ni Msaidizi tuu! acheni ngebe!
 
Hakuna mwanaume asiyetafuta hela asilimia kubwa wanakomaa sema consistency ya kile unachokipata na unachosave for future ndo kinacholeta gape kwetu sisi,, alafu siyo kila mtu atakuwa tajiri wengine lazima wapate ya kujikimu maisha yasonge na ninyi wanawake ukipata asiye na pesa ndiyo wa kwako huyo maana ndiyo unaye,,lazima umtii mumeo kama unataka pesa muache Kwa Amani na siyo kwa madharau
 
ulichosema ni kweli kabisa ila nakuja na swali mwanamke alipe kodi yeye alipe ada yeye vitu vyote vya ndani ni vya kwake mwanaume anapata wapi nguvu ya kusema yeye ndo kichwa cha familia
 
Tatizo ni kifo cha mfumo dume na kuzaliwa kwa mfumo wa usawa wa kijinsia. Lakini nilitarajia uwepo usawa kama wanavyodai lakini wao (wanawake) wanataka kumiliki utawala wote. Hili jambo halikubaliki hata kidogo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Ni WIVU tu, ni WIVU. Wanaona mwanaume anapokuwa kiongozi wa familia labda anafaidi sana....sasa nao wanataka wafaidi uongozi.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Tatizo wanaume wengi siku hizi tumekuwa goigoi Sana.

Mkeo akizingua anatakiwa kula makofi ya maana potelea mbali Mambo ya sheria au ujinsia na matakataka mengine Kama hayo. asipoelewa rudisha kwao ulipomtoa.

Kitu kingine tulifanya makosa ya kiufundi kukubali kunyanganywa mfumo dume tuliokuwa nao matokeo yake tukakubali mfumo jike ututawale.

Nje ya mada Mimi sijaoa na nikioa nitatawala kitemi kweli kweli potelea mbali na Nina kanuni Moja kwenye maisha yangu inayosema.

( matatizo hayavumiliki bali yanatatuliwa.)
 
Ndio maana migogoro ni mingi sana siku hizi ktk mahusisno na ndoa
 
Na wewe ukikosea mke wako akufanye nini? Au wewe unaruhusiwa kukosea?
 
Na wewe ukikosea mke wako akufanye nini? Au wewe unaruhusiwa kukosea?
Anijie kwa upole na unyenyekevu maana wengi huwa wanakuja kibambe matokeo vibao vinageuka.

Yes nimekosea ila isiwe sababu ya kuweka uanaume wangu chini na kunifanya Kama Mimi mwanao,babu yako, mjomba wako au hata houseboy wako.

Njoo taratibu kwa heshima zote.
 
Na yeye akikosea wewe utafanya hivyo? Au unadhani wanawake ndo tunapenda kufokewa na kupigwa?
 
Na yeye akikosea wewe utafanya hivyo? Au unadhani wanawake ndo tunapenda kufokewa na kupigwa?
Namaanisha Kuna vitu lazima viendane na heshima ya uanaume wangu. Na yeye ana vya kwake anavyoendana navyo Kama mwanamke.

Wanasema hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu.kwa hiyo kupigwa au kufokewa mtu anakuwa amejitakia. Halafu siku hizi haya Mambo ya haki sawa ndo yanawavuruga kabisa mpaka wanavuka mistari.
 
Sawa mkuu ila muwe mnaangalia na makosa ya kupiga wake zenu siyo mnapiga tu kwa sababu ninyi ni wanaume na mna nguvu za kupiga unakuta mtu kosa dogo tu anapiga ila atakwambia hilo kosa kwake ni kubwa wakati kiuhalisia ni dogo ila basi tu ndo kashaamua kupiga anasema mtamfanya nini?
 
Umefanya utafiti kwa watu wote wa kaskazini!?
Mbona mnapenda kuconclude Mambo kwa sababu tu ya Watu wachache!???

Tabia ya mtu sidhani Kama inahusiana na kabila lake
Kwa nn isiwe na mahusiano?? (With fact)

Mm ninaona ni lazima iwe na mahusiano kwasababu tabia ya mtu inakuwa influenced na vitu viwili

1. Yeye mwenyewe anapokuwa ametambua yeye n nan anataka nn na aishije kufikia lile lengo lake.

2. Pili n tabia ambayo ipo influenced na mazingira ambayo yanamzunguka kma familia, marafaki na jamii (kabila, zone, nchi, mpka bara kupitia mila tamamduni na ways of conduct)

Kwa hapo nadhani anawauwezo wa kusema hvyo. Sijui wewe unamtazamo gani!
 
Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
umeshawatema wangap??
 
Mwanaume utaruhusu vipi kutawaliwa? Lazima kwanza ujifahamu kua we ni mwanaume, ukiwa huna pesa, ukiwa hujasoma na mengine mengi, onyesha uanaume wako(alfa male)
 
Kama huna hela you're good for nothing acha utawaliwe maana hata wewe mwenyewe kujitawala huwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…